Peace&Love
5K posts

Peace&Love
@PenMwe15
I love God. Pleasing Jesus is my daily motivation. Interested in so many other things like the power of words, music, culture, and more. Peace.

Ukiweza kujenga nidhamu ya fedha mapema. Budgeting, saving, investing na ku-control matumizi yasiyo ya lazima utaijenga future yako mapema kuliko wengi. Pesa haijengi maisha mazuri pekee yake, tabia za kifedha ndizo zinajenga. Attitude na tabia zako ndio msingi.

USIKATE TAMAA NA REHEMA ZA MUNGU 🙏🙏🙏

Every sunrise is a reminder that destiny is still under construction. Na kuhusu Kuvikwa Taji ya Ushindi ni swala la MUDA.

Usikubali kuzoea maisha ya kubangaiza mpaka ukaona ni normal. Kuna version yako 1. Yenye nguvu zaidi, 2. Yenye hela zaidi, 3. Yenye confidence zaidi. Lakini iyo version unaijenga kwa discipline. Nidhamu ndio daraja pekee la kuifikia. Be disciplined.

Usikubali kuzoea maisha ya kuishi kwa maumivu kimya kimya ukisema “ndivyo maisha yalivyo.” Maisha ni mafupi sana kufanya kila siku kitu kinachoua furaha yako taratibu. Tafuta kazi, biashara au mazingira yatakayokufanya usihesabu masaa ya kuondoka bali uthamini siku unayoishi

Mercy triumphs over judgment. – James 2:13

@IKawahi @MarekaMalili Kwanza tukubali kuwaamini watoto wetu na tusiwanyime exposure, elimu ni muhimu lakini isiwe nyenzo pekee, watoto wanahitaj exposure ya biashara na ukweli wa mambo yanavyoenda, halafu tunatakiwa kupunguza chain ndefu za masuala ya kiukoo, plus sera za nchi tuungane kupambania

God has not forgotten to be gracious. – Psalms 77:9

Produce more consume less and see your life change.

I sought the Lord, and He answered me; He delivered me from all my fears. – Psalms 34:4

The Lord is a shelter for the oppressed, a refuge in times of trouble. – Psalms 9:9

The Lord is good and does what is right; He shows the proper path to those who go astray. – Psalms 25:8

After praying over your business Learn marketing Learn structure Learn customer service Then IMPLEMENT!