Peter Mwaswenya

5.3K posts

Peter Mwaswenya banner
Peter Mwaswenya

Peter Mwaswenya

@PeterM31574

Manyara Katılım Ağustos 2023
991 Takip Edilen157 Takipçiler
Peter Mwaswenya retweetledi
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Barabarani kuna mambo mengi sana ukirudi nyumbani salama shukuru Mungu.
Adventure-360 tweet mediaAdventure-360 tweet mediaAdventure-360 tweet mediaAdventure-360 tweet media
Indonesia
20
20
205
13.4K
Peter Mwaswenya retweetledi
𝐌𝐣𝐢𝐦𝐛𝐮🍁
Familia ya Mpenzi wako ni kama watumishi wa Umma, watafanya kazi na Serikali yoyote ile iliyopo Madarakani 🥹😂😅💔
Indonesia
9
18
54
528
Peter Mwaswenya retweetledi
joseph_selasini
joseph_selasini@joeselasini·
Jaribu kutafakari; kwa siku 60 tume ya Chande na maafisa walioisaidia, bajeti yao ilikuwaje? Safari, stationary, chai/chakula, ulinzi na honoraria. Waalikwa siku ya kukabidhi usafiri posho, chakula na matangazo. Kumbe taarifa ni ya KABUDI. Mnaosema nchi ni maskini ni "NGUCHIRO"
Indonesia
3
12
62
672
Peter Mwaswenya retweetledi
shangazi wa wapwa💫🌺
shangazi wa wapwa💫🌺@humbleQueen02·
Maisha yako yatakuwa magumu sana endapo utaamua kuishi nje ya kipato Chako✍
Filipino
28
46
104
1.2K
Peter Mwaswenya retweetledi
Kibayasi FS 🇹🇿
Kibayasi FS 🇹🇿@Hon_KibayasiF·
Wakumbusheni wanetu wapunguze Chuki, mwisho wa yote tunahangaikia Kifo. Allah atujaalie mwisho Mwema.....🤝
Indonesia
7
10
34
203
Peter Mwaswenya retweetledi
Migosa🤍
Migosa🤍@Migosatz·
Jamii inapaswa kujua wanaume tuna machungu mengi sana Jamii ielewe wanaume pia hutokwa na machozi
Indonesia
1
10
17
169
Peter Mwaswenya retweetledi
Alien 👽👽
Alien 👽👽@Eggle_Vuvu·
Serikali imetuita watanzania Nguchiro!!
Alien 👽👽 tweet media
Indonesia
4
9
21
396
Peter Mwaswenya retweetledi
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Katika hili la kuwaita wananchi Nguchiro, umepatia kabisa. Fikiria Taifa ambalo maelfu wameuawa, lakini hakuna hatua. Taifa ambalo uongo na uhuni vimegeuzwa sifa, hata baadhi ya viongozi wa dini wakivisujudia kwa sababu vinatoka serikalini. Taifa ambalo watu wanatekwa, wanapotezwa na kuuwawa, lakini kelele za ushabiki wa Simba na Yanga zinafunika vilio vya damu za wasio na hatia. Taifa ambalo ripoti za CAG zinaanika wizi wa mabilioni, lakini jamii haina hasira, haina msimamo, haina maamuzi. Tumefikia mahali maovu yanakuwa habari za kawaida, ukatili unakuwa jambo la kupita, na unafiki unaitwa uzalendo. Hapa si wananchi tena, hapa ni kundi lililozoea minyororo yake. Kwa hiyo ndiyo, kwenye hili umefikiri vyema, sisi ni NGUCHIRO, tunatazamishwa, tunanyamazishwa, na bado tunashangilia. Kuna wakati kumbe unaweza kuwaza vyema. Hapa umewaza vyema. NGUCHIRO tukuache. Thx Bro!!
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
20
66
307
6.9K
Peter Mwaswenya retweetledi
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Ukiwa na Homa ukameza ARV kimakosa alafu upate nafuu.🥹
kasesco☆ tweet media
44
54
304
11.1K
Peter Mwaswenya retweetledi
joseph_selasini
joseph_selasini@joeselasini·
Haya akisema mtu mwingine mnamteka na kumzushia kesi ya uhaini. Huyu ndiye Jaji na nwingine ni Jaji Mkuu Mstaafu Barbaras Samatta wengine baadhi yao kama Chande ni madekio ya uhuni unaofanywa na wasaka tonge.
Indonesia
7
145
555
19.3K
Peter Mwaswenya retweetledi
BBC News Swahili
BBC News Swahili@bbcswahili·
Je, nchi za Kiarabu zinatarajia nini katika mazungumzo ya Marekani na Iran? bbc.in/4vTKHft
BBC News Swahili tweet media
Indonesia
0
1
3
324
Peter Mwaswenya retweetledi
Maulid Kitenge
Maulid Kitenge@mshambuliaji·
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, ameondoka jijini Islamabad, Pakistan, na kuelekea Moscow, Urusi, kwa mujibu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran. Hatua hiyo inakuja wakati juhudi za kidiplomasia zinaendelea, huku wapatanishi wa kimataifa wakijaribu kuendeleza uwezekano wa kufanyika kwa mazungumzo zaidi kati ya Iran na United States. Araghchi alikuwa nchini Islamabad kwa mazungumzo na viongozi wa Pakistan, ambayo yalilenga kusaidia juhudi za kupunguza mvutano kati ya Iran na Marekani. Baada ya kumaliza ziara hiyo, ameendelea na safari yake kwenda Moscow kwa mashauriano zaidi na washirika wa kimataifa kuhusu hali ya usalama na diplomasia katika eneo hilo. #KitengeUpdates
Maulid Kitenge tweet media
Indonesia
3
2
44
3.8K
Peter Mwaswenya retweetledi
BBC News Swahili
BBC News Swahili@bbcswahili·
Mashambulizi ya Mali "yanaungwa mkono na maadui wa mapambano ya ukombozi wa Sahel" -Traore bbc.in/4cPYKtQ
BBC News Swahili tweet media
Indonesia
2
2
14
679
MADOPE🌾
MADOPE🌾@Ugeniaconso·
Kwanini watu huwa wanagombania mali za urithi, mpaka inafikia hatua watu wanarogana ???
Indonesia
31
23
106
2.9K
Peter Mwaswenya retweetledi
joseph_selasini
joseph_selasini@joeselasini·
Kikeke na Kitenge huyu angekuwa nama yenu, mke au binti yenu mnaonaje? Shenzi kabisa nyie hata wanyama wana kiasi fulani cha kujali.
joseph_selasini tweet media
Indonesia
12
98
317
4.6K
Peter Mwaswenya retweetledi
BBC News Swahili
BBC News Swahili@bbcswahili·
Aina mpya ya COVID-19 inayoibua maswali duniani ni hatari kiasi gani? bbc.in/4cELIzk
BBC News Swahili tweet media
Indonesia
0
1
8
1.4K