Peter Maige retweetledi
Peter Maige
15 posts

Peter Maige
@PeterMaige19
King of mwanza. The expendables
Dar es Salaam, Tanzania Katılım Ekim 2021
765 Takip Edilen198 Takipçiler

Makamu wa Rais Mhe.@dr_mpango pamoja na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango wakizungumza na Karani wa Sensa Isack Mgosho wakati walipokuwa wakihesabiwa katika Makazi yao Chanika Jijini Dar es salaam leo tarehe 23 Agosti 2022 kwenye Shughuli ya Sensa ya Watu na Makazi .




Filipino

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya kuhesabiwa katika Makazi yake Chamwino Ikulu Mkoani Dodoma tarehe 23 Agosti, 2022 katika shughuli ya Sensa ya Watu na Makazi. @venusnyota


Filipino

@bongozozo_ @Happnesmlay Namba mbona hazitoshi? Au nichek 0767828253
Indonesia








