Pharmacy Council Tanzania

366 posts

Pharmacy Council Tanzania banner
Pharmacy Council Tanzania

Pharmacy Council Tanzania

@Pharm_Council

We are a statutory body established under the Pharmacy Act, Cap 311 to regulate the pharmacy professionals practice and related matters.

Dodoma, Tanzania Katılım Nisan 2019
23 Takip Edilen2.8K Takipçiler
Pharmacy Council Tanzania
Pharmacy Council Tanzania@Pharm_Council·
ZIARA YA BARAZA LA FAMASI YAENDELEA KUIMARISHA TAALUMA NA HUDUMA ZA AFYA - LINDI Ziara ya viongozi wa Baraza la Famasi imeendelea katika Mkoa wa Lindi, ikiwa na lengo la kuimarisha usimamizi wa taaluma ya famasi na kuhakikisha huduma za dawa zinatolewa kwa viwango vinavyokidhi
Pharmacy Council Tanzania tweet mediaPharmacy Council Tanzania tweet mediaPharmacy Council Tanzania tweet mediaPharmacy Council Tanzania tweet media
Filipino
0
0
0
47
Pharmacy Council Tanzania
Pharmacy Council Tanzania@Pharm_Council·
KIKAO KATI YA BARAZA LA FAMASI NA WANATAALUMA WA KADA YA FAMASI - MTWARA Kikao cha kitaaluma kimefanyika katika Mkoa wa Mtwara kikihusisha Mwenyekiti wa Baraza la Famasi, Msajili pamoja na Wanataaluma wa kada ya famasi kutoka sekta binafsi na serikalini katika Mkoa wa Mtwara.
Pharmacy Council Tanzania tweet mediaPharmacy Council Tanzania tweet mediaPharmacy Council Tanzania tweet mediaPharmacy Council Tanzania tweet media
Filipino
0
2
7
183
Pharmacy Council Tanzania
Pharmacy Council Tanzania@Pharm_Council·
UJUMBE KUTOKA KWA MWENYEKITI WA BARAZA LA FAMASI MFAMASIA JAFARY LIANA
Indonesia
0
1
4
527
Pharmacy Council Tanzania
Pharmacy Council Tanzania@Pharm_Council·
ZIARA YA BARAZA LA FAMASI – UELIMISHAJI NA UHAMASISHAJI KUHUSU MATUMIZI SAHIHI YA DAWA - TANDAHIMBA Tarehe 22 Aprili , 2026 timu ya Baraza la Famasi imefanya ziara katika Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba kwa lengo la kuendeleza juhudi za uelimishaji na uhamasishaji kwa jamii
Pharmacy Council Tanzania tweet mediaPharmacy Council Tanzania tweet mediaPharmacy Council Tanzania tweet mediaPharmacy Council Tanzania tweet media
Indonesia
0
1
3
69
Pharmacy Council Tanzania
Pharmacy Council Tanzania@Pharm_Council·
Tufuatilie kupitia Safari Radio - Mtwara 89.3 Mtwara 88.9 Lindi 88.5 Ruvuma
Pharmacy Council Tanzania tweet mediaPharmacy Council Tanzania tweet mediaPharmacy Council Tanzania tweet mediaPharmacy Council Tanzania tweet media
Suomi
0
0
3
166
Pharmacy Council Tanzania
Pharmacy Council Tanzania@Pharm_Council·
Mwenyekiti wa Baraza la Famasi, Mfamasia Jafary Liana, na Msajili, Mfamasia Boniface Magige, wamefanya kikao na uongozi pamoja na wanafunzi wa Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi (Mtwara COHAS).
Pharmacy Council Tanzania tweet mediaPharmacy Council Tanzania tweet mediaPharmacy Council Tanzania tweet mediaPharmacy Council Tanzania tweet media
HT
0
2
4
377
Pharmacy Council Tanzania
Pharmacy Council Tanzania@Pharm_Council·
ZIARA YA BARAZA LA FAMASI – HALMASHAURI YA MJI - NANYAMBA, MTWARA Wataalam kutoka Baraza la Famasi wamefanya ziara katika Halmashauri ya Mji -Nanyamba, Mkoa wa Mtwara, ambapo wamekutana na Mganga Mkuu wa Halmashauri pamoja na wamiliki wa maduka ya dawa
Pharmacy Council Tanzania tweet mediaPharmacy Council Tanzania tweet mediaPharmacy Council Tanzania tweet mediaPharmacy Council Tanzania tweet media
Indonesia
0
1
2
130
Pharmacy Council Tanzania
Pharmacy Council Tanzania@Pharm_Council·
Leo, tarehe 21 Aprili 2026, timu ya wakaguzi kutoka Baraza la Famasi imeendesha zoezi la utoaji elimu juu ya matumizi sahihi ya dawa katika Soko la Chuno lililopo Manispaa ya Mtwara Mikindani Mkoani Mtwara.
Pharmacy Council Tanzania tweet mediaPharmacy Council Tanzania tweet mediaPharmacy Council Tanzania tweet mediaPharmacy Council Tanzania tweet media
Indonesia
0
3
5
113
Pharmacy Council Tanzania
Pharmacy Council Tanzania@Pharm_Council·
WEGESA WENCESLAUS, MWANAFUNZI WA MAFUNZO KWA VITENDO (FIELD) HOSPITALI YA MKOA WA MTWARA - LUGULA
Filipino
0
2
8
365
Pharmacy Council Tanzania
Pharmacy Council Tanzania@Pharm_Council·
UJUMBE KUTOKA KWA BW. PETER MAJURA ESANJU, KAIMU MGANGA MKUU WA MKOA - MTWARA
Indonesia
0
2
8
218
Pharmacy Council Tanzania
Pharmacy Council Tanzania@Pharm_Council·
Baraza la Famasi kwa kushirikiana na Idara ya Elimu ya Afya kwa Umma - Wizara ya Afya, limeendesha ziara maalum ya uelimishaji na uhamasishaji Umma kuhusu matumizi sahihi ya dawa katika Mkoa wa Mtwara.
Indonesia
0
1
8
169
Pharmacy Council Tanzania
Pharmacy Council Tanzania@Pharm_Council·
BARAZA LA FAMASI NA OFISI YA MKUU WA MKOA, KUBORESHA USIMAMIZI WA HUDUMA ZA DAWA NA AFYA YA JAMII- MTWARA Jana, tarehe 20.04.2026, Baraza la Famasi limetembelea Ofisi ya Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mtwara na kupokelewa na Bw. Peter Majura Esanju, Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa.
Pharmacy Council Tanzania tweet mediaPharmacy Council Tanzania tweet mediaPharmacy Council Tanzania tweet mediaPharmacy Council Tanzania tweet media
Indonesia
0
1
5
187
Pharmacy Council Tanzania
Pharmacy Council Tanzania@Pharm_Council·
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifungua Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa Shirikisho la Dunia la Madaktari Bingwa wa Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (WFNS) katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC)

219