Dani♤☯︎
1.5K posts


My guy Magesa Gamba battled hepatitis B. It was humiliating to see him in a shape of hopelessness and helplessness. Sikuwahi kujua msiba until I frequented ICU for my G. ‘Saini tuzime mashine maana ubongo ushakufa’ was unbelievable! Keep resting in power, my dawg Magesa🤲

@danyobryan Hao lannisters kukulana mtu na dadaake so tatizo

Happy Birthday to me 🥰🤍 Today I celebrate life. I celebrate purpose. I celebrate the woman I am becoming. Asante sana Mwenyezi Mungu kwa zawadi ya uhai, kwa kunilinda, kuniongoza na kunipa nguvu ya kuendelea kuota ndoto kubwa. Kila mwaka ni ushahidi kwamba bado nina mengi ya kufanya, mengi ya kujifunza na mengi ya kugusa katika maisha ya wengine. This year I choose courage. I choose impact. I choose to shine even brighter. The journey continues… and the best is yet to come. 🥂✨ #BirthdayMood #GratefulHeart #NewBeginnings #PurposeDriven #Blessed

Salaam✨





Bus Terminal in Making☺️🔥 Forever Grateful.


@drmlalukoMD Mlisema kweny fetoscope hua ni ngapii



@mts__kid 3000















