Sabitlenmiş Tweet
Zwangendaba.
1.5K posts

Zwangendaba.
@Pius_thoma
make GOD number 1. @LFC fan and Simba SC fan🔥 fight for everything you need Doctor in training at Muhimbili university of health and allied science (MUHAS)
Katılım Eylül 2025
336 Takip Edilen304 Takipçiler


@FabrizioRomano @coffeeeshopp69 We’re waiting slot time as Liverpool fans
English

😭😭 starting life again juu ya mtu nkt😭😭

mlaguzi🚬@omwanba_
Unatoka sherehe asubuhi unapata roommate alihama Adi Na vitu zako Na huchukuwi simu😢
Indonesia

@Kilongi_theDawg Kuna chuo kipo katikati ya kariakoo na posta hy B+ sometimes unaekew supp
Filipino

"Hawez engege na wewe kama ame protect posts"
Huu upeo wako Nice unaonekana una Diploma, ndo mlivyo.

NICE (🎹🎸)MCHINA WINGA@AM_NIC3
Stephano we si una GPA kubwa umesema jamani?mbona hesabu ndogo hizo Mtu alieprotect post zake hawezi engage na wewe ukiona anaengage na wewe we jua huyo amefunga account bila kujua kashindwa kufungua ,💀😂😂😂
Filipino

Rapper @mex.tz amefunguka kuwa kwasasa Ulimwengu wa Rap yeye ndio anaumiliki kwasababu kila msanii wa HipHop ambaye anafanya vizuri au anataka kufanya vizuri ni lazima afananishwe na yeye jambo ambalo yeye anaamini kuwa ni Rapper bora ndio maana anashindanishwa na kila rapper kwasasa.
✍️ @mkogoty

Filipino

Jamaa kamkuta mwanamke mmoja pale Ferry analia….
JAMAA: Nini shida mama angu?
MDADA:Heri nife, maisha yamenishinda
MJAMAA: Huna haja ya kufa, sikiliza mimi ni baharia na meli yetu inaenda Ulaya leo, kama unataka ingia kwenye boksi nikakufiche stoo, meli ikitia nanga Ugiriki, nakutoa ukatafute maisha huko. Bibie akaona heri hilo akaingia kwenye boksi, jamaa akambeba na mdada akajikuta yuko kwenye stoo moja wapo katika meli, jamaa akawa anamletea chakula kila siku na mara nyingine yeye mwenyewe analala huko kwenye hako kastoo kama binadamu wengine walio kamilika walikuwa wanafanya na ya kwao huko huko kwahyo safari ilikuwa nzuri hasa kwa jamaa, kila mara akimhakikishia mdada kuwa wameshapita visiwa vya Komoro, siku nyingine akimwambia wako India. Zilipita wiki mbili ndipo yule mdada akagundulika na nahodha wa chombo hicho.
NAHODHA:We unafanya nini humu?
MDADA:Chonde naomba msinitupe baharini, nilindeni mkifika Ugiriki mnishushe
NAHODHA: Unajua mbona sikuelewi? Mdada akalazimika kumueleza nahodha ishu nzima.
NAHODHA:Dah wala usipate taabu sikutupi popote, ila jamaa yako kakudanganya hii si meli ya kwenda Ulaya ni pantoni ya kwenda Kigamboni, umekuwa unazunguka hapa hapa Dar siku zote hizo, haya tukifika Kigamboni shuka...
Ila nyie🫵🫵

Indonesia































