MFuRahiSHA_GEnGE😆
6.3K posts

MFuRahiSHA_GEnGE😆
@Pizzlex_Pop
Microsoft lad. Word.. Excel..
Tanzania Katılım Ocak 2023
300 Takip Edilen739 Takipçiler

@Big_Nicky01 RaHeeM anajidhalilisha kisa koti Tanzania bhna 😅
Indonesia

I will speak on this again, because I am Asian. I eat rice almost every day. and never ONCE in my life have I eaten it with my hands. use a fucking spoon, this is disgusting.
Jack@jackunheard
Is he… eating with his hands?
English

@ItsMrHealth Changamoto iko kwenye muda wa maandalizi doctor
Indonesia

Kuna watu huamka wakiwa wachovu zaidi kuliko walivyolala Usiku...
Na kuna wachache huamka na mwanga wa nguvu mpya....
Tofauti iko kwenye dakika zao 10 za kwanza....
Usianze siku kwa kusukumwa na stress, anza kwa kutawala mwili na akili yako...🩺
Dakika chache za mazoezi, Damu inasafisha mwili mzima...
Glasi moja ya Tangawizi moto yenye Turmeric Limao na Mchaichai...👇
Unafungua mishipa, Unafufua kinga ya mwili, Unanyonya sumu taratibu....(Detox)
Mganyiko huu..Kiafya Hukusaidia....👇
↳ Kuchochea metabolism yako (kupunguza uzito)..
↳ Kuimarisha kinga ya mwili dhidi ya magonjwa
↳ Kusafisha ini na kuondoa sumu mwilini
↳ Kukuondolea uchovu na kuupa mwili nguvu mpya
Kila asubuhi, kabla ya kushuka simu, kabla ya pilika za maisha, Jipe zawadi ya afya yako mwenyewe...
Mazoezi + Kikombe cha Tangawizi, Turmeric Limao na mchaichai = Siri ya kuamka ukiwa na nguvu na furaha....💪
Unataka kuiona nguvu mpya ndani ya siku zako?
↳ Anza kesho asubuhi...
By Mr Health A sound of health | Jifunze na chukua hatu kuboresha afya yako...🩺🫡

Filipino























