HIV For Sale
17K posts

HIV For Sale
@PoisonRecipe
Say my goodbyes and hellos Cause all them roads lead home 👆👆



@MaxTz255_ @Maestrowafact kuna mambo hayahitaji nabii kukuelekeza.....yan umtukane Jaji Mkuu mstaafu na unaishi tz alafu uwe salama 😅😅...bongozozo sasa hivi anaongea sana ila hayuko bongo 😃









Mwenyekiti Mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amemwombea msamaha aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, akiwataka Wananchi wa Hai kumsamehe huku akisisitiza kuwa hakuna Binadamu asiye na dhambi. Mbowe ametoa kauli hiyo walipokutana katika mazishi ya mama wa Mbunge wa Jimbo la Hai (CCM), Saashisha Mafuwe, yaliyofanyika katika makaburi ya familia yaliyopo Kijiji cha Uduru, Kata ya Machame Kaskazini. Akizungumza katika mazishi hayo, Mbowe amesema, “nilipofika hapa nilimkuta Sabaya akizungumza, Sabaya ni mdogo wangu na rafiki yangu, kama mnavyojua, misiba hutufanya tuwe wamoja, tunyenyekee na mara nyingine hujenga hata urafiki uliokuwa na mashaka…kwahiyo mdogo wangu Sabaya jisikie amani, mimi nimeshakuombea amani kwa Watu wa hai siku nyingi sana na wale ambao wako hapa naomba tuendelee kumsamehe Sabaya.” Amesema Mbowe. #MillardAyoUPDATES















