Afisa

14.7K posts

Afisa banner
Afisa

Afisa

@President_Afisa

President.

Kenya Katılım Ağustos 2015
395 Takip Edilen423 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Afisa
Afisa@President_Afisa·
Kuna vitu wiwili nina viamini 1. Sitokufa kabla @ccm_tanzania kutoka Madarakani 2. @ChademaTZ2 haitokufa kwasababu ya watu wachache wenye tamaa zao binafsi na sio ajenda za umma.
Afisa tweet media
Indonesia
0
1
5
362
Afisa
Afisa@President_Afisa·
@Thommunkondya Narrative za wasapoti mauaji kamwe hayawez kuzuia ukweli
0
0
0
222
Thom Mnkondya
Thom Mnkondya@Thommunkondya·
Nilifundishwa kuwa ukienda nje ya nchi, uwe makini na matendo na mahusiano yako kwa sababu yanaweza kuathiri usalama na maslahi ya taifa. Hata nikiwa nje hujihadhari kulinda taswira ya nchi. Kuzuia kwenda Marekani ni matokeo ya makosa ya wachache lakini wote tunaathirika.
Indonesia
21
6
84
13.6K
Afisa
Afisa@President_Afisa·
@ItsKamala Kwanza ni uongo. Hizo fedha kuzipata ni ngumu sn. Kuna mfumo umekwa unaitwa wezesha portal utajaza kila kitu ila kamwe hutopata hz pesa. Ikifika uchaguzi wanaziita pesa za CCM,Diwani au hy rais aliye madarakn kwa wakati huo. Mie mtu anayeongelea hz fedha kiuwepsi namshangaa sn
Indonesia
0
0
0
36
Kamala Dickson
Kamala Dickson@ItsKamala·
Mambo kama haya yalishatokea Enzi za kikwete watu wakala mabilion wakalala mbele, Sasa hivi wizara itoke hadharani waseme halmashauri wilaya ya karagwe zimepatikana fedha kadhaa na Vikundi vinavyopata viorodheshwe na wanapata sh ngapi. Haya ya B36 vikundi I ya madiwani tu
Kamala Dickson tweet media
Indonesia
11
5
52
2.7K
Afisa
Afisa@President_Afisa·
@TanzaniaLeaks Ni wajinga. Askari gani,TISS au Msoja gani unakubali kuuliwa kisa uzalendo. Si utoke mstari wa mbele uoneshe uzalendo wako. Wajinga tu pmj na ww
Indonesia
0
2
31
4.2K
Tanzania Leaks
Tanzania Leaks@TanzaniaLeaks·
BREAKING: Tumepata taarifa zinazoogopesha kidogo. Kuna taarifa zinazodai kwamba, maaskari wa Jeshi, TISS na Polisi ambao hawaungi mkono Serikali wanauwawa. Watu wanapotea, hasa Jeshini watu wanapotea katika njia za kutatanisha. Wazalendo wanauwawa. #TanzaniaLeaks
Indonesia
94
190
1.2K
83.9K
Afisa
Afisa@President_Afisa·
@YerickoNyerereT Mbona haumpi hongera kwa kutokufungua tawi Tanzania?
Indonesia
0
0
0
24
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Hongera sana kijana, unaonyesha mfano bora zaidi. Kipindi kile unatoka masomoni USA ukatusimulia kuwa ulikataa kazi yenye mshahara wa 40M wenye walikucheka, lakini sisi tunaozijua ndoto za mtu tuliona ndoto yako ilivyo njema. Na leo taifa na Afrika inajivunia wewe. Hongera sana
Benjamin Fernandes 🇹🇿@Benji_Fernandes

Big milestone for us at @NALAmoney today in Uganda 🇺🇬 I’m excited to announce the Central Bank of Uganda has granted us a PSP + PSO license — our 3rd active licence in the country. Big shout out to the Central Bank of Uganda for ongoing support. Still plenty to build as we power payments for #TheNextBillion 🔥🇺🇬

Indonesia
6
1
17
2.8K
Afisa
Afisa@President_Afisa·
@TheRealEkiswaga @LarryMadowo Unataka kumtumia wajeda na polisi wakiwa wana andamana barabarani au namna walivyofunga barabara zote
Indonesia
0
0
5
1.2K
Enock Kiswaga
Enock Kiswaga@TheRealEkiswaga·
“Hello @LarryMadowo , could you please share the number where we can send today’s videos?”
English
52
11
141
34.9K
Afisa
Afisa@President_Afisa·
@Phbhimself Lkn hy roho imewah kuwapoteza watu wengine
Indonesia
0
0
0
41
Paul Bonaventure
Paul Bonaventure@Phbhimself·
Maisha yetu yamejaa vibali na ruhusa, Kimwili na kiroho pia kazini, nyumbani, mitaani, kwenye starehe na kwenye kila jambo jema ama baya. La nuru au la gizani yote haya yana vibali kama si maombi. Ni kwa vile tunaishi kwa mazoea ndio maana hatuoni hizi kanuni zinazotuendesha. Unapoomba kibali cha kufanya kitu kuna mawili kukubaliwa ama Kukataliwa na kuna sababu za kukubaliwa vile vile kuna sababu za Kukataliwa Kukubaliwa ni furaha lakini Kukataliwa ni huzuni, kinyongo n.k. Hata katika muktadha wa miili yetu kiroho tuna vibali. Hatufanyi mambo tu hivi hivi, kiona umefanya jambo na likafanikiwa bila shida jua ombi la kibali cha kufanya hilo jambo lilikuwa wazi Ulimwengu wa roho umetutangulia, unaona kabla yetu, unasikia kabla yetu. Tunapokata kufanya jambo na roho ikasita jua kuna shida huko mbele na kibali kimekataliwa USILAZIMISHE. Hiki kitu kinachoitwa machale ni jicho la tatu rohoni linaloona yajayo kabla yako, Kama sayansi isemavyo kuwa mwanga una kasi zaidi kuliko sauti basi ndivyo ilivyo hata kiroho. Isikilize nafsi yako inakwambia nini, jadiliana nayo usifanye jambo kwa kukurupuka wala KULAZIMISHA. Roho ikikataa acha ikikubali fanya inaona kabla yako, Kabla ya akili yako na ufahamu wako uliozingwa na makandokando ya changamoto za maisha.
Paul Bonaventure tweet media
Filipino
4
5
52
5.4K
Afisa
Afisa@President_Afisa·
@Jambotv_ Hali ni shwari wakati watu wanaombwa vitambulisho, barabara zimefungwa,daladala hakuna, watu hawaruhusiwi kwnd mjini nk. Huo ushwari uko wap?
Indonesia
1
2
16
1.4K
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
Jeshi la Polisi Tanzania limesema hali ya usalama nchini imeendelea kuwa shwari hadi kufikia mchana wa Desemba 9, 2025, siku ambayo baadhi ya watu wamepanga kufanya maandamano yanayodaiwa kuwa ya amani, huku Serikali na vyombo vya ulinzi na usalama vikisema maandamano hayo si halali. Kwa mujibu wa taarifa ya Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) David Misime, vyombo vya ulinzi na usalama vinaendelea kuimarisha hali ya usalama na kulinda maisha na mali za wananchi kote nchini. Polisi imewataka wananchi kupuuza picha mnato na picha mjongeo zinazoenezwa mitandaoni zikidai kuwa maandamano yameanza sehemu mbalimbali za nchi, ikibainisha kuwa picha hizo ni za matukio ya zamani zikiwemo zile za Oktoba 29, 30 na 31, 2025. DCP Misime amesema baadhi ya watu wenye nia ovu wamekuwa wakitumia video za zamani kujaribu kupotosha umma, akitaja mfano wa tukio la Juni 2025 ambapo jamii ya Wamasai walikuwa wakifanya sherehe za jando katika msitu wa TANAPA, lakini picha hizo zikasambazwa leo zikionesha kana kwamba Wamasai wanaandamana kudai haki zao jijini Arusha. Amesisitiza kuwa taarifa hizo si sahihi na zinalenga “kuwahadaa wananchi kwamba maandamano yanafanyika”, huku akiwatoa wito Watanzania kuendelea kupuuza upotoshaji huo. Polisi imekumbusha kuwa maandamano yaliyopewa jina la “maandamano ya amani yasiyo na kikomo” yalipigwa marufuku tangu Desemba 5, 2025 kwa kuwa hayakufuata matakwa ya kisheria, ikiwemo Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 na Sheria ya Polisi na Polisi Wasaidizi sura ya 322. Katika hitimisho la taarifa yake, DCP Misime ameendelea kuwasihi wananchi kufuata sheria na taratibu ili kulinda usalama wa wote.
Jambo TV tweet media
Indonesia
50
12
236
34.6K
Afisa
Afisa@President_Afisa·
@Jambotv_ Mbona tarehe 29 hamkujitokeza? Mjinadae na D9 day 2
Indonesia
0
0
2
574
Afisa
Afisa@President_Afisa·
@KWrudate @georgerugambwa Kma mamako alibakwa au babako alilawitiwa na haijakiwepo kwenye post sema ili iwekwe walau ufurahie useme haijapotoshwa. Tofauti na hapo funga tundu la choo chako.
Filipino
1
0
0
8
Kentsuh Wrudate
Kentsuh Wrudate@KWrudate·
@President_Afisa @georgerugambwa Wewe ndio unaakili mgando. Hujaona 'kupotosha' ipo katika vifungua na kifunga semi? Anyway kwakua una akili mgando, ninachomaananisha ni kwamba; video walizodai ni upotoshaji leo hii wanakiri kua ni halisi ya vitu vilivo tokea 29th...
Indonesia
2
0
0
13
Afisa
Afisa@President_Afisa·
@KWrudate @georgerugambwa Utakufa ukiwa unanuka unafiki na mavi kichwani. Wamepotosha kwamba kuna mamako alibakwa hawajatangaza?
Indonesia
1
0
0
4
Afisa
Afisa@President_Afisa·
@Jambotv_ Watafunga mpaka lini wakati kesho ni D9 day 2
Indonesia
0
0
2
320
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
VIDEO: Kama ambavyo tumeshuhudia shughuli nyingi zikisimama katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dodoma, hali iliyo tofauti na ilivyozoeleka katika siku za kawaida. ambapo katika baadhi ya mitaa, hakuonekani msongamano wa watu wala vyombo vya usafiri, huku barabara zikionekana kuwa na utulivu mkubwa. hali hii huenda imetokana na kauli ya Serikali iliyowahimiza wananchi kusalia majumbani endapo hakuna ulazima wa kutoka au dharura. Aidha, tahadhari imeongezeka kufuatia hofu ya uwezekano wa maandamano ambayo yamekuwa yakitangazwa mitandaoni siku za hivi karibuni. Video hii inaonyesha barabara zote zinazozunguka Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zikiwa zimefungwa, huku ulinzi ukiwa umeimarishwa. Barabara zilizofungwa ni Barabara ya kutoka mjini kupitia Kimbinyiko – CBE, Barabara ya kutoka VETA kuelekea Bungeni, na barabara ya kutoka Morogoro kuingia maeneo ya mjini.
Indonesia
5
9
205
18.9K
Afisa
Afisa@President_Afisa·
@SimbaSCTanzania Tanzania Bara? Ya wap?? Hakuna nchi inaitwa Tanzania bara
Indonesia
0
0
1
370
Afisa
Afisa@President_Afisa·
@TanzaniaAnalyst Ww trh 29 ulikuwepo mpk useme video za trh 29 ni nyingi? Stress na kisukari zitakuua
Indonesia
0
0
0
30
George Rugambwa
George Rugambwa@georgerugambwa·
Sativa anapost kila baada ya masaa mawili video 1. Means hakuna content, halafu video yenyewe ni ya Oct. 29.
Filipino
15
8
43
2.5K
Afisa
Afisa@President_Afisa·
@Jaguar_455 Niko na mamako tunasubiria Tangazo la D9 Day 2 litoke.
Filipino
2
0
0
45
JAGUAR.
JAGUAR.@Jaguar_455·
Nashindwa ata kuelewa watanzania wana akili gani kuhusu maandamano. Sasa dhima ya kutumia video na picha za trh 26 lengo lenu nini hasa. Kwamba nyie mlifurahia kile kilitokea tarehe 29, na mnataka kitokee tena leo hii. Au mzalendo ni kupost mtu kapigwa paipu ya kichwa.
Filipino
7
4
23
1.3K
Afisa
Afisa@President_Afisa·
@lifeofmshaba Tangazo la D9 Day 2 litoke mapema sana tusicheleweshe muda
Indonesia
0
0
1
320
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Mwanza wamekataa uoga Leo wale wahuni wa Uganda hakuna na zile silaha za Abdul
Indonesia
18
132
710
18.6K
Afisa
Afisa@President_Afisa·
@abusumayyah_o Kwhy kumbe october 29 maandamano yalifanyika hahaha. Pole sana kwa stress. Tutaenda hv hv mpk jeshi litachoka
Indonesia
1
0
0
32
msngi.
msngi.@abusumayyah_o·
msngi. tweet media
ZXX
2
1
7
238