Professor
1.2K posts


TTCL ndio wenye mkongo wa Taifa.
TTCL wanawauzia Voda, Tigo , Airtel, Halotel na wengine wote Internet.
Voda, Tigo, Airtel na Halotel wanawauzia wananchi mawasialiano na internet wanatengeneza faida ya kutisha.
TTCL mwenye mkongo, wafanyakazi wa umma, magari ya umma , Ruzuku nk.
TTCL anaewauzia hao wote internet apate hasara ya bilioni zaidi ya 700..
Na wananchi wapo kimya tu!!!!
Indonesia

@swahilitimes Haya maelezo rahisi kabisa:
Mtu + kasuku = 200
Mtu – kasuku = 170
Ukijumlisha:
200 + 170 = 370
Kisha gawanya kwa 2 → kasuku = 15
Jibu: Kasuku ana urefu wa 15.
Indonesia

"Kwa muda wa miaka mitano umejua vichochoro vyote tulivyokuwa tukipita kutafuta fedha, kwahiyo utamsimamia atakayekaa kwenye nafasi yako ili naye aweze kupita kule tulikopita fedha ipatikane na kazi ifanyike." - Rais Samia Suluhu katika uapisho wa Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba

Indonesia


@Sirjeff_D Una nisema mbele za watu mkuu❌❌❌ hii haikubaliki 🤣
Indonesia

@MariaSTsehai Libya, under Gaddafi, had one of the highest standards of living in Africa, according to the United Nations at the time. He also pushed for the idea of a united Africa-one that could stand strong economically and politically without relying on the West. He invested in infrastruct
English

🤣🤣🤣
Bi Kizimkazi kabaki anafura hadi pozi la kupika limeshaharibika! Akome 👊🏽
Kwa hiki nampongeza Humphrey Polepole for being a disruptor!
Angalau ameonyesha backbone si ka wengine huko ndani wameufyata na wanagonga meza kupongeza upuuzi wa utekaji na ufiraji na kuuita “mafanikio ya mama”
Hey @nchimbie grow a spine! Mfano huu hapa wa Polepole!
#TutaelewanaTu

Indonesia

@masoudkipanya LUHAGA MPINA ..,......ANA KARIBIA KUONDOKA SISIEMU💔💔💔🇹🇿
Indonesia

@LuhagaMpina KIONGOZI MJINGA NI YULE ASIE PENDA KUSHAULIWA NA KUPOKEA MAONI ,KWA UFUPI TUNA WADAI KWASABABU WAO NI WAAJILIWA NA KAZI TULIO WAPA HAWAJA TEKELEZA SOO TUNA WADAI MAJI UMEME BARABARA SHULE NK
Indonesia

@Sirjeff_D Serikali ya Malawi ukipaza sauti , una pewa kichapo Hadi uta tamani uhamie TZ
Indonesia

@mwigulunchemba1 ble revenue generation through base broadening, improved compliance, administrative efficiency, and fostering a genuinely pro-investment environment that allows businesses to thrive and, in doing so, generate more tax revenue organically over time.
English

@mwigulunchemba1 The proposed tax on retained earnings is fundamentally flawed due to double taxation and its detrimental impact on business investment, growth, and long-term revenue generation. **The strongest recommendation is to scrap this proposal entirely.** Redirect efforts towards sustaina
English

My bro Zitto, you are wrong. WHT on retained earnings is not double taxation on the same income. It is an anti avoidance rule aimed at addressing the equity principle of taxation whereby dividends are taxed, while retained earnings are not.
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe@zittokabwe
Mr @mwigulunchemba1 Finance Minister, this is WRONG. It is a double taxation on the same income. When the company makes profit, the government charges a corporate rate of 30% and company retains 70% of the declared profit. Then the latter can either pay it to the shareholders as DIVIDEND or retain within the company (retained earnings). Taxing the retained earning, is double taxation. It has huge consequences on capitalizing the companies. Please SCRAP this proposal
English

@Sirjeff_D Haipaswi kuwa muoga ,Mtoto mlee kwenye njia ilio Bora,
Mtoto wa kike akikosa namna Ana toa uchi !
Filipino

@godbless_lema Kuna kiongozi nime msikia ana sema hata MKI andika mara bilioni uchaguzi upo pale pale ,na Mimi naona uchaguzi upo pale pale ila baadhi ya vifilungu vibadilishwe

हिन्दी

















