RFI Kiswahili

35.9K posts

RFI Kiswahili banner
RFI Kiswahili

RFI Kiswahili

@RFI_Sw

Idhaa ya kiswahili ya @RFI (Radio France Internationale) ipo kwa kukuhabarisha habari za kimataifa

Nairobi, Kenya Katılım Temmuz 2011
298 Takip Edilen6.8K Takipçiler
RFI Kiswahili
RFI Kiswahili@RFI_Sw·
Waokoaji na wapiga mbizi wamepelekwa katika Mto Padma nchini Bangladesh kuendelea na operesheni ya utafutaji miili baada ya basi lililokuwa limebeba watu 40 kutumbukia majini wakati likijaribu kuingia kwenye kivuko, na kusababisha vifo vya watu wasiopungua 24. #padmabangladesh
Indonesia
0
0
0
35
RFI Kiswahili
RFI Kiswahili@RFI_Sw·
Intaneti imezimwa nchini Iran kwa siku 27 sasa, kulingana na kundi la ufuatiliaji wa mtandao la NetBlocks, huku nchi hiyo ikiwa imeondolewa kwenye mtandao wa dunia kwa saa 624. #iran #INTERNET #blackoutfit #NetBlocks
RFI Kiswahili tweet media
Indonesia
0
0
0
50
RFI Kiswahili
RFI Kiswahili@RFI_Sw·
Mkutano wa wakuu majeshi kwa ajili ya kulinda Mlango-Bahari wa Hormuz kufanyika rfi.my/CYqP.x
RFI Kiswahili tweet media
Indonesia
0
0
0
12
RFI Kiswahili
RFI Kiswahili@RFI_Sw·
Cuba: Mpango wa misaada ya dharura wajadiliwa katika UM ili kuepuka 'mgogoro wa kibinadamu' rfi.my/CYpz.x
RFI Kiswahili tweet media
Indonesia
0
0
0
12
RFI Kiswahili
RFI Kiswahili@RFI_Sw·
Marekani: Sintofahamu kati ya timu ya usalama ya Mke wa rais wa Kongo na ujumbe wa Rwanda rfi.my/CYpj.x
RFI Kiswahili tweet media
Indonesia
0
0
0
17
RFI Kiswahili
RFI Kiswahili@RFI_Sw·
Sudan yaishutumu Ethiopia kwa kuunga mkono wanajeshi wa RSF katika Jimbo la Blue Nile rfi.my/CYpO.x
RFI Kiswahili tweet media
Indonesia
0
0
0
15
RFI Kiswahili
RFI Kiswahili@RFI_Sw·
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema nchi yake iko tayari kufanya mashambulizi makubwa zaidi Iran ikiwa taifa hilo halitakubaliana na mapendekezo ya amani iliyoyawasilisha kwa utawala wa kiislamu.
Indonesia
0
0
0
23
RFI Kiswahili
RFI Kiswahili@RFI_Sw·
Licha ya kuthibitisha kwamba Iran inapitia mapendekezo ya Marekani, Waziri wa mambo ya kigeni wa Tehran Abbas Araqchi alisistiza kwamba ujumbe wanaoupokea kupitia kwa wapatanishi hauwezi kuchukuliwa kama mazungumzo. #DonaldTrump #IranWar
Indonesia
1
0
0
31
RFI Kiswahili
RFI Kiswahili@RFI_Sw·
Hatari ya bwawa kudondoka Nairobi, wakazi wanaoishi maeneo ya chini waagizwa kuhama rfi.my/CYpA.x
RFI Kiswahili tweet media
Indonesia
1
0
1
20
RFI Kiswahili
RFI Kiswahili@RFI_Sw·
Rais Donald Trump hapo jana Jumatano (Machi 24) alidai kwamba Iran ipo kwenye mazungumzo na serikali japokuwa Tehran inaogopa kuthibitisha hilo. Kulingana na Trump, viongozi waliosalia nchini Iran wanaogopa kuuawa na watu wao iwapo watakiri kufanyika kwa mazungumzo. #IranWar
Indonesia
0
0
0
46