MTAMADUNI

986 posts

MTAMADUNI banner
MTAMADUNI

MTAMADUNI

@RMtamaduni

VOICE OVER ARTIST @madinidotcom EAST AFRICA REDIO/mchambuzi/bachelor degree of Ed in adult and community education UDSM/social media savvy

Dar es salaam/ mbeya Katılım Kasım 2019
942 Takip Edilen446 Takipçiler
MTAMADUNI
MTAMADUNI@RMtamaduni·
Abraham Lincoln alikuwa na sura ngumu(isiyovutia). 🎭 Siku moja mpinzani wake alimwita ni "Mtu mwenye sura mbili" (two-faced). Lincoln akajibu: "Jamani, kama ningekuwa na sura nyingine, kweli mnadhani ningeitumia hii niliyonayo sasa hivi?" 🤣🤣
MTAMADUNI tweet media
Indonesia
0
0
0
4
MTAMADUNI
MTAMADUNI@RMtamaduni·
Kuna siku Nancy Astor (Mbunge wa kwanza mwanamke Bunge la Uingereza) alimwambia Winston Churchill (Waziri Mkuu wa Uingereza) "Kama ungekuwa mume wangu, ningekuwekea sumu kwenye kahawa!" ☕ Churchill akajibu "Nancy, kama ungekuwa mke wangu, ningeinywa hiyo kahawa bila kusita"😀
MTAMADUNI tweet media
Indonesia
0
0
0
47
MTAMADUNI
MTAMADUNI@RMtamaduni·
Nchi ya Uholanzi ina uhaba mkubwa wa wafungwa kutokana na kiwango kidogo cha uhalifu. Kuanzia 2013, walilazimika kufunga magereza zaidi ya 20, na mengine kuyakodisha kwa nchi jirani kama Norway na Ubelgiji ili walete wafungwa wao hapo, au kuyabadilisha kuwa hoteli za kifahari!🤣
MTAMADUNI tweet media
Filipino
0
0
0
4
MTAMADUNI
MTAMADUNI@RMtamaduni·
1992, Pepsi ilifanya kampeni Ufilipino ambapo mtu aliyetakiwa kushinda dola 40,000 ni yule mwenye namba 349 chini ya kizibo.kwa makosa ya kompyuta, kizibo chenye namba hiyo kilitolewa mara 800,000!vurugu kubwa, magari yalichomwa na vifo baada ya pepsi kugoma kuwalipa washindi🤣🤣
MTAMADUNI tweet media
Filipino
0
0
0
7
MTAMADUNI
MTAMADUNI@RMtamaduni·
Mansa Musa, mfalme wa Mali karne ya 14, ndiye binadamu tajiri zaidi kuwahi kuishi duniani (kwa utajiri zaidi ya 400Usd za sasa). Alipoenda kuhiji Mecca, aligawa dhahabu nyingi sana nchini Misri kiasi kwamba thamani ya dhahabu ilishuka nchini humo kwa miaka 12 mfululizo🤣🤣
MTAMADUNI tweet media
Indonesia
0
0
1
26
MTAMADUNI
MTAMADUNI@RMtamaduni·
Mwaka 1962, wakuu wa jeshi la Marekani walitengeneza mpango wa siri wa kuua raia wao wenyewe kwa kulipua ndege, boti Nk, kisha kuwasingizia Wa-Cuba ili wapate sababu ya kuanzisha vita dhidi ya Fidel Castro, Rais Kennedy alikataa kusaini upuuzi huo
MTAMADUNI tweet media
Indonesia
0
0
0
9
MTAMADUNI
MTAMADUNI@RMtamaduni·
Wakati wa WW1, shirika la ujasusi la Uingereza (MI6) liligundua kuwa shahawa za kiume (semen) zinaweza kutumika kama wino wa siri usioonekana (invisible ink) kwenye barua, Kiongozi wa MI6 wa wakati huo, Mansfield Smith, alisema: "Kila jasusi ana kiwanda chake cha wino mwilini!"🤣
MTAMADUNI tweet media
Indonesia
0
0
0
42
MTAMADUNI
MTAMADUNI@RMtamaduni·
Wakati wa Vita Baridi(cold war) KGB ya Urusi ilitumia majasusi warembo wa kike (Swans) kuwateka kimapenzi wanadiplomasia wa Magharibi. Walikuwa wanarekodi video za faragha (connection) na kisha kuwatishia (blackmail) ili watoe siri za nchi zao🤣🤣
MTAMADUNI tweet media
Filipino
0
0
0
24
MTAMADUNI
MTAMADUNI@RMtamaduni·
CIA walijaribu mara 638 kumuua Fidel Castro, katika majaribio yote la kuchekesha zaidi lilikuwa ni kuweka unga wa sumu (thallium salt) kwenye viatu ili ndevu zinyonyoke zote. Walijua Castro akipoteza ndevu zake, wananchi wa Cuba watamcheka na hatokuwa ushawishi tena🤣🤣
MTAMADUNI tweet media
Indonesia
0
0
0
7
MTAMADUNI
MTAMADUNI@RMtamaduni·
Che Guevara, aliteuliwa na Fidel Castro kuwa Rais wa Benki Cuba.uteuzi huo ulitokea kimakosa; Castro kwenye kikao aliuliza "nani ni mchumi mzuri (economist)?" Che alisikia vibaya akajua Castro amesema "Nani ni mkomunisti mzuri (communist)?" akanyosha mkono. Ndiyo akapewa benk🤣
MTAMADUNI tweet media
Filipino
0
0
0
27
MTAMADUNI
MTAMADUNI@RMtamaduni·
W.Churchill (waziri mkuu wa zamani wa Uingereza) kwenye hafla usiku, kuna mbunge mwanamke Bessie alimwambia: "Winston umelewa vibaya sana" Churchil kumjibu ​"Bessie, wewe ni mbaya sana. Lakini mimi kesho nitakuwa sijaelewa(mzima) ila wewe utabaki kuwa mbaya vilevile!"😀
MTAMADUNI tweet media
Indonesia
0
0
0
11
MTAMADUNI
MTAMADUNI@RMtamaduni·
Ronald Reagan(rais wa 40 USA) alisema hajawahi kuwaelewa watu wasioamini MUNGU YUPO (earthiest) .Anatamani siku Moja awakaribishe Dinner 🍽️ wote waandaliwe Msosi Amaizing .Wakimaliza kula awaulize kama wanaamini MPISHI YUPO! 😄😁
MTAMADUNI tweet media
Indonesia
0
0
0
13
MTAMADUNI
MTAMADUNI@RMtamaduni·
2015, Robert Mugabe alishinda “Confucius Peace Prize” — tuzo ya China inayochuana na Nobel Peace Prize. Wakati Magharibi wakimuita dikteta, China walimsifia kwa “utulivu na maendeleo” Zimbabwe. Mugabe mwenyewe hakwenda kuichukua, alituma wawakilishi🤣🤣🤣
MTAMADUNI tweet media
Filipino
0
0
0
11
MTAMADUNI
MTAMADUNI@RMtamaduni·
Idi Amin alikuwa kichekesho na tishio kwa wakati mmoja. Alijipa vyeo virefu kama listi ya manunuzi ya harusi. Aliamuru wazungu wambebe kwenye kiti, na akamtumia barua ya mapenzi Malkia Elizabeth! Alidai yeye ni mfalme wa mwisho wa Scotland na alikuwa bingwa wa ngumi kwa miaka 9🤣
MTAMADUNI tweet media
Indonesia
0
0
0
15
MTAMADUNI
MTAMADUNI@RMtamaduni·
Baada ya mkutano wa NATO wakati wa upigaji picha, Trump aliwahi kumsukuma kiongozi wa Montenegro😭 ili yeye aonekane mbele .Ile ilikuwa picha ya viongozi wakubwa, lakini nguvu iliyotumika ni kama kiranja na wanafunzi wenzie🤣🤣
MTAMADUNI tweet media
Filipino
0
0
0
8
MTAMADUNI
MTAMADUNI@RMtamaduni·
Putin alijua kabisa Angela Merkel anaogopa mbwa, akaamua kuja na mbwa wake kwenye meeting. 😭 Mbwa akakaa pembeni ya Merkel, baadae Putin akasema "sikujua anaogopa" lakini wengi waliona ilikua ile style yake ya kujaribu watu😀😀
MTAMADUNI tweet media
Indonesia
0
0
0
5
MTAMADUNI
MTAMADUNI@RMtamaduni·
Kim Jong Il aliwahi kudai siku ya kwanza kupiga mpira wa golf alipata almost perfect score 😭. Serikali yake ilisema mkuu alikuwa amebarikiwa kiasili kwenye kila kitu 🤣
MTAMADUNI tweet media
Indonesia
0
0
0
16
MTAMADUNI
MTAMADUNI@RMtamaduni·
Kwenye geopolitics, hakuna rafiki wa kudumu, kuna maslahi ya kudumu
MTAMADUNI tweet media
Indonesia
0
0
0
6
MTAMADUNI
MTAMADUNI@RMtamaduni·
Mataifa madogo yakigombana huitwa migogoro (conflict)… makubwa yakigombana huitwa mvutano wa kimataifa ( global tension)😀😀😀
MTAMADUNI tweet media
Indonesia
0
0
0
8
MTAMADUNI
MTAMADUNI@RMtamaduni·
Kila taifa lenye nguvu huwa na version yake kuhusu "ukweli" (truth)… ndiyo maana media za nchi tofauti zina headline tofauti kuhusu tukio moja
MTAMADUNI tweet media
Filipino
0
0
0
11