Radio Five
774 posts

Radio Five
@Radio5tz
Official Twitter account of Radio5tz |Follow us on Instagram @Radio5tz |
Arusha, Tanzania Katılım Temmuz 2016
185 Takip Edilen375 Takipçiler
Radio Five retweetledi

#NIPASHE Hali tete vyuo vikuu baada ya bodi ya mikopo kutoa orodha ya wanafunzi 3,966 watakonufaika na mikopo kati ya 58,000 watakaojiunga

Indonesia
Radio Five retweetledi

#NIPASHE Imeelezwa kwamba kuna changamoto nyingi kwa watoto wa wakulima wanaopata mikopo vyuoni, baadhi hutumia kuwasomesha wadogo zao.

Filipino
Radio Five retweetledi

#NIPASHE Wamiliki wa makontena 46 kati ya 100 yaliyodaiwa kuondolewa bandari ya DSM bila utaratibu, wamejisalimisha.

Indonesia
Radio Five retweetledi

#MWANANCHI Kamati ya bunge yaikataa taarifa ya Waziri Mwijage kuhusu utekelezaji malengo ya sekta ya viwanda, biashara wakidai imejaa porojo

Indonesia
Radio Five retweetledi

#HabariLEO Serikali imetoa bil 80 kwa ajili ya malipo ya mikopo kwa mwanafunzi wa elimu ya juu wanaoanza na wanaoendelea na masomo

Filipino
Radio Five retweetledi

#HabariLEO Meli mpya mbili za mizigo zinazoendelea kujengwa ktk bandari ya Itungi Kyela mkoani Mbeya kukamilika ifikapo mwisho wa mwezi huu

Indonesia



