RamaTech255🇹🇿
14.6K posts

RamaTech255🇹🇿
@Ramatech255
🐜👁️ Mobile Intelligence Expert | Kariakoo’s Phone Solution 🦞 General Rule: EVERYBODY IS LYING. I provide the TRUTH. 🛡️ 📍 Kariakoo, Aggrey St, DSM 🚀

WhatsApp wamefanya mabadiliko saiv unaweza ukawa na WhatsApp Moja tu na ukawa na account mbili tofauti. Haina haja ya kuwa na WhatsApp Business na WhatsApp ya kawaida ile we unachagua moja tu unakuwa na account mbili tofauti. Credit: Apolo

Kabla ya pixels kulikua na Nexus line up na Moja ya legendary device ni hii Nexus 5 Good old days 🔥


Mwanamke akikupenda anageuka kuwa msumbufu, muda wote atatamani kuwasiliana na wewe, atakusimulia vitu vyake, atakupa ratiba zake Sasa wewe utaanza kuona kero utaanza kumpotezea, huyo mwanamke akichoka jiandae kulia na hautaamini anaweza kukaa week nzima asikutafute

Usiku wa kuamkia leo maeneo ya Kimara Suka apo kuna lori limegonga bodaboda mbili, bajaji moja pamoja na kugongana watembea kwa miguu. Kwa mujibu wa mashuhuda wanasema lori lilikuwa linatoka Temboni kuelekea kimara kufika kimara suka mbele yake kulikuwa na bajaji na


Ni vitu gani muhimu unavizingatia unapochagua simu bora kwa ajili ya kupiga picha? 📸 Camera specs au reallife performance? Na ungeweza kumshauri nini mtu anayetaka simu kwa ajili ya picha na video kali kwa biashara au content creation?



















