
@Qush001 @TukoKadii Mpaka mpee watu kama hawa solution, kama wakulima kujitolea kupeana mahindi, hakuna vile watajoin hizo protests. Hata kama wao wanaumizwa, nani nawatetea saa hii? Kila mtu anasema funga bizz, na wale hawana savings? Watasurvive aje?
Indonesia






















