Sabitlenmiş Tweet
BiDi🤝
227.9K posts


@Labella_Mafia95 ukitaka kuoa fuga kuku kwanza...ukiweza pirika pirika zao mara wasile mtama wawatu mara kuwatafuta muda wa kuingia bandani..hapo oa mana pirika utakua unaziweza😂😂
Indonesia

@chiefgodlove1 Tajiri hapa Umemaliza kila Kitu, Sema maskini wa Humu wata comment vibaya hapa 😀😀
Indonesia

Kipindi Hiki nilikua namiliki libraly na ghetto pekee lakini cha zaidi nilichokua namiliki ni kujua na kuamini kwamba nitakua tajiri kwa njia yeyote kuna kipindi kilifika kulkua kuna option ya kuchagua ni either nife nipate maradhi ili nitajirike au niendelee kuishi kwenye maisha haya nikachagua njia moja bila kuangalia kushoto kulia wala pembeni niliangalia mbele nilinyeshewa na mvua jua liliniwakia nilipitishwa kwenye moto mkali kufedheheshwa kuzalilishwa kukatishwa tamaa kuonekana sifai nikiwa napitia hizo changamoto nikawa najiambia mimi sio maskini wala sio mnyonge ni bola nikafa nikiwa vitani kuliko nikaishi nikiwa maskini nmepitia challenges nyingi mpaka kufika hapa hatimae leo mungu kaniinua aijalishi unapitia kwenye magumu gani sasahivi amini ya kwamba unaweza kua tajiri unaweza kua chochote ukiamini mimi nilijitoa kufa na kupona au kuumwa magonjwa au kuoza mwili ili nitajirike lakini sikuoza mwili wala sikupata maradhi lakini utajiri nikapata bali nilichopitia imekua shule ambayo leo hii naweza wafundisha wenzangu pia wakafanikiwa tarehe ishirini mwezi wa sita tunaenda kuitambulisha dini yetu ambayo tutashirikiana na serikali na dini yeyote kuhakikisha tunaondoa adui ujinga adui umaskini adui kutokujitambua na kujitawala mwenyewe kuepusha baadhi ya athali zinazofanyika na watu kutokujua thaman zao na kufanya makosa Hatuamini katika kuteseka tunaamini katika kuishi maisha mazuri hapa hapa duniani tutaponya wagongwa tutawasaidia kuishi maisha ya kifahari na kabla hatujaanza ibada tutahakikisha tumekula tumeshiba hatuamini katika umaskini na njaaa karibu katika dunia ya kweli
USIPOJIUNGA NASI SIO KAMA SISI HATUTASALI HAPANA BALI WEWE TU NDO HUTOHUSIKA NA SISI AMEN

Filipino
BiDi🤝 retweetledi
BiDi🤝 retweetledi
BiDi🤝 retweetledi

Siku zote kwenye maisha ya Ndoa lazima mwanamke awe chini ya mwanaume ( atawaliwe na mwanaume)
yaani mwanaume ndio final semaji mfano umeomba ruhusa kutoka na rafiki zako kasema hapana ni hapana unakituliza hapo tuli na hakuna kununa😀
Kama hutaki kutawaliwa kaa kwenu usiolewe 😀🙌
Good morning ❤
Filipino
BiDi🤝 retweetledi
BiDi🤝 retweetledi
BiDi🤝 retweetledi
BiDi🤝 retweetledi
















