Rojastine Failoc

5 posts

Rojastine Failoc

Rojastine Failoc

@RojastineF

Katılım Ekim 2022
137 Takip Edilen12 Takipçiler
Rojastine Failoc
Rojastine Failoc@RojastineF·
@Sirjeff_D Mtu haniambii kitu kwamba huyu master ni mpigaj, kwasababu nina evidence 😂😂😂😂
Indonesia
0
0
0
3
SIR JEFF⚡🇹🇿
SIR JEFF⚡🇹🇿@Sirjeff_D·
Ni kitu gani ukibishana na mtu yoyote hapa duniani hawezi kukuzidi?? Nasoma comments!!
SIR JEFF⚡🇹🇿 tweet media
Indonesia
135
17
581
52.4K
Rojastine Failoc
Rojastine Failoc@RojastineF·
@Sirjeff_D Ila bn sir Jeff, nilikuwa namkubali sana, Baada ya kutupiga 60k zetu last year za forex trading ndio bas tena
Filipino
0
0
0
31
SIR JEFF⚡🇹🇿
SIR JEFF⚡🇹🇿@Sirjeff_D·
Huku mikoani misosi ni kama wanapikia nguruwe. Yani ni unakula ili mradi usife kifo cha aibu.
SIR JEFF⚡🇹🇿 tweet media
Indonesia
168
14
743
86.3K
millardayo
millardayo@millardayo·
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo June 15,2023 amewasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 Bungeni Jijini Dodoma ambapo moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba yake ni kwamba Serikali inatarajia kuanzisha mfumo wa kidijitali wa kufuatilia na kuhakikisha kodi husika za Serikali zinalipwa kwa wakati kwa matangazo ya mitandaoni, hii itajumuisha matangazo ya biashara ambayo huwekwa na Watu maarufu (digital influencers) na biashara za mtandaoni zinazofanyika nchini. “Kutokana na ukuaji wa teknolojia, Dunia inashuhudia mabadiliko makubwa katika tasnia ya matangazo ya kibiashara (Advertisment) ambapo sasa matangazo mengi yamekua yakifanyika kupitia mitandao (online advertisement) hasa mitandao ya kijamii kama vile Instagram, Facebook, twitter na Blogs mbalimbali” “Kwa kushirikiana na Sekta binafsi, Serikali inatarajia kuanzisha mfumo wa kidijitali wa kufuatilia na kuhakikisha kodi husika za Serikali zinalipwa kwa wakati, hii itajumuisha matangazo ya biashara ambayo huwekwa na Watu maarufu (digital influencers) na biashara za mtandaoni zinazofanyika nchini” #MillardAyoBUNGENI #BAJETI2023
millardayo tweet media
Indonesia
160
49
1.7K
244K
SIR JEFF⚡🇹🇿
SIR JEFF⚡🇹🇿@Sirjeff_D·
500K niliyopanga kutoa kwa watu 25 nimeamua kutoa kwa mtu mmoja aliyenitumia whatsapp text akiniomba nimsaidie kulipa ada ya chuo, nimekutana nae leo physically na kuverify details zake.
Filipino
101
20
1.2K
101.7K