Ruiz Robert
93 posts

Ruiz Robert
@RuizRobert6
BUSINESS ORIENTED
Dar es Salaam, Tanzania Katılım Aralık 2018
653 Takip Edilen72 Takipçiler

@AmeaPower Can i get your WhatsApp number please am unable to reach out you despite all attempts done. Am from Tanzania and my WhatsApp number is +255784787167
English

Robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika tutacheza dhidi ya Al Ahly ya Misri. #TotalEnergiesCAFCL #WenyeNchi #KaribuYakoWakatiWote #NguvuMoja

Filipino

𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄⏱️| #CAFCL
Young Africans SC 4-0 CR Belouizdad
TUMETINGA ROBO FAINALI KIBABEEEE🔰💪🏽
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko

English

𝗧𝗢 𝗧𝗛𝗘 𝗤𝗨𝗔𝗥𝗧𝗘𝗥𝗦!
🇹🇿 @YoungAfricansSC to the knockouts for the first time in their history! ⭐
#TotalEnergiesCAFCL

English

#BreakingNews Ivory Coast ndiyo mabingwa wa AFCON 2023, likiwa ni taji lao la tatu.
FT: Nigeria 1-2 Ivory Coast.
Je, nini kimewabeba?
Burudani ilikuwa LIVE #AzamSports3HD kwa Tanzania pekee
Kumbuka mechi zote za AFCON umezishuhudia LIVE na kwa ung'avu wa HD kupitia #AzamTV na #AzamTVMaxApp.
Lipia mapema kifurushi chako cha shilingi 25,000 ukamilishe burudani.
#AFCON2023 #FainaliZaAFCON2023 #MichuanoYaAFCON #MaskaniyaAFCON2023 #AzamTV #AFCON #AFCONFinal #Final #Fainali #Nigeria #IvoryCoast #NigeriaIvoryCoast #NGRCIV 📷 @AFPphoto

Polski

Msafara wa Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Paul Makonda umepata ajali katika Mji wa Masasi Mkoani Mtwara majira ya saa tisa alasiri leo Feb 11,2024 ukihusisha magari zaidi ya saba yaliyokuwepo katika msafara huo uliokuwa unatokea Mkoani Ruvuma kuja Jijini Dar es salaam.
Watu wasiopungua saba wamejeruhiwa na kukimbizwa katika Hospitali ya Mkoa wa Mtwara, hakuna kifo kilichotokea kwenye ajali hiyo na hali ya kiafya ya Makonda ipo salama.
#MillardAyoUPDATES

Indonesia

Rais wa Yanga Eng. Hersi Said katika kuadhimisha miaka 89 ya Klabu ya Yanga ametangaza rasmi kuwa Mfadhili wa Timu hiyo Ghalib Said Mohammed (GSM) amekubali kujenga uwanja wa Yanga katika eneo la Jangwani.
“Baada ya mazungumzo ya muda mrefu na Mdhamini na Mfadhili wa Klabu yetu, Ghalib Said Mohammed (GSM), nipende kuwataarifu Wanachama na Mashabiki wa Klabu yetu kuwa leo, GSM ameridhia kwa dhati kushiriki kwenye kufanikisha ujenzi wa uwanja wa kisasa wa Young Africans Sports Club, katika eneo la Makao Makuu ya Klabu yetu, Jangwani, Jijini Dar Es Salaam.
“Nichukue fursa hii kumshukuru sana GSM kwa dhamira hiyo inayokwenda kutimiza ndoto ya Uongozi wangu, Kamati ya Utendaji na Wanachama na Mashabiki wa Young Africans kwa kuwa na uwanja wetu”
#MillardAyoSPORTS

Indonesia

𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄⏱️ | #NBCPremierLeague
Young Africans SC 2-1 Mashujaa FC
Tunaendelea kujikita zaidi kileleni🔰
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko

Indonesia

#AFCON2023 Ni Bafanabafana wanakwenda nusu fainali kwa mikwaju ya penati.
AET: Cape Verde 0-0 Afrika Kusini (Pen: 1-2)
Tukutane nusu fainali Februari 7 LIVE #AzamSports3HD kwa Tanzania pekee.
Kumbuka mechi zote za AFCON Live na kwa ung'avu wa HD kupitia #AzamTV na #AzamTVMaxApp.
Lipia mapema kifurushi chako cha shilingi 25,000 ili usipitwe na fainali hizi.
#AFCON2023 #FainaliZaAFCON2023 #MichuanoYaAFCON #MaskaniyaAFCON2023 #AzamTV #AFCON #CapeVerde #SouthAfrica #AfrikaKusini #CPVRSA
📷 @AFPphoto

Indonesia

#AFCON2023 Rekodi ya bingwa mtetezi kutofika robo fainali, inaendelea….. Senegal ‘OUT’, wenyeji Ivory Coast wanakwenda robo fainali kwa mikwaju ya penati.
AET: Senegal 1-1 Ivory Coast (Pen: 4-5).
Baadaye saa 2:00 usiku ni Mali vs Burkina Faso LIVE #AzamSports3HD kwa Tanzania pekee.
Kumbuka mechi zote 52 za AFCON Live na kwa ung'avu wa HD kupitia #AzamTV na #AzamTVMaxApp.
Lipia mapema kifurushi chako cha shilingi 25,000 ili usipitwe na fainali hizi.
#AFCON2023 #FainaliZaAFCON2023 #MichuanoYaAFCON #MaskaniyaAFCON2023 #AzamTV #AFCON #Senegal #IvoryCoast #SenegalIvoryCoast #SENCIV

Indonesia
































