Brythony Runana
2.4K posts

Brythony Runana
@RunanaAthman
Life goes on......With or without you












TAARIFA KWA UMMA Msimamo wa @ACTwazalendo kuhusu Uchaguzi Mkuu wa 2025 na mwelekeo wa siasa nchini Tanzania. #TaifaLaWote #MaslahiYaWote



mnyika kamwaga mboga huko…!! tulisema mkapuuza na kutukana, sasa kila kitu kipo wazi hadharani.







‼️🚨MPENI MAUA YAKE TUNDU LISSU 🚨‼️ Lissu alitusanua bila kupepesa macho mwaka mmoja uliopita kuhusu rushwa na family entreprise ya Abdul na mama yake! Alieleza walivyohonga ndani ya Chadema kupitia bwana yule kuvuruga uchaguzi wao! Sasa wazungu wanasema “the chickens have come home to roost” 😁👏🏽 Abdul na mama yake wamevuruga teuzi za CCM - kila kona ni vurugu ili familia zineemeke! Mlijua mnakomoa Chadema kumbe! 👊🏽 Rushwa ipingwe HADHARANI! Acheni kujipendekeza kwa familia zinazotaka kujimilikisha nchi bila haya! Sasa muachieni Tundu Lissu haraka sana na mpeni maua yake #NoReformsNoElection #FreeTunduLissu









