Small Business Elevator

3.5K posts

Small Business Elevator banner
Small Business Elevator

Small Business Elevator

@SB_Ladder

Supporting small businesses with expert insights, practical resources, and growth strategies. Your partner in entrepreneurial success. #SmallBusinessMatters

Katılım Kasım 2024
58 Takip Edilen13.3K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Small Business Elevator
Small Business Elevator@SB_Ladder·
Kama wewe ni mtu unayependa haya mambo hapa 👇 umefika nyumbani! - Business - Marketing - Branding - Sales - Growth Mindset - Personal Development Follow account yetu sasa hivi, maana hii ndiyo community yako sahihi! Ukiiona tweet hii, retweet kisha tufollow — tusonge pamoja!
Small Business Elevator tweet media
Filipino
3
43
163
11.8K
Small Business Elevator retweetledi
𝐔𝐧𝐢𝐟𝐨𝐫𝐜𝐞 𝐄𝐧𝐞𝐫𝐠𝐲 𝐋𝐋𝐂™
Kama fundi, epuka mambo haya: - Kupenda lift kutoka kwa mteja hata kama mnaelekea njia moja. - Kula chakula au kupokea zawadi yoyote kutoka kwa mteja. - Kuzungumze masuala yako binafsi na mteja. Husiano wako na mteja ubaki purely professional, hakuna zaidi, hakuna pungufu.
𝐔𝐧𝐢𝐟𝐨𝐫𝐜𝐞 𝐄𝐧𝐞𝐫𝐠𝐲 𝐋𝐋𝐂™ tweet media
Indonesia
1
3
12
1.4K
Small Business Elevator retweetledi
𝗦𝗲𝗻𝗶𝗼𝗿 𝗠𝗼𝗻𝗲𝘁
Watu wengi mnaonekana kuwa watulivu kwa nje. Lakini ndani yenu mna mizigo ya familia, bili ambazo hazijalipwa, na ndoto ambazo bado hazijakamilika. Nawaombea wiki hii na mwezi huu uwalete matokeo ya jasho lenu.
Indonesia
1
7
46
1.2K
Small Business Elevator retweetledi
𝗦𝗲𝗻𝗶𝗼𝗿 𝗠𝗼𝗻𝗲𝘁
Maisha hubadilika. Unapoteza upendo. Unapoteza marafiki. Unapoteza sehemu ya nafsi yako ambavyo hukuwahi kudhani vitatoweka. Halafu, bila hata kutambua, vipande hivyo hurudi. Upendo mpya huingia. Marafiki bora huja. Na toleo lako lililo imara na lenye hekima zaidi huja.
Indonesia
0
5
28
785
Small Business Elevator
Small Business Elevator@SB_Ladder·
Ukijifunza zaidi, unakua zaidi. Ukikua zaidi, unakuwa bora zaidi. Ukikuwa bora zaidi, unapata kipato zaidi.
Indonesia
1
8
52
1.1K
Small Business Elevator
Small Business Elevator@SB_Ladder·
Kwa nini baadhi ya watu wana maisha rahisi hata kama hawaombi sana au hawaendi kanisani, wakati wengine wanaomba kila siku lakini hawaoni matokeo?
हिन्दी
36
10
160
10.7K
Jefesanto Jr
Jefesanto Jr@Isiakamunga13·
@SB_Ladder Acha kujidanganya unavyotoa zaidi ndo baraqa huongezeka, hela haijawahi kutosha n hatuijui siku ya kufa, ridhika, saidia📌
हिन्दी
1
0
1
6
Small Business Elevator
Small Business Elevator@SB_Ladder·
Ilinichukua muda kuelewa kuwa siwezi kusaidia familia yangu kabla sijajiinua mwenyewe. Nikijaribu kuwavuta bila kusimama imara, nitabaki palepale kwa muda mrefu zaidi.
Indonesia
1
10
61
1.7K
Small Business Elevator
Small Business Elevator@SB_Ladder·
Hakuna mtu aliyekua na ndoto ya kukua awe mfagiaji, keshia, mlinzi, dereva wa teksi, msafisha magari, mhudumu wa baa au mfanyakazi wa kawaida dukani. Sote tulikuwa na ndoto kubwa. Lakini maisha yakabadilika. Heshimu kazi ya mtu.
Indonesia
1
17
89
1.9K
Small Business Elevator retweetledi
𝐔𝐧𝐢𝐟𝐨𝐫𝐜𝐞 𝐄𝐧𝐞𝐫𝐠𝐲 𝐋𝐋𝐂™
Unaweza kuwa Unachotaka Kuwa ⚡ Hakuna aliyezaliwa akiwa fundi umeme bingwa ila kila fundi mahiri alianza na shauku, mazoezi, na kufanya kazi ngumu. • Anza kwa kutaka kujifunza. Kwa kuuliza maswali, kusoma michoro na kuelewa misingi ya umeme. — Thread:👇
𝐔𝐧𝐢𝐟𝐨𝐫𝐜𝐞 𝐄𝐧𝐞𝐫𝐠𝐲 𝐋𝐋𝐂™ tweet media
Filipino
1
4
12
1.1K
Small Business Elevator retweetledi
𝐔𝐧𝐢𝐟𝐨𝐫𝐜𝐞 𝐄𝐧𝐞𝐫𝐠𝐲 𝐋𝐋𝐂™
• Inafuata viwango vya kitaalamu au professional standards kwa lugha ya kimombo. Project nyingi hutaka labeling kama sharti ili wakati wa ukaguzi ziweze kupita bila shida. • Inaokoa gharama. Unakuwa na downtimes ndogo kwenye system yako. — Soma Zaidi:👇
Indonesia
1
4
6
564
Small Business Elevator retweetledi
𝐔𝐧𝐢𝐟𝐨𝐫𝐜𝐞 𝐄𝐧𝐞𝐫𝐠𝐲 𝐋𝐋𝐂™
Gharama za matengenezo nazo pia hupungua. Labeling si mapambo bali ni takwa la kitaalamu linalomtaka kila technician kulifata na hiii inaonyesha nidhamu ya kazi. - Ni usalama - Ni ufanisi. Thank you; kama umependa andiko letu! Please, unaweza kutufollow sasa. End.
Indonesia
0
4
8
525