SaMasenha

33 posts

SaMasenha banner
SaMasenha

SaMasenha

@SCsenha

Liverpool FC

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Eylül 2017
75 Takip Edilen58 Takipçiler
SaMasenha
SaMasenha@SCsenha·
@gcngo88 Nina vijana wa kucheza naye
हिन्दी
0
0
0
8
Enigmatic Notes
Enigmatic Notes@enigmatic_notes·
Football knowledge test. Guess the player. Level : Hard.
Enigmatic Notes tweet media
English
28K
1.5K
65K
7.1M
SaMasenha
SaMasenha@SCsenha·
@Jambotv_ Wakisifia ni sawa ila wakihoji wanaingilia siasa😆
Indonesia
0
0
0
74
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
VIDEO: Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limetoa wito kwa serikali ya Tanzania kuwaachilia mara moja na bila masharti viongozi wa kisiasa waliokamatwa kwa kudai haki, likisisitiza kuwa hatua hiyo ni muhimu katika kulinda amani ya taifa, hasa kuelekea mwaka wa uchaguzi. Rais wa TEC na Askofu wa Jimbo Katoliki Lindi, Mhashamu Wolfgang Pisa, amesema kuwa amani ya kweli haiwezi kupatikana kwa kutumia nguvu bali kwa maridhiano na haki, akisisitiza kuwa ni wajibu wa kila Mtanzania kulinda amani ya nchi kwa kuhakikisha mifumo ya uchaguzi inarekebishwa ili kutoa nafasi kwa upatikanaji wa viongozi wa haki na wa kweli. “Katika hali ya kawaida, nani anaharibu amani? Anayetumia nguvu na kusisitiza uchaguzi uende anavyotaka yeye au yule anayesema ‘jamani turudi mezani ili tuangalie mifumo yetu ya uchaguzi kwani mifumo ya sasa haiwezi kutupatia viongozi wa haki na kweli’?” amehoji Askofu Pisa. Akizungumza katika mkesha wa Pasaka uliofanyika Kanisa Kuu la Mtakatifu Andrea Kagwa, Jimbo Katoliki Lindi, Askofu huyo amesema kuwa kama kurudi mezani ndiko kunakoweza kulinda amani, basi kila anayehamasisha hilo anapaswa kuungwa mkono, si kukandamizwa au kukamatwa. “Kwa maana hiyo wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa, waachiwe haraka na bila masharti, na wengine wasikamatwe wala kusumbuliwa. Pia mihimili isiingiliwe bali itende kazi zake kwa haki,” amesisitiza. Amesema kuwa amani ni tunu adhimu inayopatikana kwa gharama kubwa, hivyo haipaswi kuchezewa, huku akisisitiza kuwa taifa linapaswa kuikataa dhana ya kuimba wimbo wa amani isiyotokana na haki. Kauli ya Askofu Pisa imekuja wakati ambapo mjadala wa mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi na ushiriki wa vyama vya siasa umekuwa ukitawala anga ya kisiasa nchini, huku kukiwa na malalamiko kutoka kwa baadhi ya vyama vya upinzani kama Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuhusu kukamatwa kwa viongozi wao wakubwa akiwamo Mwenyekiti wa CHADEMA taifa Tundu Lissu @TunduALissu , na ukosefu wa haki katika uendeshaji wa siasa.
Indonesia
255
666
1.8K
175.3K
Polos
Polos@PolosCB·
When you live Mbezi ya chini and you are trying to drive past Polos/Shoppers 😅....... and on top of that kesho it's a public holiday 🎉🥂🤣
Polos tweet media
English
1
2
13
730
Fabrizio Romano
Fabrizio Romano@FabrizioRomano·
🚨🔥 Mo Salah when asked for interview while he was leaving the stadium: “If I speak today… there will be fire”, said — via @JamesPearceLFC.
Fabrizio Romano tweet media
English
1.9K
7.3K
95.2K
9.2M
Nidas
Nidas@franknidas_cpa·
Utani sio utani?
Nidas tweet mediaNidas tweet media
5
1
39
984
Besho
Besho@ShabanSalehe·
Tukaanze weekend sasaa 😎
Besho tweet media
Indonesia
7
4
117
7.3K
Shola
Shola@shola_224·
Mwanangu @franknidas_cpa mama Gabby asipokuepo nyumbani anajidai amefunga, hajui kupika
Shola tweet mediaShola tweet media
Indonesia
2
0
1
142
,
,@godwillincrease·
I finally got a decent amount of sleep.
English
4
1
14
554