Tanzania - SGR Project 🇹🇿

1.5K posts

Tanzania - SGR Project 🇹🇿 banner
Tanzania - SGR Project 🇹🇿

Tanzania - SGR Project 🇹🇿

@SGR_tz

Ukurasa huu unasimamiwa na Shirika la Reli Tanzania - TRC kwa ajili ya kutoa taarifa za maendeleo ya Mradi Mkubwa wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa - SGR nchini🇹🇿

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Ağustos 2017
127 Takip Edilen47.3K Takipçiler
Tanzania - SGR Project 🇹🇿
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUREJEA KWA HUDUMA ZA USAFIRI WA TRENI ZA SGR KATI YA DAR ES SALAAM NA DODOMA
Tanzania - SGR Project 🇹🇿 tweet media
Indonesia
1
1
2
527
Tanzania - SGR Project 🇹🇿
Daraja la Malagarasi ni alama muhimu katika mradi wa SGR Awamu ya 2, kipande cha Sita kati ya Tabora na Kigoma. Daraja hili lenye urefu mita 465 (zaidi ya viwanja vinne na nusu vya kuchezea mpira wa miguu) likibebwa na nguzo 17 ujenzi wake umefikia asilimia 80.
Tanzania - SGR Project 🇹🇿 tweet mediaTanzania - SGR Project 🇹🇿 tweet mediaTanzania - SGR Project 🇹🇿 tweet mediaTanzania - SGR Project 🇹🇿 tweet media
Indonesia
0
1
4
791