Sylvanus Kamugisha

3.1K posts

Sylvanus Kamugisha banner
Sylvanus Kamugisha

Sylvanus Kamugisha

@SKamugisha

Architect & Civil Engineer, Managing Director @ Sylcon Builders Ltd.

Dar es salaam, Tanzania Katılım Haziran 2012
2.4K Takip Edilen1.3K Takipçiler
Sylvanus Kamugisha retweetledi
IAmHaule
IAmHaule@IAmHaule·
SIKU TANZANIA ITAKAPOAMKA KWENYE BLUE ECONOMY — WATU WENGI WATAJUTA KWA NINI HAWAKUINGIA MAPEMA. Namna watu wanatajirika kupitia Bahari .. 🧵👇🏼
IAmHaule tweet media
Indonesia
4
28
55
6.2K
Sylvanus Kamugisha retweetledi
Maulid Kitenge
Maulid Kitenge@mshambuliaji·
Baada ya Rais Donald Trump wa Marekani kumaliza ziara ya kikazi ya siku 2 nchini China, serikali ya Marekani iliwataka wale wote waliokuwa kwenye msafara huo akiwemo Rais, kutupa kila kitu walichopewa au kutumia wakiwa China kabla ya kuingia kwenye ndege. Zoezi hilo lilifanyika katika pipa la uchafu lililowekwa nje ya ndege. Vitu hivyo ni pamoja na simu za matumizi ya muda mfupi (burner phones), beji, vibali, pini, zawadi n.k Msafara huo uliacha simu zao binafsi zote ndani ya ndege yao Airforce one na zilihifadhiwa ndani ya mifuko maalumu ambayo haiwezi kushika ishara yoyote ya mtandao. Hatua hizi zilichukuliwa kwa sababu za kiusalama, huku Marekani ikiendelea kuamini kuwa China inaweza kutumia mwanya wowote kuifwatilia serikali yake kijasusi. Rais Trump alimaliza ziara hiyo ijumaa ya jana. #KitengeUpdates
Maulid Kitenge tweet media
Indonesia
36
48
787
73.6K