Said Twaha Mohammed

328 posts

Said Twaha Mohammed banner
Said Twaha Mohammed

Said Twaha Mohammed

@SaidTwaha

Political speaker (Public servant). Advocating for justice, Equality and Change🇰🇪 FACEBOOK; @ SAID TWAHA, TIKTOK; @ SAID TWAHA, INSTAGRAM; @ SAID TWAHA

Katılım Temmuz 2013
47 Takip Edilen51 Takipçiler
Said Twaha Mohammed
Said Twaha Mohammed@SaidTwaha·
Moyo wa mwanadamu ni msitu,hujui kama ndani anafuga mahaba au chuki. Almuhimu kupenda ni two way traffic,mapenzi ni huku na huku sio upande mmoja peke yake✌️
Indonesia
0
0
1
2
Said Twaha Mohammed
Said Twaha Mohammed@SaidTwaha·
Kuishi na wanawake ni kibarua kikubwa so mchezo😅. Ni vile hatuwezi kuishi bila wao😅. Kuishi na mwanamke kwataka moyo na nguvu za majirani😅lakini ukiwa na haya mambo manne basi mambo yatakuwa bambam❤️mutaishi mpaka muhitimishane in shaa Allah ❤️❤️❤️
Filipino
0
0
0
48
Said Twaha Mohammed
Said Twaha Mohammed@SaidTwaha·
Hauli ya Sayyid Muhdhar Abdalla ( Masjid Shamsiya Al Alawiya Mombasa).
Indonesia
0
0
0
16
Said Twaha Mohammed
Said Twaha Mohammed@SaidTwaha·
Muwe na Ijumaa saeeeddd❤️❤️❤️Karibuni✌️
Indonesia
0
0
0
0
Said Twaha Mohammed
Said Twaha Mohammed@SaidTwaha·
Hakuna mke asokuwa na dosari. Mwenye kumtaka mke aso na dosari basi huyo atakufa akiwa mjane,atakufa bila kuwa na mke yeyote sababu mke aina hiyo hakuna hapa duniani😅,wanawake wote wanasumbua😅wanawake mpo?😅Enjoy your weekend ❤️❤️❤️
Indonesia
0
0
0
3
Said Twaha Mohammed
Said Twaha Mohammed@SaidTwaha·
Mtu yeyote hasidi ni mgonjwa,usipoteze mda wako kupambana naye,muache na maradhi yake. Wewe daima kumbuka kumshkuru mola wako kwa neema alizokupatia na kuleta istighfar kila wakati❤️❤️❤️
Indonesia
0
0
0
5
Said Twaha Mohammed
Said Twaha Mohammed@SaidTwaha·
Hapo zamani ilikuwa watu hawataki kuzaa watoto wa kike,watoto wa kike walikuwa wakizikwa haswaa (Subhanallah)lakini watu wajue kwamba hakuna mwanamke mwenye barka zaidi kama yule anayekufungulia na mtoto wa kike mwanzo tena nyumba inakuwa na barka kubwa sana.
Indonesia
0
0
0
6
Said Twaha Mohammed
Said Twaha Mohammed@SaidTwaha·
Na anaye mtegemea Mwenyezi Mungu, Yeye humtosha; And whoever relies upon Allah - then He is sufficient for him.Surah At-Talaq (65:3)
English
0
0
0
1
Said Twaha Mohammed
Said Twaha Mohammed@SaidTwaha·
Expensive for nothing. Excessive delay. Cordial/ welcoming waitresses. Chakula si kithamuuuuu kabsaaaaa. Overall Rating 1 / 10.
English
0
0
0
4
Said Twaha Mohammed
Said Twaha Mohammed@SaidTwaha·
Skiza kisa cha kusisimua😊. Kuna tajiri alouliwa na watoto wa ndugu yake sababu ya mali. Mwenyezi Mungu kwa utukufu wake akaamrisha ng’ombe achinjwe na kipande cha nyama cha yule ng’ombe kimpige maiti ambaye atafufuka na kumtaja alomuua. (Surah Al- Baqarah /The story of the cow)
Indonesia
0
0
0
6
Said Twaha Mohammed
Said Twaha Mohammed@SaidTwaha·
Wanandoa hebu njooni hapa kidogo tuzungumze❤️❤️❤️. Niskizeni kwa makini sana😅
Indonesia
0
0
0
2
Said Twaha Mohammed
Said Twaha Mohammed@SaidTwaha·
Le Patron & Le Chairman short road trip🚖🚖🚖
English
0
0
0
4
Said Twaha Mohammed
Said Twaha Mohammed@SaidTwaha·
TUJITAHIDI KUWEKEZA KATIKA WEMA/ KATIKA MAMBO YA KHERI. WEMA HAUOZI,WEMA HAUHARIBIKI,WEMA HAUPOTEI, NI AKIBA YAKO UTAUKUTA WEMA WAKO UNAKUSUBIRI❤️❤️❤️
Indonesia
0
0
0
5
Said Twaha Mohammed
Said Twaha Mohammed@SaidTwaha·
Meet your drama king abdulswamad,king of mwakirunge. Ndugu zangu wa Mombasa, mimi niko hapa kuwakumbusha vile Abdulswamad alidhulumu watoto wa watu wa kiume and the way he is milking Mombasa dry. Soon nitawaeleza vile anaramba from each and every department. Stay tuned.
Filipino
0
0
0
19
Said Twaha Mohammed
Said Twaha Mohammed@SaidTwaha·
Skiza maneno 3adhwim ya the 4th highest in command in Kenya Rt. Hon Amason Jeffah Kingi EGH The 4th most powerful man,Senate Speaker. Ukipendwa na Mungu,upendwe na mkeo,upendwe na the 4th most powerful,upendwe na the 5th most powerful SG wa chama tawala Hassan Omar Hassan
English
0
0
0
20
Said Twaha Mohammed
Said Twaha Mohammed@SaidTwaha·
Unapoteleza na kufanya baya, basi fuatanisha na jema lifute lile baya. Unapokosa au unapokosea katika amri za Allah,acha kibr na uwe mwepesi wa kuomba msamaha.
Indonesia
0
0
1
67