Sajoka Da Silva_

35 posts

Sajoka Da Silva_ banner
Sajoka Da Silva_

Sajoka Da Silva_

@samagoal10

Salvatory Joseph Kabulwa Tabora Tanzania

Katılım Eylül 2020
13 Takip Edilen10 Takipçiler
Sajoka Da Silva_
Sajoka Da Silva_@samagoal10·
Nauli kutoka BUZA hadi TEMEKE ni tsh 300 lakini nauli kutoka TEMEKE hadi BUZA ni tsh 400/= Jamaa akamuuliza konda kwanini bei ni tofauti wakati route ni moja? Konda akamjibu kwanini kutoka JUMATATU hadi IJUMAA ni siku 5, lakini kutoka IJUMAA hadi JUMATATU ni siku 3 😂😂
Indonesia
0
0
2
0
Sajoka Da Silva_
Sajoka Da Silva_@samagoal10·
Hivi nikifa si tazikwa pekeangu!!?? Ooh Sasa Nafasi ya kumbembeleza mtu naitoa wapi!!? Kutoka leo sijipendekezi Wala Sifanyi ili nimfurahishe fulani mimi nitabaki kuwa Mimi nishajipendekeza vya kutosha Ukikosa ramani ya Maisha kachukue hata ramani ya jezi #FurahaYanguSoPesa
Indonesia
0
0
1
0
Sajoka Da Silva_
Sajoka Da Silva_@samagoal10·
Ahsante Sana Mungu Wangu kwa wema wako wote kwangu naamini wapo wanaotamani hata kuongea ama Kusikia Kama Mimi lakini hawawezi 😭😭 Umenipa vipaji Kama Kuimba, Utangazaji, Uchekeshaji, Uigizaji, Uchezaji Mpira na hata Ucheshi pia Thanks god for given #FurahaYanguSoPesa
Indonesia
0
0
2
0
CAF Online
CAF Online@CAF_Online·
🔟 🆚 🔟 African powerhouses Vincent Aboubakar 🇨🇲 and Mbwana Samatta 🇹🇿 will play in the same league this season. Who will score more? 👀
English
444
1.3K
3.4K
0
Sajoka Da Silva_
Sajoka Da Silva_@samagoal10·
Najikuta Ni mwenye maumivu makubwa kwa kilichokutokea pole Sana @gracekisaka Allah akuepushe na Adha pia naomba ondoka Kwanza mitandaoni watu wataongea mengi yao en then utaumia zaidi Kisha uchukue maamuzi magum japo sikujui ila nimetokea kukupenda Sana kwa upole na Unyenyekevu
Indonesia
2
0
4
0
Sajoka Da Silva_
Sajoka Da Silva_@samagoal10·
@GRACEKlSAKA @Shetani8 Najikuta Ni mwenye maumivu makubwa kwa kilichokutokea pole Sana @gracekisaka Allah akuepushe na Adha pia naomba ondoka Kwanza mitandaoni watu wataongea mengi yao en then utaumia zaidi Kisha uchukue maamuzi magum japo sikujui ila nimetokea kukupenda Sana kwa upole na Unyenyekevu
Indonesia
0
0
2
0
Sajoka Da Silva_
Sajoka Da Silva_@samagoal10·
Leo Cryastal Palace wamepita kwenye alama milia kwa raha zao yani halafu zaha bro huna hata huruma 😃😃😃
Filipino
0
0
0
0
Sajoka Da Silva_
Sajoka Da Silva_@samagoal10·
Oya mabaharia wenzangu ukigundua Kuna mdada unagalagaza moyo wake hakikisha Basi unamtega atoe ile Siri walipewa na Kashetani 😃😃 maana kosa umuombe namba tu ghafla utasikia ata salio Sina hii ndo sms ya mwisho ukimuuliza nikuunge au nitume atajibu tuma 😂😂 #FurahaYanguSoPesa
Filipino
0
0
0
0
Sajoka Da Silva_
Sajoka Da Silva_@samagoal10·
Inabidi tufikie hatua tuyafurahie matatizo yetu kwa sababu hatuijui kesho yetu kithamini ulichonacho muda huo epuka tamaa wewe Ni jasiri muongoza njia #FurahaYanguSoPesa
Indonesia
0
0
0
0
Sajoka Da Silva_
Sajoka Da Silva_@samagoal10·
Urefu wa kisima sio wingi wa maji kwa Sasa wewe Ni mtu mzima unaetazamwa kuja kuwa Mama/baba halisi wa familia yako je umejipangaje?? ama ndo mpaka ifike?? Jitahidi kufocus Akili yako iwaze sana mambo ya mbele Ili ujijengee heshima wewe na familia yako #FurahaYanguSoPesa #Gmaster
Indonesia
0
0
1
0
Sajoka Da Silva_
Sajoka Da Silva_@samagoal10·
Kuna mchezaji mmoja kazi yake Kona na free-kick tu 😃😃 Yan naiwazia Sana ile Tarehe 81 sijui watatokea wapi yani kwa sababu Huku bwana Ccm namuona yuko Moto Harmonize nae Yuko Moto Kwa kifupi litakufa jitu N.B mwenye akili kanielewa ninachomaanisha #FurahaYanguSoPesa
Indonesia
0
0
0
0