Sajoka Da Silva_
35 posts

Sajoka Da Silva_
@samagoal10
Salvatory Joseph Kabulwa Tabora Tanzania
Katılım Eylül 2020
13 Takip Edilen10 Takipçiler

Hivi nikifa si tazikwa pekeangu!!?? Ooh Sasa Nafasi ya kumbembeleza mtu naitoa wapi!!? Kutoka leo sijipendekezi Wala Sifanyi ili nimfurahishe fulani mimi nitabaki kuwa Mimi nishajipendekeza vya kutosha Ukikosa ramani ya Maisha kachukue hata ramani ya jezi
#FurahaYanguSoPesa
Indonesia

Ahsante Sana Mungu Wangu kwa wema wako wote kwangu naamini wapo wanaotamani hata kuongea ama Kusikia Kama Mimi lakini hawawezi 😭😭 Umenipa vipaji Kama Kuimba, Utangazaji, Uchekeshaji, Uigizaji, Uchezaji Mpira na hata Ucheshi pia Thanks god for given
#FurahaYanguSoPesa
Indonesia

Usinichukie Mimi Ni masikini ambaye Sina mbele Wala nyuma, najitafutia kiasi Cha kukidhi mahitaji yangu, jamii yangu na familia yangu naomba niwie Radhi mi Bado mdogo Sana
Zawadi Haina Lisiti
#FurahaYanguSoPesa
#NoOneKnowAboutTommorow
Indonesia

Najikuta Ni mwenye maumivu makubwa kwa kilichokutokea pole Sana @gracekisaka Allah akuepushe na Adha pia naomba ondoka Kwanza mitandaoni watu wataongea mengi yao en then utaumia zaidi Kisha uchukue maamuzi magum japo sikujui ila nimetokea kukupenda Sana kwa upole na Unyenyekevu
Indonesia

@GRACEKlSAKA @Shetani8 Najikuta Ni mwenye maumivu makubwa kwa kilichokutokea pole Sana @gracekisaka Allah akuepushe na Adha pia naomba ondoka Kwanza mitandaoni watu wataongea mengi yao en then utaumia zaidi Kisha uchukue maamuzi magum japo sikujui ila nimetokea kukupenda Sana kwa upole na Unyenyekevu
Indonesia

Ukipiga hodi Mara Moja usirudie hata Kama wamo epuka kusingiziwa visivyostahili, maisha ni mzunguko epuka ile kauli ya hodi Mara 3 wengine Huwa wanahisi kelele wakiinuka Ni mazima. Mwenye kichwa chepesi kanielewa
#FurahaYanguSoPesa
#ZawadiHainaLisiti
#HainaKufeli
Filipino

Unapoishi kwa mtu baki usijione umefika kuwa mnyenyekevu kwake huku ukitafuta mbinu za mafanikio yako Siku Moja uwe msaada wa kizazi chake ama Kizazi kingine Usijisahau kumbuka #Zawadi_Haina_Risiti
#FurahaYanguSoPesa
#HainaKufeli
#AfterGodMom
Indonesia

Oya mabaharia wenzangu ukigundua Kuna mdada unagalagaza moyo wake hakikisha Basi unamtega atoe ile Siri walipewa na Kashetani 😃😃 maana kosa umuombe namba tu ghafla utasikia ata salio Sina hii ndo sms ya mwisho ukimuuliza nikuunge au nitume atajibu tuma 😂😂
#FurahaYanguSoPesa
Filipino

Siku hizi dada zetu wanao boyfriend wawili
Waziri wa mambo ya fedha na Waziri wa Mambo ya ndani Kama ikitokea kajipeleka kichwa kichwa mwingine Basi huyo atakuwa Waziri wa mawasiliano na Uchangiaji
#FurahaYanguSoPesa
#NiheshimuNikupende
#NinaJeuriYaTalent
Indonesia

Hawa watu wanaozaliwa mwezi wa Tisa Hawa Asee mungu awasimamie hivi unajua kama walitengenezwa Mkesha wa mwaka Mpya 😃😃 Happy birthday WanaDecember 31 to September
#FurahaYanguSoPesa
#MwenyeFurahaYanguAnajijua
#ChekaUsinichukie
Indonesia

Mtu anaethamini chochote kizuri hufanikiwa kwa Mambo mazuri kwa sababu thamani inayothaminika haiwezi kumwacha Yule anaethamini kinachothaminika ipe thamani heshima ya Kuthamini
#FurahaYanguSoPesa
#BelieveThatGodIsWatching
#MasikiniMwenyeHelaZake
Indonesia

Inabidi tufikie hatua tuyafurahie matatizo yetu kwa sababu hatuijui kesho yetu kithamini ulichonacho muda huo epuka tamaa wewe Ni jasiri muongoza njia
#FurahaYanguSoPesa
Indonesia

Hata ukiwa star vp lakini hautabadilisha uhalisia wa kuwa wewe Ni binadamu mashimo ya pua yako yametazama chini Utakufa na utazikwa Dharau ya Nini? Kama hata ulichonacho utaachia wale unaowadharau
#StayHumble #WorkHard en #TrustGod
#FurahaYanguSoPesa
#TopScore
#SajokaFmRadio
Indonesia

Naaam hii ndo maana halisi ya professional player Mbwana Samatta @Samagoal_77 ipiganie Nchi yetu kaka 🙏🏽 tuko nyuma yako Papi
#MunguNaMasela
#Wizo
Mbwana Samatta@Samagoal_77
🤩🤩🤩
Indonesia

Urefu wa kisima sio wingi wa maji kwa Sasa wewe Ni mtu mzima unaetazamwa kuja kuwa Mama/baba halisi wa familia yako je umejipangaje?? ama ndo mpaka ifike?? Jitahidi kufocus Akili yako iwaze sana mambo ya mbele Ili ujijengee heshima wewe na familia yako
#FurahaYanguSoPesa
#Gmaster
Indonesia

Kuna mchezaji mmoja kazi yake Kona na free-kick tu 😃😃 Yan naiwazia Sana ile Tarehe 81 sijui watatokea wapi yani kwa sababu Huku bwana Ccm namuona yuko Moto Harmonize nae Yuko Moto Kwa kifupi litakufa jitu
N.B mwenye akili kanielewa ninachomaanisha
#FurahaYanguSoPesa
Indonesia
