“Msimamo wa mwanadamu haupaswi kuwa gereza la dhamira yake.
Kuna nyakati ambapo ukimya huwa mzigo kuliko maneno.
Sidai kuwa mimi ni mkamilifu, lakini nimeamua kutii dhamira yangu kuliko kuigiza consistency isiyo na ukweli. Si busara kushinikizwa kuonyesha “uanaume wa kisiasa” kwa kubaki sehemu ambayo dhamira yako haiwezi tena kutulia”
@MsigwaPeter Uko sahihi mchungaji japo ulitumia hasira Sana km vile ulikuwa unalipa kisasi Kwa Mzee Wa uchagani ambaye pengine anaweza kuwa hatar kuliko hata kijani yenyewe Kwa demokrasia ya nchi yetu. Kila la heri Mungu akubariki Sana.
‼️HUYU NDO THOBIAS MWESIGA, MUUAJI‼️
Mwesiga kasoma Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) baada ya kumaliza Chuo, mwaka 2014 aliajiriwa kama afisa wa TISS kitengo cha Siasa Bungeni.
Kama mtakumbuka vizuri mwaka 2019 Mwesiga alimtishia Zitto bastola ndani ya bunge, ni tukio ambalo lilizua mjadala sana kwenye mitandaoni ya kijamii, kila mtu akawa anajiuliza huyu jamaa ni nan, wengi tulimfahamu kupitia tukio hilo.
Baada ya kumtishia Zitto bastola, Mwendazake Magufuli alimpandisha cheo, alimtoa Bungeni na kumpeleka Ikulu ambako walimfanya kuwa Mkuu wa Dawati la Siasa.
Nduli Idd Amin Mama alivoingia tu madarakani alimteuwa Mwesiga kuwa Mkurungenzi wa TPDC April 20, 2021 baada ya watu kupiga kelele sana, akatengua uteuzi wake,
Mwesiga alipotea kwenye mambo ya siasa maana baada ya uteuzi wake wa TPDS kutenguliwa, alipelekwa NEMC ambako alikuwa afisa wa kawaida.
September 2024 wakati tunajiandaa kwenda kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa Nduli Idd Amin Mama akamrudisha Ikulu ambako alirudi kuwa Mkuu wa dawati la Siasa na mtu ambae alimpigia chapuo mpaka akarudishwa kwenye hiyo nafasi ni Hussein Bashe maana kipindi hicho Nduli na Bashe walikuwa damdam.
Mwesiga aliporudishwa tu kwenye hiyo nafasi kazi yake ya kwanza ambayo alifanya ilikuwa ni kukamata na kutekwa vijana wengi sana na kazi yake ya pili ilikuwa kuharibu Uchaguzi wa Serika za mitaa, votongoji na vijiji ambapo alifyeka majina ya wagombea wote wa Vyama vya upinzani ili maccm yapite bila kupigwa kwenye Uchaguzi wa Novemba 27, 2024.
Baada ya kuharibu Uchaguzi wa mitaa aliendelea kuteka na kupoteza watu ambapo alimeka @mdudenyagali Aman Manengelo, Mbeshi Paul, Juma Kaswahili n.k
Mwesiga ndo aliyempa maelekezo Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Mutungi ili aseme hawatambui Viongozi wetu ambao Mwenyekiti Mhe. Lissu aliwateuwa na Baraza Kuu likawapitisha akiwemo Katibu Mkuu Mnyika, Manaibu na Wajumbe wa Kamati Kuu
Mwesiga ndo aliyetumika kumnunua Said Issa na wenzake ili wafungua kesi Mahakamani Kuu ili kuzuia CHADEMA isifanye shughuli za kisiasa
Ikumbukwe kwamba Mwesiga na Msajili wa vyama Jaji Mutungi wanatoka Kijiji kimoja ndo maana akiwa kwenye Dawati la Siasa kwa kushirikiana na msajili Mutungi waliweza kuishughulikia Chadema sana
Kama mtakumbuka vizuri wakati kampeni ya #NoReformsNoElection ilivoshika kasi kila kona ya nchi, ilipofika September kuelekea Oktoba 29, Kuna vijana zaidi ya 104 kutoka Mikoa mbalimbali nchini akiwemo Mwenyekiti wetu wa Ludewa walitekwa na kupotezwa hadi leo lengo ilikuwa kutisha watu ili wasiandamane Oktoba 29, sasa Mratibu wa matukio hayo ya watu kutekwa na kupotezwa alikuwa ni huyu Mwesiga.
Baada ya Oktoba 29, 2025 kupita Mwesiga aliondolewa kwenye Dawati la Siasa kwasababu kuu mbili.
1. Kwenye project ya CHAUMWA aliipiga Serikali haram ya Nduli Idd Amini Mama bilioni 15 ambazo zilikuwa kwa ajili uhamisho wa Mhe. Mbowe kutoka CHADEMA kwenda CHAUMA maana Mwesiga aliwahakikishia kwamba ameshamalizana na Mhe. Mbowe na kwamba Mbowe amekubali kuwa mgombea Urais wa CHAUMA so pesa ilipigwa na Mhe. Mbowe hakwenda CHAUMA
Jambo la pili, Mwesiga alikuwa anathumiwa kwamba alikuwa akipanga safu ya Bunge kwa kurecommend kwamba Kamati Kuu ya CCM impitishe fulani kuwa mgombea au imkate.
Mwesiga na baadhi ya Viongozi wandaamizi wa Serikali haram walituhumiwa kwamba walipanga safu ndani ya CCM ili waje kupitisha Spika wao, mwisho wa siku waje kumuondoa Nduli Idd Amin Mama kwa Bunge kupiga kura ya kutokuwa na Imani nae na miongoni mwa watu ambao walikuwa wakituhumiwa pamoja nae ni pamoja na Job Ndugai, Hussein Bashe, Dotto Biteko, Jenista Muhagama, Tulia Akson, William Lukuvi, Kassim Majaliwa n.k
Kwasasa Mwesiga ni afisa wa kawaida ndani ya Mamlaka ya Kudhibiti ya kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) huko kazi yake kubwa ni kuwaomba rushwa watuhumiwa wa kesi kubwa za madawa ya kulevya kwa ahadi ya kwamba atawasaidia kuyajenga na DPP ili awafutie kesi lkn pia anafanya lobbying ili ateuliwe kuwa Mkurungenzi ili aendelee kunufaika na rushwa za wauza madawa.
Huwezi kusema uko ktk chama cha siasa cha upinzani lakini unajizuia kumuunga mkono Lissu aliyeyatoa maisha yake kwa ajili ya mapambano hayo.
Wengine wanapoteza muda na pesa za Watanzania.
An icon ✨ of democracy and freedom
#FreeTunduLissu
Huyu ndo alama na tunu ya Taifa! Mnavyoendelea kumshikilia ndo mnaendelea kumjengea larger than life reputation - sifa ya kipekee!
Binadamu huwezi kupangua mipango ya Mungu! Soon Tundu Lissu will be free - wajipange madhulmat!
#TheInterview | Mchungaji Peter Msigwa ambaye kwa sasa amerejea rasmi CHADEMA amesema baadhi ya maneno aliyokuwa akiyasema baada ya kuhamia CCM yalikuwa ni sehemu ya siasa za jukwaani, huku akiomba radhi kwa kauli zake za kipindi hicho baada ya kutangaza rasmi kurudi CHADEMA
#TheInterview | #SupaBreakfast | #EastAfricaRadio
#TANZANIA: LEMA AMVAA VIKALI MWIGULU SAKATA LA WATU KUTEKWA, AWEKA WAZI ISHU YA BEN SAANANE
Kaimu Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kati, Godbless Lema akiwahutubia wakazi wa Dodoma mjini waliojitokeza maelfu kusikiliza hoja za chama hicho Mei 24, 2026 amemvaa vikali Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba kuhusu sakata la utekaji, amkumbusha wakati yuko Waziri wa Mambo ya Ndani sakata la Ben Saanane.
Lema amemnukuu Mwigulu juu ya kauli yake ya utekaji kuwa ni ka mchezo na anaujuwa vizuri, Lema amesema Mwigulu aeleze umma wa Watanzania sakata la kutekwa Ben Saanane ni nani alimzuia kuendelea kufuatilia.
Zaidi: youtu.be/2OARo80cJP0
Najivunia kuwa sehemu ya kanda ya kati. Kwa mara nyingine tumevunja rekodi yetu wenyewe na rekodi ya kanda nyingine. The sleeping giant is about to stand up again.
Asanteni kwa kutuheshimisha.