Celestine Simba

3K posts

Celestine Simba

Celestine Simba

@Celestine_Simba

Mgombea ubunge jimbo la ULANGA 2020 (CHADEMA)na SPIKA WA BUNGE LA WANANCHI.

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Aralık 2018
698 Takip Edilen4.1K Takipçiler
Celestine Simba retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Nawakumbusha tu kwamba lile kontena la silaha za kivita ambalo Abdul aliingiza nchini wiki kadhaa kabla ya Maandamano ya Oktoba 29. Mtu ambae alimsaidia kununua izo silaha ni huyu Angela Kizigha maana kampuni yake ndo iko na tenda kusupply silaha Jeshini. Idd Amin Mama kampa zawadi ya Ubunge Angela ambae ni shost ake baada ya silaha alizoleta yeye na Abdul kuuwa Watanganyika zaidi ya elfu kumi Oktoba 29.
Hilda Newton tweet media
Indonesia
19
76
437
20.4K
Celestine Simba retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Wale wa “Siasa sio mambo yangu” kuna ujumbe wenu hapa..
Hilda Newton tweet media
Indonesia
52
98
580
28.2K
Celestine Simba retweetledi
Kennedy Wandera
Kennedy Wandera@KennedyWandera_·
Tanzania's🇹🇿 main opposition party, CHADEMA, formally writes to the African Union #AU to rescind and replace its recent appointment of former President Jakaya #Kikwete as the High-Level Representative of the #AUC for the Horn of Africa and the Red Sea, citing lack of neutrality and playing a "central role in stalling Tanzania's constitution-making process". His "support for Samia Suluhu's and John Magufuli's regimes that have curtailed civil liberties and political pluralism further demonstrates a pattern incompatible with AU principles," a statement reads in part. The party says the #AU cannot appoint Kikwete, warns that his "record includes enabling political manipulation risks inflaming distrust among regional actors, weakening AU conflict-resolution efforts, and undermining prospects for sustainable peace." "The credibility of the African Union as a champion of democracy, peace, and security across Africa depends on principled leadership in key positions. The continent cannot afford decisions that risk undermining its legitimacy or compromising its capacity to mediate conflicts and safeguard human rights."
Kennedy Wandera tweet media
English
11
90
284
24.8K
Celestine Simba
Celestine Simba@Celestine_Simba·
Nyie si hamjui namna ya kudhibiti mfumuko wa bei, sasa sisi tutawasaidia kudhibiti mapato. Twende kazi wananguu
Celestine Simba tweet media
Filipino
33
250
1.4K
29K
Celestine Simba retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Kitaalam hii inaitwaje..?
Indonesia
18
87
330
10.8K
Celestine Simba
Celestine Simba@Celestine_Simba·
Samia pamoja na wabadhirifu wenzako wore tunataka muwajibishwe, sio kuona aibu, kwa kuwa hiyo aibu haitatusaifia kitu. We mwanamke, mbona unatuchosha na kaili za mkoleni? Khaa
Celestine Simba tweet media
Indonesia
2
5
26
496
Celestine Simba
Celestine Simba@Celestine_Simba·
@godbless_lema @davitheempire Toka tuanze kumtaja ye ye Samia kuwa ni muuaji na mbadhirifu wa Mali za umma, mbona haoni aibu? Yeye kutwa ni vijembe, anataka watu waone aibu? Vipi kuhusu kuwajibika? Sisi tunataka wawajibishwe siyo kuona aibu. Pumbavu kabisa
Indonesia
1
2
6
160
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Kauli ya Samia Suluhu Hassan ya kutaja taasis kuwa ni aibu kama adhabu ni udhaifu mkubwa mbele ya uzito wa tatizo. Hasara ya mabilioni ya fedha za umma si kosa la kuoneana aibu ni kosa la kuwajibika kisheria. Tazama tofauti ya mifumo, CANADA, CEO wa Air Canada ameingia kwenye shinikizo kubwa na kuondoka kazini baada ya kufanya mawasiliano ya umma kwa lugha ya Kiingereza pekee huku akisahau Kifaransa. Lugha zote mbili ni rasmi nchini Canada. Hilo lilionekana kukiuka misingi ya uongozi. Na sasa amejiuzulu. Sasa linganisha na Tanzania. Mabilioni yanapotea na utendaji mbaya unaendelea kuimarika lakini adhabu zinabaki kuwa aibu. Hapa ndipo tatizo lilipo. Taasisi kama Public Procurement Regulatory Authority PPRA na Prevention and Combating of Corruption Bureau TAKUKURU hazikuundwa kutengeneza orodha ya wanaoaibika. Zipo kulinda fedha za umma kwa hatua uchunguzi kesi na adhabu. Ukiharibu mali ya umma adhabu haiwezi kuwa jina lako kusomwa kwenye ripoti. Lazima iwe hatua inayoonekana. Bila hivyo aibu inabaki mzaha na mfumo unaendelea kuzalisha uzembe ule ule. Aibu kubwa ndio hii hapa sasa. Tanzania inaumizwa sana.
Indonesia
57
100
527
30.1K
Celestine Simba
Celestine Simba@Celestine_Simba·
@Jambotv_ 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣dah!!! Tanzania nchi yanguuuuuu, uchawa unapoingia kwenye professionals ni shida. Haha tuambieni sasa, daktari bingwa wa mbobezi wa kundomola maliasili za Tanganyika. Acheni uninga wenu kidogo tu.
Indonesia
0
0
4
379
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
HABARI PICHA: Hospitali ya Taifa Muhimbili imemtunuku tuzo ya heshima ya udaktari bingwa bobezi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ikiwa ni kutambua na kuthamini mchango wake mkubwa katika mageuzi ya huduma za Afya Nchini. Tuzo hiyo imetolewa kwenye hafla iliyowakutanisha Madaktari na wauguzi Bingwa bobezi Machi 28, 2026 kwenye Hoteli ya Johari Rotana jijini Dar es salaam.
Jambo TV tweet media
Indonesia
256
16
242
87.8K
Celestine Simba
Celestine Simba@Celestine_Simba·
KAMWE HATUTA SAHAU MAUAJI YA OCT 29, YALIYOTEKELEZWA KWA AMRI YA SAMIA.
Martin Maranja Masese@IAMartin_

JE, TUMESAHAU OKTOBA 29 HARAKA HIVI? Leo ni Machi 29, 2026. Ni jumla ya siku 152. Wastani wa miezi mitano tangu mauaji ya kinyama ya raia kufanywa na Serikali kwa raia waliokuwa wanaandamana. Hakuna ambaye anahusika na kutoa na kutekeleza amri amewajibika/amewajibishwa. Ni wazi hawajutii kwa kilichotokea. Leo najadili na wananchi wenzangu. Ndugu zetu walipoteza maisha wakipigania haki. Wasanii wengi waliamua kusimama upande wa watawala na kuwapa sifa/utukufu wakati damu ilipomwagika. Leo tunashangilia nyimbo zao siku nzima. Je, hii ndiyo ile “cancel culture” tuliyokesha na kujadili usiku kucha? Je, zile zilikuwa hasira za muda tu, na sasa zimepoa? Tuliahidi kutozika kumbukumbu zao, lakini tumeshazika utu wetu kwenye “playlists” za wasanii waliochagua vipande vya shilingi kuliko uhai wa mashabiki wao. Hao wasanii huwezi kuwatenga na uovu. Wakati wa maandamano, risasi zikirindima, hofu ikitawala. Wao walichagua kuimba sifa na kuachana na ukweli. Ukishabikia na kueneza kazi za wasanii wanaotumika na Serikali ya CCM, utakuwa umesaliti kumbukumbu ya wale waliofia ardhi, haki, na mustakabali wetu. Kususa kazi za wasanii lilikuwa hitaji la kimaadili, wito wa uwajibikaji (accountability). Tulihitaji kuwaona wasanii wakitambua wajibu wao kwa jamii/mashabiki. Hii si kuhusu kuupenda au kutoupenda muziki. Ni kuwakumbusha usanii si burudani tu. Ni sauti ya jamii. Wakati wa shida, sauti hiyo itumike kwa niaba ya watu Ni suala la hekima na uwajibikaji wa kijamii. Wasanii wana sauti yenye nguvu. Wanaweza kuwa sauti ya watu wakati wa shida, au kuwa zana ya propaganda. Wakati damu ilipomwagika na hofu ilipotawala, kuchagua kuimba sifa tu (bila kutambua maumivu ya watu) kulionekana kama kuwatelekeza mashabiki. Kabla ya kubishana nani msanii mkali, tukumbuke Oktoba 29, 2025. Damu ya ndugu zetu zisipuuzwe. Maisha yaliyopotea hayafai kufutwa na melody nzuri. Tusiwape promo waliotupa kisogo wakati wa mateso. Tusipagawe na midundo na kuwaneemesha wale ambao hawaoni tatizo lao na bado hawajajirekebisha. Hakuna muziki mzuri unaoweza kuzima kilio cha wanawake wajane na watoto yatima. Hakuna muziki unaoweza kufuta damu ya ndugu zetu iliyomwagika. Wakati kodi zetu zilinunua risasi zilizowatoa roho ndugu zetu, wasanii hawa walitunga beti za sifa kwa watawala. Huwezi kutenganisha sanaa yao na uovu. Kila mara unapocheza, ku-share, au kusifia kazi ya msanii aliyewapa kisogo wakati wa dhiki, unawazomea wajane na mayatima walioachiwa viti wazi mezani. Unacheza dansi juu ya makaburi ya wale ambao hawakupata hata fursa ya kuzikwa. Wengine maiti zao hazikupatikana. Ndugu wamezika picha na nguo. Msanii wa kweli ni kioo cha jamii, si pazia la kuficha ukatili. Msanii anayesimama na adui wa shabiki wakati wa mateso, amepoteza sifa ya kuwa sauti ya watu. Usikubali ‘melodi’ nzuri iwe kilema cha kumbukumbu yako. Haki haijapatikana, na damu bado mbichi. Tusiwashangilie waliotusaliti kwa vipande vya fedha. Let us never forget October 29, 2025. 💔

Indonesia
0
5
13
176
Celestine Simba
Celestine Simba@Celestine_Simba·
@hamdan_ham70252 Sisi tulivyohuzunika Oct 29 wao hawakutaka hata kujua wametuua wangapi, wakawa wanataja magari yao, vituo vya mwendokasi na vituo vya mafuta vilivyoungua kutoka na hitilafu za umeme.
Indonesia
0
0
0
35
Wadil-Kabiir.
Wadil-Kabiir.@hamdan_ham70252·
@Celestine_Simba Ni kama wamechanganyikiwa 😁 Hivi kweli mnatulazimisha tuhuzunike? Hii sijawahi kuona.
Indonesia
1
0
1
411
Celestine Simba
Celestine Simba@Celestine_Simba·
Kama unadhani unatutisha, kufa leo wanao waone vibe letu. Yaani Makombolelo itakuwa nchi nzima, kitimoto, mabia na shangwe kama la jumapili ya Matawi.
Celestine Simba tweet media
Indonesia
59
86
718
36.7K
Mangi wa Kichaga
Mangi wa Kichaga@MangiwaKwanza1·
Hii Project iliishia wapi 😆 hii nchi 😁
Mangi wa Kichaga tweet media
Eesti
22
19
185
7.7K
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
KIFO ni KIFO TU. Hakijali kama ni CCM au CHAUMA. Siyo vizuri KIFO cha mtu kihusishwe na ITIKADI yake ya KISIASA. Mtu yeyote anaweza KUFA bila kujali ni mfuasi wa chama gani. Siyo kweli kwamba WANAOKUFA NI CCM TU KWA SASA.
Peter Madeleka tweet media
Indonesia
44
10
161
12.5K
Larry Madowo
Larry Madowo@LarryMadowo·
Thank you 🥺 I don't consider myself a human rights defender, I'm just a journalist speaking truth to power
@Defenders Coalition 🇰🇪@DefendersKE

WINNER OF THE HUMAN RIGHTS DEFENDER AWARD! Congratulations to @LarryMadowo for winning the human rights defenders award, an award recognizing Individuals or movements who, within the past year, have demonstrated outstanding courage in addressing and challenging current human rights issues. #HRDAwardsAt10 #MeettheHRDs #CourageHasAName

English
185
846
5.6K
94.8K
Celestine Simba
Celestine Simba@Celestine_Simba·
You earned it brother, you deserve the badge. Hongera sana kaka.
Celestine Simba tweet media
English
1
14
77
772
Celestine Simba retweetledi
@Defenders Coalition 🇰🇪
WINNER OF THE HUMAN RIGHTS DEFENDER AWARD! Congratulations to @LarryMadowo for winning the human rights defenders award, an award recognizing Individuals or movements who, within the past year, have demonstrated outstanding courage in addressing and challenging current human rights issues. #HRDAwardsAt10 #MeettheHRDs #CourageHasAName
@Defenders Coalition 🇰🇪 tweet media
English
453
4.9K
17K
323.8K