sarafina

22.8K posts

sarafina banner
sarafina

sarafina

@SaraZone222

Time matter ⏲

Tanzania Katılım Nisan 2019
1.2K Takip Edilen4.4K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
sarafina
sarafina@SaraZone222·
Ukitenda wema nenda zako wala usigeuke nyuma📌
5
2
24
0
sarafina retweetledi
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Naombeni Oda za Sato na Sangara wakubwa wakuu 🙏🏼
Indonesia
4
18
89
2.8K
sarafina retweetledi
Mkanaani 🇮🇱🇹🇿
Mkanaani 🇮🇱🇹🇿@Mkanaani_·
2026 soma Biblia acha kutegemea watu wakosomee
Nederlands
2
3
15
272
Odo
Odo@NajjatOmar·
😂😂😂😂😂
QME
85
36
222
24.7K
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Hatanii, leo wameuza amana ya 15m usd
Jambo TV@Jambotv_

Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka Watanzania watunze akiba ya chakula walichonacho na waepuke matumizi yasiyofaa kutokana na hali ya kuchelewa kwa msimu wa mvua. Waziri Mkuu ametoa wito huo leo jioni (Jumapili, Desemba 14, 2025) wakati akizungumza na baadhi ya Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya, ofisini kwake Mlimwa, jijini Dodoma. Amewaeleza viongozi hao kutoka mikoa ya Dodoma na Singida kwamba Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) ilitoa utabiri wa mwelekeo wa msimu wa mvua za vuli na mvua za msimu kwa kipindi cha Oktoba 2025 hadi Desemba 2025 na kipindi cha mwezi Novemba, 2025 hadi Aprili 2026 mtawalia. “Kutokana na utabiri huo, baadhi ya mikoa nchini inatarajiwa kuwa na mvua za chini ya wastani hadi wastani na kutawaliwa na vipindi virefu vya ukavu na mtawanyiko wa mvua usioridhisha,” amesema. Amesema tathmini hiyo ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania inaonesha hali ya kuchelewa kwa mvua inatarajiwa katika maeneo ya mikoa ya Dodoma, Katavi, Kigoma, Singida, Tabora, Iringa, Mbeya, Mtwara, Njombe, Songwe, Rukwa, Ruvuma pamoja na Kusini mwa mkoa wa Morogoro. “Pamoja na kuwa hakuna tishio la uhaba wa chakula kutokana na hifadhi ya chakula iliyopo nchini, lakini ni vema, wananchi waendelee kuzingatia matumizi sahihi ya chakula. Tuna akiba ya chakula ya kutosha lakini ninawasihi wananchi waweke akiba na kuepuka matumizi yasiyo ya lazima,” amesema. Ametumia fursa hiyo kuwakumbusha wakulima waandae mashamba kwa wakati na watumie pembejeo zinazoendana na upatikanaji wa mvua chache sambamba na kuzingatia ushauri wa wataalamu wa kilimo ambao kwa sasa wanazunguka nchi nzima kukutana na wakulima na kutoa elimu. Vilevile, Dkt. Mwigulu amewataka wafugaji wote waweke mipango mizuri ya matumizi na uhifadhi wa maji na vyakula vya mifugo ili kukabiliana na hali hiyo. Waziri Mkuu amewasisitiza Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya wahakikishe maafisa ugani wanawatembelea wakulima na kutoa ushauri ikiwemo matumizi sahihi ya mbegu kulingana na hali ya hewa badala ya kukaa ofisini muda wote. “Vilevile, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri endeleeni kuhamasisha wakulima wajisajili kwenye daftari la mkulima na kuhakikisha wanapata namba za usajili,” amesisitiza. Amewataka viongozi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Kampuni ya Mbolea Tanzania (TFC) zihakikishe kuwa shehena za pembejeo zinahudumiwa kwa wakati ili usambazaji ufanyike kwa ufanisi.

Indonesia
14
9
284
31.6K
sarafina
sarafina@SaraZone222·
Kuna muda nashangaa hawa binadanu
हिन्दी
0
0
1
16
Dr Calipso
Dr Calipso@nulphin·
Hiyo satelite mnayotuangalia nayo ndo satellite gani tena? 😂
Dr Calipso tweet media
Filipino
244
542
4.3K
118.5K
sarafina
sarafina@SaraZone222·
Movie part 2 msamaha
Filipino
0
0
0
16
sarafina
sarafina@SaraZone222·
@MiriamMkanaka Kuna wakati namuuliza Mungu mbona umenyamaza jamaniii yaani naongea mwenyewe siku hizi khaaa naona nakuwa mwendawazimu haki jamani jamani
Indonesia
0
0
0
14
MIRIAM💜
MIRIAM💜@MiriamMkanaka·
Niffer na wenzake 21 wameshtakiwa kwa makosa 3 ya uhaini 1. Kula njama ya kutenda uhaini (wote 22) 2. Kutaka kuzuia Uchaguzi 2025 na kusababisha vurugu (21) 3. Niffer kuhamasisha kuvuruga Uchaguzi na kuuza barakoa za kukinga mabomu (Niffer)
MIRIAM💜 tweet media
112
131
1.4K
73.1K
sarafina retweetledi
Mkanaani 🇮🇱🇹🇿
Mkanaani 🇮🇱🇹🇿@Mkanaani_·
Yesu Kristo tunaomba katikati ya vilio vyetu vilivyotugusa sehemu kubwa ya wa Tanzania hatukuoni jifunue mwenyewe kutuponya tusije tukakufuru sikia huko mbinguni.
Indonesia
1
14
68
838
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
🤣🤣🤣
Lubasha Jr tweet media
QME
149
36
981
93.4K
sarafina
sarafina@SaraZone222·
@MiriamMkanaka Apumzike kwa Amani 🙏to soon ila Mungu ndio jibu ya yote
Indonesia
0
0
0
14
MIRIAM💜
MIRIAM💜@MiriamMkanaka·
Honestly kwa Umati uliojitokeza Bochi kwa ajili ya Clara inaonesha jinsi gani alikuwa mtu wa watu si Mtandaoni wala mtaani kwake Dar mtu kuacha kazi zake nakuja kukushika mkono ni kazi mno But Mortuary ilijaa mpaka watu wakisimama, Asante kwa X Familia kwa upendo mlionesha Tuliofika na walio mshika mkono kwa kutoa walicho barikiwa,walio ombea Familia kipindi chote hiki, Shukrani za dhati kwenu, Familia imeshukuru mno kama roho inaona kama wanavyosema basi anatabasamu na upendo wetu, Apumzike kwa Amani🙏❤️
MIRIAM💜 tweet media
Indonesia
98
277
1.7K
68.7K
sarafina retweetledi
M A G I R I
M A G I R I@Kiganyi_·
Ukimpa Zitto mic umwambie atoe maoni.
M A G I R I tweet media
Română
41
38
419
31.4K