Scotex
13.1K posts

Scotex retweetledi

Nina hisi deni kwenye nafsi yangu, kuwa na exposure ndogo niliyonayo na kukaa kimya nikiona vijana wenzangu wana angamia.
Kuhusu engagement; ninapingana na forex trading toka 2021. That means i have been hunting engagements since 2021.

leo@leo_unsc
@Positivenga1 Leo umeamka kutafata engagement mtu mwenye exposoure kama wewe kutokuelewa kwamba forex ni biashara kama biashara nyingine na biashara sio kwajili ya kila mtu inashangaza sana.
Filipino
Scotex retweetledi

With 3,9B ninavuta ranch ekari zangu kama 250 ndani ndani Kitengule huko
Ninaagiza Ankole fresh kama 120 kwa mjomba Muhoozi, mbuzi katoliki kama 60
Halafu nafungua winery ya kupikia makali na najenga farm house
Hapa najua nitabakiza na change ya off road truck moja
Just me
Lubasha Jr@MarekaMalili
KIWANJA KINAUZWA – MBEZI BEACH (ZENA) 📍 Location: Mbezi Beach, Zena – second plot kutoka baharini 📐 Size: 2,500 SQM 💰 Price: TZS 3.9 Billion (Negotiable) ✅ Eneo zuri sana kwa uwekezaji (residential/commercial) ✅ Karibu na bahari ✅ Upatikanaji wa huduma muhimu kwa urahisi.
Indonesia
Scotex retweetledi

Nina mwanangu ni MD alikuwa anafanya kazi taasisi moja binafsi alikuwa anakunja kama 2.7m
akiwa na miezi mitatu tu job ,akapata kazi gavoo !
Akataka kugoma kwenda
Mzee wake akamwambia asipoenda ahesabu hana baba 😂😂😂
ADENUGA✝️@hereiseddy_
Siku namwambia big bro kuwa nimeresign from gavoo😅 Angekuwa na uwezo wa kunipa laana nahisi ningepata😅😅💔
Indonesia

BTW
niliresign permantent employment as “Assistant Accountant” sababu nilipata 6 month contract tena ya “Finance Intern”😅
Hata ungekua ni wewe usingeelewa kwanini nilichukua huo uamuzi!
ADENUGA✝️@hereiseddy_
Siku namwambia big bro kuwa nimeresign from gavoo😅 Angekuwa na uwezo wa kunipa laana nahisi ningepata😅😅💔
Indonesia
Scotex retweetledi

@iamthatfemale Men…
Focus on yourself!! Hizo lessons za kutuma txt don mean shit km uko vizuri binafsi.
Ukikimbiza kipepeo humkamati… tengeneza bustani Vipepeo watajifunza wao text za kukutumia wewe…
Last but not least; Never take fishing advice from the Fish.
English

Kuna mwehu mmoja nilitiaga voko akawa anachomoa kama hivi
Nikasema isiwe kesi, poteza na potezea kila kitu.
Yule mjinga bado ananiita tu bebi kwenye texts mpk leo na zote mi kimyaaa.
KINANGE BoY@Massawe_44
Oyaa !!🙌🏾😂
Indonesia

@Scotex_ Fuata hizo hapo juu hints ndio upate more invites time za usiku na morning












