Sdk, PhD
37.1K posts

Sdk, PhD
@SdkKalula
Father | Husband | Anko | mTz | Part-time Farmer | ICT4D Enthusiast | RTs ARE NOT ENDORSEMENTS |


My guy Magesa Gamba battled hepatitis B. It was humiliating to see him in a shape of hopelessness and helplessness. Sikuwahi kujua msiba until I frequented ICU for my G. ‘Saini tuzime mashine maana ubongo ushakufa’ was unbelievable! Keep resting in power, my dawg Magesa🤲

🕊️ Chuck Norris has died at 86. tmz.me/N3EVxQe

Nimeona taarifa ya kuuzwa kwa account ya X ya chama, tuhuma hii ni nzito sana na Katibu Mkuu @jjmnyika ndio alipaswa kutoa taarifa hii kwakua ni jambo ambalo lipo chin yake lakin mpaka sasa yupo kimya.Najiuliza je utaratibu wa uendeshaji wa chama umebadilika au. KM atoke atueleze


@Danquadruple Hilo mbona halina ubishi? Ishu ni nani aliyeua? Na sababu zipi zilisababisha kutokea yaliyotokea

Nimeona taarifa za wakenya estimation 200+ wanapigana kwenye Jeshi la Russia Nchini Ukraine. Ukienda UN, AU, Common wealth, Innovation za AI, Fundraising za startup, EAC Hub, Kila Fursa lazima ukute kuna wakenya wengi, Sie wamalawi tunakwamaga wapi? Hata Russia hakuna mmalawi 1 ?

VIDEO: Msomi wa Masuala ya Siasa za Maridhiano, mwandishi wa habari mwandamizi, Ezekiel Kamwaga @ezekiel_kamwaga , ametoa dira mpya kuhusu mchakato wa maridhiano ya kisiasa nchini Tanzania, akisisitiza kuwa hatua ya kwanza ni kujenga mtangamano wa tabaka la wanasiasa (Elite Cohesion). Katika uchambuzi wake ulioenea mitandaoni, Kamwaga amebainisha kuwa nchi imefika hatua ambayo maridhiano hayakwepeki kufuatia matukio ya kisiasa ya kabla na baada ya uchaguzi wa Oktoba 29 mwaka jana. Amesema kuwa bila viongozi wa vyama hasimu kukutanishwa na kuanza kuaminiana, juhudi nyingine zozote zinaweza kugonga mwamba. Kamwaga, ambaye amebobea katika utafiti wa kwanini siasa za maridhiano hufaulu au kufeli barani Afrika (masomo aliyoyachukua nchini Uingereza), amefafanua: “Maelewano baina ya viongozi wa juu wa kisiasa katika taifa lolote ndiyo hujenga kitu kinaitwa elite cohesion yaani mtangamano wa tabaka la wanasiasa. Kwa sasa hilo halipo na bila hilo itakuwa vigumu kufikia maridhiano yoyote ya kisiasa nchini”.



Kwamujibu wa katiba yetu ya @ChademaTZ2 kwasasa @HecheJohn ndio kiongozi mkuu wa chama, kosa kubwa analofanya hajui kwamba kesi ya kisiasa huwa inaisha kisiasa,alikaa ndani week moja akaanza kulia anaumwa. Mwenyekiti @TunduALissu amesema jana jela sio pazuri. Heche ni dhaifu sana
