Seif Chekanae Goga

8.6K posts

Seif Chekanae Goga banner
Seif Chekanae Goga

Seif Chekanae Goga

@SeifGoga

๐™๐™š๐™จ๐™ฅ๐™ค๐™ฃ๐™จ๐™ž๐™—๐™ก๐™š ๐˜พ๐™ž๐™ฉ๐™ž๐™ฏ๐™š๐™ฃ ๐™ค๐™› ๐™ฉ๐™๐™š ๐™๐™๐™ ๐™๐™—๐™ช๐™ฃ๐™œ๐™ค ๐˜พ๐™ค๐™ฃ๐™จ๐™ฉ๐™ž๐™ฉ๐™ช๐™š๐™ฃ๐™˜๐™ฎ ๐˜พ๐™–๐™ฃ๐™™๐™ž๐™™๐™–๐™ฉ๐™š - ๐˜พ๐˜พ๐™ˆ ๐™‹๐™–๐™ง๐™ฉ๐™ฎ ๐™€๐™ก๐™š๐™˜๐™ฉ๐™ž๐™ค๐™ฃ 2025

Chalinze, Tanzania Katฤฑlฤฑm Nisan 2014
1.7K Takip Edilen1.2K Takipรงiler
Johnbest Mwahaja
Johnbest Mwahaja@JohnieZeBestยท
Isingekuwa wajumbe, labda leo namimi ningekimbia na Mbunge wangu @SeifGoga ๐Ÿ˜‚
Indonesia
2
0
3
304
Seif Chekanae Goga retweetledi
Ambassador James G. Bwana
Ambassador James G. Bwana@JGBwanaยท
Ambassador James G. Bwana tweet media
Pretoria, South Africa ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ ZXX
0
6
11
399
Seif Chekanae Goga retweetledi
Samia Suluhu
Samia Suluhu@SuluhuSamiaยท
Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Mheshimiwa William Vangimembe Lukuvi (Mb.), aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Isimani, kilichotokea leo jijini Dodoma. Tumepoteza kiongozi shupavu, mahiri, mwenye uzoefu mkubwa, mzalendo na mtumishi wa umma aliyelitumikia Taifa letu kwa uadilifu, weledi na kujitolea. Mchango wake mkubwa katika ujenzi na maendeleo ya Taifa letu utaendelea kuenziwa na kukumbukwa siku zote. Ninatoa pole kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Mussa Azzan Zungu, familia, wananchi wa Jimbo la Isimani, ndugu, jamaa na marafiki pamoja na Watanzania wote kwa msiba huu. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. Amina.
Samia Suluhu tweet media
Indonesia
242
134
760
67.9K
THE LAZARUS
THE LAZARUS@mchiziMonieยท
Nirudishe mzigo wa Mangi sasa๐Ÿ˜Œ
THE LAZARUS tweet media
Filipino
8
7
35
781
Seif Chekanae Goga retweetledi
Johnbest Mwahaja
Johnbest Mwahaja@JohnieZeBestยท
Happy New Year | 2026 Cc; @SeifGoga
Johnbest Mwahaja tweet mediaJohnbest Mwahaja tweet media
English
9
10
61
5.2K
Seif Chekanae Goga retweetledi
Johnbest Mwahaja
Johnbest Mwahaja@JohnieZeBestยท
Vijana ni sehemu muhimu ya watumiaji wa huduma za afya, lakini bado hawajapewa nafasi ya kushiriki kwenye maamuzi ya uendeshaji huduma hizo. Tuiunge mkono Serikali kuboresha mwongozo wa kamati za afya ili vijana wapate uwakilishi stahiki. #LetsTalkTz | #AfriYANTz
Johnbest Mwahaja tweet media
Indonesia
0
15
17
899
Seif Chekanae Goga retweetledi
Johnbest Mwahaja
Johnbest Mwahaja@JohnieZeBestยท
Vijana ni watumiaji wakubwa wa huduma za afya, lakini hawana uwakilishi kwenye kamati za uendeshaji vituo vya afya. Mwongozo unaeleza wanawake pekee bila kutaja vijana. Ni wakati Wizara kuboresha mwongozo ili vijana wapate sauti katika maamuzi ya afya. #LetsTalkTz | #AfriYANTz
Johnbest Mwahaja tweet media
Indonesia
0
15
20
3.1K
Seif Chekanae Goga retweetledi
AfriYAN Tanzania
AfriYAN Tanzania@AfriYANTanzaniaยท
Vijana ni sehemu muhimu ya watumiaji wa huduma za afya, lakini bado hawajapewa nafasi ya kushiriki kwenye maamuzi ya uendeshaji huduma hizo. Tuiunge mkono Serikali kuboresha mwongozo wa kamati za afya ili vijana wapate uwakilishi stahiki. #LetsTalkTz | #AfriYANTz
AfriYAN Tanzania tweet media
Indonesia
0
9
13
215
Seif Chekanae Goga retweetledi
Johnbest Mwahaja
Johnbest Mwahaja@JohnieZeBestยท
Serikali iharakishe utekelezaji wa CSE mashuleni. Tunaomba Wizara ya Elimu ipitishe maagizo ya kuimarisha elimu ya afya ya uzazi na kupitia upya mitaala ya walimu ili vijana wapate maarifa sahihi. Ni wakati wa kutimiza ahadi ya ICPD+25. #LetsTalkTz | #KijanaPlus | #AfriYANTz
Johnbest Mwahaja tweet media
Indonesia
1
22
26
2.5K
Seif Chekanae Goga retweetledi
Johnbest Mwahaja
Johnbest Mwahaja@JohnieZeBestยท
Ni wakati wa Wizara ya Elimu kuharakisha upatikanaji wa elimu ya afya ya uzazi na ujinsia mashuleni, na kurekebisha mitaala ya mafunzo ya walimu waweze kuwafundisha. Hatua hizi zitaitimiza ahadi ya serikali ya ICPD+25 kuweka msingi wa kizazi chenye uelewa. #LetsTalkTz #AfriYANTz
Johnbest Mwahaja tweet media
Indonesia
3
19
25
2.5K
Seif Chekanae Goga retweetledi
AfriYAN Tanzania
AfriYAN Tanzania@AfriYANTanzaniaยท
Ni wakati wa Wizara ya Elimu kuharakisha upatikanaji wa elimu ya afya ya uzazi na ujinsia mashuleni, na kurekebisha mitaala ya mafunzo ya walimu ili waweze kuwafundisha. Hatua hizi zitaitimiza ahadi ya serikali ya ICPD+25 na kuweka msingi wa kizazi chenye uelewa. #LetsTalkTz |
AfriYAN Tanzania tweet media
Indonesia
0
7
8
277
Seif Chekanae Goga retweetledi
Johnbest Mwahaja
Johnbest Mwahaja@JohnieZeBestยท
Kampeni ya #LetsTalkTz imetaja maeneo makuu matatu ya kimkakati yanayofanyiwa ushawishi na uchechemuzi katika sera ili kuleta mabadiliko chanya kwa vijana. 1๏ธโƒฃ Afya ya Uzazi 2๏ธโƒฃ Uwezeshaji Vijana Kiuchumi 3๏ธโƒฃ Ushiriki na Ushirikishwaji wa Vijana #LetsTalkTz | #AfriYANTz
Johnbest Mwahaja tweet media
เคนเคฟเคจเฅเคฆเฅ€
2
22
25
2.3K
Seif Chekanae Goga retweetledi
AfriYAN Tanzania
AfriYAN Tanzania@AfriYANTanzaniaยท
Kampeni ya #LetsTalkTz imetaja maeneo makuu matatu ya kimkakati yanayofanyiwa ushawishi na uchechemuzi katika sera ili kuleta mabadiliko chanya kwa vijana. 1๏ธโƒฃ Afya ya Uzazi 2๏ธโƒฃ Uwezeshaji Vijana Kiuchumi 3๏ธโƒฃ Ushiriki na Ushirikishwaji wa Vijana #LetsTalkTz | #AfriYANTz
AfriYAN Tanzania tweet media
เคนเคฟเคจเฅเคฆเฅ€
3
9
11
322
Seif Chekanae Goga retweetledi
AfriYAN Tanzania
AfriYAN Tanzania@AfriYANTanzaniaยท
Kampeni ya Kidigitali ya Ushawishi na Uchechemuzi wa Sera. Tunaangazia maeneo ya Afya ya Uzazi, Uwezeshaji Kiuchumi, na Ushirikishwaji wa Vijana kwa mustakabali bora wa vijana. #LetsTalkTz | #AfriYANTz
AfriYAN Tanzania tweet media
Indonesia
1
9
9
230
Seif Chekanae Goga retweetledi
Johnbest Mwahaja
Johnbest Mwahaja@JohnieZeBestยท
Ni eneo gani lina umuhimu mkubwa zaidi kwa maendeleo ya vijana wa Tanzania? #LetsTalkTz | #AfriYANTz
Filipino
5
14
24
4.6K
Seif Chekanae Goga retweetledi
AfriYAN Tanzania
AfriYAN Tanzania@AfriYANTanzaniaยท
Ni eneo gani lina umuhimu mkubwa zaidi kwa maendeleo ya vijana wa Tanzania? #LetsTalkTz | #AfriYANTz
Filipino
0
6
6
110
Seif Chekanae Goga retweetledi
Johnbest Mwahaja
Johnbest Mwahaja@JohnieZeBestยท
Kampeni ya Kidigitali ya Ushawishi na Uchechemuzi wa Sera. @AfriYANTanzania wanaangazia maeneo ya Afya ya Uzazi, Uwezeshaji Kiuchumi, na Ushirikishwaji wa Vijana kwa mustakabali bora wa vijana. #LetsTalkTz | #AfriYANTz
Johnbest Mwahaja tweet media
Indonesia
3
23
31
4.8K
Seif Chekanae Goga retweetledi
MR BEN
MR BEN@Eric__Bernardยท
LEADERS CLUB KINONDONI YAFURIKA KAMPENI ZA DKT. SAMIA Maelfu ya wananchi na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye Viwanja vya Leaders Club, Wilayani Kinondoni Mkoani Dar Es Salaam kwenye Mkutano wa Kampeni za Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumanne Oktoba 21, 2025.
MR BEN tweet mediaMR BEN tweet mediaMR BEN tweet mediaMR BEN tweet media
Indonesia
3
6
23
2.2K
Seif Chekanae Goga retweetledi
Samia Suluhu
Samia Suluhu@SuluhuSamiaยท
Shughuli ni watu na Kinondoni mmethibitisha hilo kwa vitendo. Ahsanteni sana kwa uelewa wa pamoja kuwa Oktoba 29 jukumu letu sote ni kwenda vituoni kupiga kura kwa amani na utulivu, na kuwachagua Wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM); Chama chenye historia, uwezo na uzoefu wa kulitumikia Taifa letu na watu wake na kinachobeba jana, leo na kesho ya nchi yetu. Mwenyezi Mungu awabariki sana.
Samia Suluhu tweet mediaSamia Suluhu tweet mediaSamia Suluhu tweet mediaSamia Suluhu tweet media
Filipino
458
136
350
71.2K
Seif Chekanae Goga retweetledi
Samia Suluhu
Samia Suluhu@SuluhuSamiaยท
Nimekuwa na wakati mzuri na wananchi wa Kata ya Namanyere, Wilaya ya Nkasi, Mkoa wa Rukwa. Nimefurahi kuona na kusikia kutoka kwao; kwanza, namna maisha yao yalivyoboreshwa kupitia utekelezaji wa miradi ya maendeleo; pili, uelewa wao juu ya umadhubuti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kujenga Tanzania bora, yenye amani na mshikamano; na tatu, hamasa na uamuzi wao kuwa, watachagua wagombea wa CCM Oktoba 29. Ahsanteni sana. Mwenyezi Mungu awabariki.
Samia Suluhu tweet mediaSamia Suluhu tweet mediaSamia Suluhu tweet mediaSamia Suluhu tweet media
Filipino
212
119
375
55.5K