Selcom
1.3K posts

Selcom
@SelcomTanzania
Tanzania’s leading payment services provider. Wasiliana nasi BURE 0800 784 888. Bofya Link Kupata Selcom POS sasa











Kamwene Iringa! Tumewafikia🔥🔥 Tunafuraha kukukaribisha Selcom Experience Center mpya Iringa Mjini, Uhindini Road karibu na Maranatha Pharmacy. Huduma zetu zote zinapatikana hapa Mawakala wanapata float kwa haraka na urahisi. Wateja wa Selcom Pesa wanaongeza salio papo hapo. Pata Selcom Pesa Mastercard, mashine za uwakala na biashara (POS), karatasi za risiti za POS na huduma nyinginezo. Usajili wa mawakala unafanyika papo hapo. Tunafungua Jumatatu – Jumamosi, Saa 2 asubuhi mpaka Saa 2 usiku. Karibu Iringa mjini ujipatie huduma bora za haraka na zinazokidhi mahitaji yako. #SelcomPesa







🚨 ZANZIBAR tupo🔥 Selcom Experience Center mpya sasa ipo Mpendae Mall! 👉 Ongeza salio papo hapo 👉 Pata Selcom Mastercard & POS 👉 Mawakala: float fasta, usajili papo hapo ⏰ Mon–Sat | 8am–8pm Karibu ujipatie huduma bora na za haraka kutoka Selcom! #SelcomInatosha


























