Young Sembo retweetledi

Kocha Mkuu wa #SimbaSC Zoran Maki leo ametambulishwa rasmi mbele ya waandishi wa habari, ambapo pamoja na mambo mengine, amesema ana kazi kubwa ya kufanya kutokana na #SimbaSC kupata mafanikio makubwa kwenye michuano ya kimataifa barani Afrika.
#AzamSports #SisiNiSoka #AzamTV


Indonesia
















