Sabitlenmiş Tweet
Gem🫶
4.4K posts




Hili la kila mbunge kumsifia Rais bungeni, msingi wake huwa ni nini? Ni wanapewa script hiyo wapite nayo au? Ili iwe nini!?
Wasipofanya hivyo kwani ni Consequences zipi wanahofia watakutana nazo ikiwa mbunge hatolewi hadi amalize term yake!!
Na mbona wapo waliosifia last term na hawajarudi!!
Kazi ya kubwa ya bunge ni kuisimamia na kuishauri serikali na idara zake!!
Kuwasilisha maslahi ya wananchi na kutunga sheria!!
Hili la kumsifia Rais na kumtetea kila kitu ni wrong move!!
Ikiwa urais ni taasisi na unaisifia kila saa taasisi hiyo ambayo ndio serikali unayopaswa kuisimamia…..🤔
Wale sio wawakilishi wa wananchi ni wahuni tu waliovaa suti na tai!!
Indonesia

Tumepeleka na bado tunapeleka ndugu zetu, jamaa na marafiki kwa waganga wakatibiwe akili tukiamini wamerogwa!!
Ukweli ni kwamba haya ni maradhi ya afya ya akili yanayopaswa kutibiwa hospitali ama kwenye idara za afya ya akili na wala sio ushirikina!!
Cha ajabu wakati mwingine hata hospital wanashindwa na kukushauri ukajaribu kwa waganga au nyumba za ibada!!
Kuna mawili…. its either huduma zetu za afya sio bora, au bado tuna jamii yenye imani za kishirikina zaidi ya uhalisia uliopo!!
Filipino

Shukrani kwa Mwenyezi Mungu Mtukufu na mwingi wa rehema kwa kunijalia kuifikia siku nyingine ya kumbukizi ya kuzaliwa na umri wa miaka 66. Kwa moyo wa dhati, nimepokea na ninawashukuru nyote kwa salamu zenu za upendo.
Nimesherehekea siku hii kwa kupanda miti. Wito wangu kwenu, tujenge na tuendeleze utamaduni wa kupanda miti na kutunza mazingira ili nayo yaendelee kututunza sisi na vizazi vijavyo.




Indonesia

Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano, Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania na Tovuti: ikulu.go.tz
_________
#TanzaniaYetuSote
#NchiYetuKwanza
#MaendeleoEndelevu

Indonesia

Kenya is preparing for a major infrastructure push as key national stadiums are scheduled to be shut down for upgrades, with the goal of reaching elite continental standards before AFCON 2027. 🏟️✨
Authorities are under real pressure to deliver venues that match the level expected for a tournament of Morocco’s benchmark quality and time is ticking.
Big test off the pitch, long before the first ball is kicked.
#AFCON2027 #AfricanFootball #AFCONwithMicky

English

Ramovic is quietly cooking at CR Belouizdad this season:
📊 So far:
• 23 games
• 12 wins
• 7 draws
• 4 defeats
🏆 2nd in the Algerian Ligue 1
🌍 Top of their CAF Confederation Cup group
🏆 Through to the Algerian Cup quarter-finals
That’s consistency on all fronts that is the league, Africa and domestic cup.
Serious work flying under the radar.
#CRB
#AfricanFootball

English

💬 Simba wanafahamu Chama huyu sio yule, lakini bora uwe na huyu kuliko kuwa na Mutale ambaye hajui afanye nini akiwa ndani ya boksi la adui. Kuna kundi kubwa la wanachama na mabosi ambao wamesamehe yote yaliyopita kuhusu Chama kuliko kumuona Mutale akikokota mpira kuelekea kwa adui.”
— Edo Kumwembe.


Filipino

Kipa wa zamani wa timu ya Taifa Tanzania @TaifaStars_ na Yanga SC, Peter Manyika amefariki dunia Alfajiri ya leo katika Hospital ya St. Monica, DSM.
Mwili wake umepelekwa kuhifadhiwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala huku chanzo cha kifo chake kikielezwa kuwa ni kuugua kwa muda mrefu.
#KitengeUpdates

Indonesia

Three eras. Three icons. One impossible choice…
Sadio Mané 🇸🇳 – Humble king, UCL winner, AFCON hero, carried a nation on his back.
Samuel Eto’o 🇨🇲 – Serial winner, UCLs, trebles, big-game animal. Different level of mentality.
Didier Drogba 🇨🇮 – The final boss. Big matches = Drogba time. Chelsea legend, clutch DNA.
Different generations, same greatness. African football royalty. 👑🌍
I’m not starting a war but… who’s YOUR favorite? 👀
#AfricanFootball

English

















