Sense International Tanzania

198 posts

Sense International Tanzania banner
Sense International Tanzania

Sense International Tanzania

@SenseintTZ

Our vision is of a world in which all people with deafblindness can be equal and active members of society.

Tanzania Katılım Ocak 2023
36 Takip Edilen28 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Sense International Tanzania
Sense International Tanzania@SenseintTZ·
Sense Internationa Tanzania ni shirika lisilokuwa la kiserikali ambalo linalenga kuhakikisha watu wasioona na wenye ulemavu mchanganyiko wanajumuishwa katika shughuli za maendeleo na wanakuwa sehemu ya mipango ya maendeleo bila kuachwa nyuma kutokana na changamoto ya ulemavu.
Indonesia
0
0
1
108
Sense International Tanzania
"Kwa sasa wazazi wanawaleta watoto hospitali kwa ajili ya kufanyiwa ubainishaji, ni vizuri tukaanza utaratibu wa sisi kwenda mtaani ili kuwafikia watoto wengi zaidi" Dkt. Isabella Ipopo Mganga Mfawidhi - Zahanati Mbagala Kizuiani.
Sense International Tanzania tweet media
Indonesia
0
0
0
6
Sense International Tanzania
Siku ya Karume ni fursa ya kukumbuka mchango wa Hayati Abeid Amani Karume katika kujenga jamii yenye usawa na mshikamano. Sense Tanzania tunaendelea kufanya kazi ya kuwawezesha watoto na watu wenye uziwikutoona kupata haki zao za elimu, afya, na ushiriki katika jamii.
Sense International Tanzania tweet media
Indonesia
1
0
0
14
Sense International Tanzania
Sense International Tanzania@SenseintTZ·
Katika picha hizi, walimu wa Shule ya Msingi Lukuledi Maalum iliyopo Masasi, Mtwara, wanashiriki majadiliano ya kina kuhusu uziwikutoona (Deafblindness), ikiwemo kuelewa viashiria vyake na namna ya kuwabaini watoto wenye hali hii shuleni..
Indonesia
1
0
0
5
Sense International Tanzania
Sense International Tanzania@SenseintTZ·
𝐇𝐚𝐤𝐮𝐧𝐚 𝐞𝐥𝐢𝐦𝐮 𝐣𝐮𝐦𝐮𝐢𝐬𝐡𝐢 𝐛𝐢𝐥𝐚 𝐰𝐚𝐥𝐢𝐦𝐮 𝐰𝐚𝐥𝐢𝐨𝐰𝐞𝐳𝐞𝐬𝐡𝐰𝐚. 🌱📚 Katika mwendelezo wa utekelezaji wa mradi wa CADiR, maandalizi ya mafunzo kwa walimu kutoka shule 10 zinazoshirikiana kwa karibu na mradi yanaendelea kuimarishwa.
Sense International Tanzania tweet mediaSense International Tanzania tweet mediaSense International Tanzania tweet mediaSense International Tanzania tweet media
Indonesia
1
0
0
6
Sense International Tanzania
Sense International Tanzania@SenseintTZ·
Moja ya mafanikio ya mradi wa Task Order 51 tuliokuwa tunautekeleza kwa mikoa ya Shinyanga na Mwanza ni kuwawezesha wazazi wa watoto wenye ulemavu kiuchumi kwa kuwapatia msaada wa kifedha unaowawezesha kuanzisha biashara ndogondogo ili waweze kumudu gharama za shule za watoto wao
Indonesia
0
0
0
4
Sense International Tanzania
Sense International Tanzania@SenseintTZ·
Ili kufikia jukwaa hili, tafadhali bonyeza kiungo (link) kilichopo kwenye wasifu (bio), kisha chagua "Global Deafblindness Resource Hub". Utapelekwa moja kwa moja kwenye mtandao huo.
Indonesia
0
0
0
4
Sense International Tanzania
Sense International Tanzania@SenseintTZ·
Maudhui haya yameandaliwa kwa lengo la kutoa msaada na mwongozo kwa watu wenye ulemavu, wazazi au walezi wa watoto wenye ulemavu, pamoja na walimu wanaofundisha katika vitengo maalum vya elimu jumuishi.
Indonesia
1
0
0
5
Sense International Tanzania
Sense International Tanzania@SenseintTZ·
Karibu kwenye Global Deafblindness Resource Hub, jukwaa maalum lililoundwa mahsusi kwa ajili ya watu wenye ulemavu. Kupitia mtandao huu, utapata maudhui mbalimbali ya kielimu na kijamii, ikiwemo video na makala za maandishi.
Indonesia
1
0
0
8
Sense International Tanzania
Sense International Tanzania@SenseintTZ·
𝐊𝐮𝐡𝐚𝐦𝐚 𝐤𝐮𝐭𝐨𝐤𝐚 𝐬𝐞𝐡𝐞𝐦𝐮 𝐦𝐨𝐣𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐝𝐚 𝐧𝐲𝐢𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞: Baadhi ya watu wenye uziwikutoona wanahitaji kupata huduma ya mkalimani-mwongozaji mtaalamu (interpreter-guide) ili kuwapatia msaada wa mawasiliano na mwongozo katika hali au mazingira fulani...
Indonesia
1
0
0
3
Sense International Tanzania
Sense International Tanzania@SenseintTZ·
Haya ni maeneo ambayo watu wenye uziwikutoona huitaji msaada zaidi ili kufanikisha shughuli zao za kila siku. 𝐌𝐚𝐰𝐚𝐬𝐢𝐥𝐢𝐚𝐧𝐨: Wanahitaji kuwa na mkalimani anayetumia lugha ya alama ya kugusa (tactile sign language)...
Sense International Tanzania tweet media
Filipino
1
0
0
4