Sabitlenmiล Tweet
Simba SC Photos TZ๐ธ
1.4K posts

Simba SC Photos TZ๐ธ
@SimbaSCPhotosTZ
#Photos ๐ธ all about @SimbaSCTanzania @SimbaQueenscTZ : Leaders, Players & Fans World Wide. #NguvuMoja #WenyeNchi #OneTeamOneDream ๐ฆ๐ช๐ดโช
Tanzania Katฤฑlฤฑm Aฤustos 2021
73 Takip Edilen10.6K Takipรงiler
Simba SC Photos TZ๐ธ retweetledi

Wakati wa sherehe za kuagwa kwa Kocha Pep Guardiola, Bernardo Silva alimtania Pep kwa kumuuliza kuhusu video yake maarufu iliyosambaa sana Mitandaoni wakati ule, ambapo alionekana akiongea na kubishana vikali na kiti kilichokuwa tupu bila mtu yeyote.
Guardiola alicheka sana kwa aibu, licha kutojibu kwa wakati huo, alijibu baadaye alipoulizwa tena na waandishi wa Habari, akikiri kwamba kasi ya mechi mara nyingi humfanya aonekane kichaa.
Filipino
Simba SC Photos TZ๐ธ retweetledi
Simba SC Photos TZ๐ธ retweetledi
Simba SC Photos TZ๐ธ retweetledi
Simba SC Photos TZ๐ธ retweetledi

Simba SC Photos TZ๐ธ retweetledi
Simba SC Photos TZ๐ธ retweetledi

TUONGEZE FOLLOWERS WETU SASA
โ๏ธ Reply handle yako hapa
โ๏ธ Like handle zilizowekwa na watu
โ๏ธ Mtu aki like handle yako mfollow
โ๏ธ Mtu akikufollow follow back
โ๏ธ Nifollow mimi @BarakaEnock_
Kwa pamoja tutafika 10K, ๐๐
Filipino
Simba SC Photos TZ๐ธ retweetledi
Simba SC Photos TZ๐ธ retweetledi
Simba SC Photos TZ๐ธ retweetledi

๐จ โUandishi wa habari ni kazi ya kuhabarisha na kuburudisha, siyo sababu ya mtu kudhalilishwa au kutukanwa.
Kumuonesha Rio Ferdinand goli la Clatous Chama haimaanishi chuki dhidi ya timu yoyote, bali ni sehemu ya kumbukumbu ya soka letu....๐๐จ
ยปPole sana dada yetu @meena_ally kwa maneno yasiyofaa kutoka kwa baadhi ya watu.
Mashabiki wa kweli wanajenga heshima hata wanapokuwa na tofauti za kimtazamo.....๐๐จ
ยปEndelea kufanya kazi yako kwa weledi na kujiamini.
Sauti yako ina thamani kubwa kwenye michezo na burudani Tanzania @meena_ally ๐น๐ฟ โค๏ธโ
NB: โSTAY STRONG, @meena_ally GREAT PEOPLE ARE ALWAYS CRITICIZED FOR DOING GREAT WORK.
KEEP SHINING, KEEP INSPIRING, AND NEVER LET NEGATIVITY SILENCE YOUR PASSION.
FOOTBALL IS ABOUT MEMORIES, EMOTIONS, AND ENTERTAINMENT NOT HATE. MUCH LOVE AND RESPECT โค๏ธโ
Indonesia
Simba SC Photos TZ๐ธ retweetledi
Simba SC Photos TZ๐ธ retweetledi
Simba SC Photos TZ๐ธ retweetledi
Simba SC Photos TZ๐ธ retweetledi
Simba SC Photos TZ๐ธ retweetledi
Simba SC Photos TZ๐ธ retweetledi
Simba SC Photos TZ๐ธ retweetledi
Simba SC Photos TZ๐ธ retweetledi
































