kAruNgu yeye

20K posts

kAruNgu yeye banner
kAruNgu yeye

kAruNgu yeye

@SnitskiJ

it Is not the Artificial Intelligence wE shoulD be worried About but rather naTural stUpidity.

Katılım Kasım 2016
1.4K Takip Edilen1K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
kAruNgu yeye
kAruNgu yeye@SnitskiJ·
ZXX
2
10
30
0
kAruNgu yeye
kAruNgu yeye@SnitskiJ·
@isdorykibasa @EsirEid Kuna namna tifauti ya kuishi maisha ya hapa duniani, moja ni kwa kuhisi kila linalo tokea ni njama dhidi yako, namna nyingine ni kwamba mambo hua yana tokea tu, and you are insignificant. Mimi napingana na kauli ya kusema watu wana nufaika na mambo kua mabaya ndomana hawaboresh
Filipino
1
0
0
22
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Kama ningekuwa WAZIRI WA NISHATI Tanzania, jambo la kwanza ningepunguza ni msongamano wa magari ya mafuta hasa Dar es Salaam. Suluhisho la msingi ni kuwa na depot za mafuta angalau moja katika kila mkoa, na pia kuimarisha usambazaji wa mafuta kupitia pipeline (mabomba ya mafuta) badala ya kutegemea sana malori. Mfano mzuri nimeuona Kenya. Mafuta husafirishwa kwa bomba kupitia Kenya Pipeline Company kutoka Mombasa hadi maeneo ya ndani ya nchi. Kuna depots muhimu kama: Kisumu (inayohudumia Nyanza na magharibi mwa Kenya),Eldoret (kitovu kikubwa cha mafuta kwa Afrika Mashariki),Nakuru na Nairobi Mfumo huu unapunguza sana idadi ya malori barabarani na gharama za usafirishaji. Pia nchi nyingine Afrika zinafanya hivi: Afrika Kusini ina mtandao mkubwa wa pipelines kusambaza mafuta ndani ya nchi na Nigeria pia hutumia pipelines kusambaza mafuta kutoka maeneo ya uzalishaji hadi miji mikubwa Mapendekezo kwa Tanzania: 1.Kujenga depots za mafuta kimkakati katika mikoa yote,Hii itapunguza utegemezi wa Dar es Salaam kama kituo kikuu pekee 2.Kupeleka mafuta kwa pipeline hadi mikoa ya ndani,Mfano: kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma, Mwanza, na Mbeya 3.Kuanzisha depots katika mikoa ya mipakani ili kupunguza safari ndefu za malori mathalan; Zambia na CONGO iwe Mbeya….Rwanda & Burundi: Kahama au Bukoba… Malawi: Mbeya au Ruvuma (Songea)…Kenya & Uganda: Mwanza 4.Kuruhusu mafuta ya transit kuhifadhiwa karibu na mipaka,Badala ya malori kutoka Dar kusafiri hadi mipakani moja kwa moja Faida zake ni kubwa: -Kupunguza foleni kubwa ya malori ya mafuta Dar es Salaam -Kupunguza ajali za barabarani zinazohusisha malori ya mafuta -Kupunguza gharama za usafirishaji wa mafuta -Kushusha bei ya mafuta kwa mlaji wa mwisho -Kuongeza ufanisi na usalama wa usambazaji wa nishati -Kuifanya Tanzania kuwa kitovu kikuu cha usambazaji wa mafuta kwa nchi jirani Kwa kifupi, huu ni uwekezaji wa kimkakati ambao unaweza kubadilisha kabisa sekta ya nishati na uchumi kwa ujumla.
Indonesia
67
64
334
14.9K
kAruNgu yeye
kAruNgu yeye@SnitskiJ·
@isdorykibasa @EsirEid Mfano kwa mtu anae lishia watoto wake kwa kazi ya udereva akisha soma huu ujumbe wako atakua na hali gani?
Indonesia
1
0
0
11
Isdory Isdory
Isdory Isdory@isdorykibasa·
@EsirEid tuna treni ile ya kigoma ya mkoloni inaweza kuvuta tanks hata 50 kwa trip lakini watu wapo radhi watumie malori 50 madereva 50 kama hawapati surplus ni kwanini wasitumie treni ni waizi tu hao na wachoyo
Indonesia
1
0
2
50
kAruNgu yeye
kAruNgu yeye@SnitskiJ·
@isdorykibasa @EsirEid Nazani ni kushindwa kufanya maamuzi kwa wakati, ila sioni kama kuna watu wanashikiria ama wanakwamisha hatua hiyo, ninacho hisi ni nchi yetu bado inaendelea kwaio mawazo kama haya yaendelee kuwekwa mezani hatimae maamuzi yafanyike hatimae maendeleo thabiti .
Indonesia
0
0
0
25
Isdory Isdory
Isdory Isdory@isdorykibasa·
@EsirEid uchumi umekuwa hodhi sana na watu wachache wanatengeneza faida ndio maana unaona kama watu wanateseka kumbe ndio wanatengeneza faida kubwa kwa style hiyo kuna bomba la Tazama linawapa wakati mgumu sana wenye malori wao wapo kwa ajili ya faida na sio kuservice
Filipino
3
1
5
650
kAruNgu yeye
kAruNgu yeye@SnitskiJ·
@EsirEid Kimsingi hii ndo aina ya vijana tunataka, sio wanao lalamika na kulaumu bila mapendekezo, bila mpango wala ushauri. Kongole kaka
Indonesia
1
1
2
90
annie
annie@ohhanxiety·
Can you name one thing the USA gave to the world?
annie tweet media
English
3K
65
535
91K
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
Baadae utasikia “Watanzania naombeni msaada wenu. Nina kansa ya mkundu”.
Fortunatus Buyobe tweet media
Indonesia
287
136
1.4K
75.8K
kAruNgu yeye
kAruNgu yeye@SnitskiJ·
@bajabiri Hivi shida iko wapi kwa hivi vyombo vya habari, kwann wana endekeza hizi ujinga?
Indonesia
0
0
0
101
kAruNgu yeye
kAruNgu yeye@SnitskiJ·
@bajabiri Kaka mbona kama vile hatuongelei Kisamvu hapa. Kina chumwa kila siku mpaka kina kosa ladha sio?
Filipino
3
0
20
2.6K
Hormuz™️
Hormuz™️@bajabiri·
Visamvu vya Dar havina taste kabisa....sijui shida vinachumwa kila siku au wapishi hawaweki viungo,au vinaanza kuchumwa vikiwa vidogo sana...compared to mikoani Visamvu vina ladha ya asili. Kama umezoea kula kisamvu cha mkoani, kisamvu cha Dar hutakiweza....
हिन्दी
82
38
492
33.3K
kAruNgu yeye
kAruNgu yeye@SnitskiJ·
@bajabiri Wakwetu wakirudi kusoma wanatuvimbia, na hao ni kwa watakao rudi, wengine hata kurudi hawataki
Filipino
0
0
0
88
Hormuz™️
Hormuz™️@bajabiri·
Iran pia amesoma. Ila nchi za Asia zilikuwa na utaratibu wa kupeleka vijana wengi sana Magharibi wakasome na wakajifunze teknolojia huko kisha waje kutumikia kwenye nchi zao. ○China ○India ○Japan ○Singapore Walitumia hii mbinu na imewafikisha hapo walipo. Sisi SASA 😁
Siyaga Enock Jr@siyagaenock1

@bajabiri Kwann akapate PhD university of Kent wakti Iran kuna vyuo bora?

Filipino
6
7
74
4.4K
kAruNgu yeye
kAruNgu yeye@SnitskiJ·
@ianmiles What was the situation before the Israel and US attacks?
English
0
0
0
2
kAruNgu yeye
kAruNgu yeye@SnitskiJ·
@KennedyMmari Huyu jamaa ni kama vile ana artificial pressure hivi, sijui ndo hizo files za pedophilia ama kuna sababu nyingine lakini kwa namna ana kingana na maneno yake kila siku lazima kuna mahali anapokea maelezo.
Filipino
0
0
0
6
Kenny Mmari Snr.
Kenny Mmari Snr.@KennedyMmari·
It's unbelievable that the Democrats are now anti-war. Trump went too far to the right this time. One of the biggest mistakes I made was believing Trump was an anti-war president during the campaigns. I think the entire world was conned and duped.
Democrats@TheDemocrats

Deranged, unhinged, and criminal.

English
4
1
10
1.4K
Hormuz™️
Hormuz™️@bajabiri·
Siku hizi mnara mmoja wa simu unatumiwa na makampuni yote.....
Indonesia
28
32
627
29.1K
Rhoda
Rhoda@Symply_rhoda1·
@Bella__Bahby I get your point. Teaching kids to defend themselves is important, but it should also be done in a safe and responsible way.
English
65
0
2
4.5K
Rhoda
Rhoda@Symply_rhoda1·
Parents, please stop sending your kids to school with the mindset of “if someone hits you, hit them back.” You are part of the problem.
English
15.1K
719
4.4K
5.2M
kAruNgu yeye
kAruNgu yeye@SnitskiJ·
@Symply_rhoda1 My offspring should firmly stand up and protect themselves. If little bully hits you, please be the bigger bully and hit his ass harder. It is Bullys parents' duty now to teach they kids not to touch my kid.
English
0
0
2
100
ᗰᗩƳᖇᗩ
ᗰᗩƳᖇᗩ@LePapillonBlu2·
George Galloway: “Donald Trump transferred 1.25 billion dollars from the US Treasury directly into his personal account in Qatar, under his name.”
English
1.1K
15.5K
38.2K
828K
kAruNgu yeye
kAruNgu yeye@SnitskiJ·
@KennedyMmari @KennedyMmari hawa jamaa bwana wanajikuta sana. Afu bajeti yao ya jeshi na vita ni mlima na kujifanya kama vile matatizo kwao wamesha yamaliza.
Indonesia
0
0
0
9
kAruNgu yeye
kAruNgu yeye@SnitskiJ·
@KennedyMmari CDC inaonyesha vifo vya wajawazito/vitokanavyo na ujauzito bado ni tatizo kubwa; mwaka 2024 kiwango cha maternal mortality kilikuwa juu zaidi sana kwa wanawake wenye miaka 40+ kuliko walio chini ya 25. Watu wengi huona hili kama kushindwa kwa mfumo wa afya wa umma.
Indonesia
1
0
0
10
Kenny Mmari Snr.
Kenny Mmari Snr.@KennedyMmari·
Again, this argument collapses under basic scrutiny. In the US, tens of thousands of people die every year from preventable causes tied to systemic failure including lack of access to healthcare, gun violence, and conditions linked to homelessness. These are not external threats. They are internal, persistent, and policy-driven. You cannot credibly claim the US ‘cares about its people’ when it consistently fails to protect them from avoidable death at scale. That is not a fringe critique BTW. Hollywood has brainwashed you so much that you think going in to evacuate one soldier is an indicator of care, not that of a political shame of being captured by foreign forces.
Positive Being@Ngailo

@KennedyMmari Moral victory is for minor league coaches.....kikubwa ni jinsi gani wanawajali watu wao kuliko vitu

English
5
0
14
1.6K