Pastor Kanyari🇰🇪

23.4K posts

Pastor Kanyari🇰🇪 banner
Pastor Kanyari🇰🇪

Pastor Kanyari🇰🇪

@StritCertified

| Nothing serious | Have fun | The only serious thing about this acc is that there is a human running it | Vocalist | Unapologetic Manchester United Fan

Tanzania Katılım Eylül 2021
630 Takip Edilen8.4K Takipçiler
CharlieBihemo
CharlieBihemo@CharlieBihemo·
Kabla hujafananisha Mwanza na Mikoa yenu ambayo haikustahili kuwa Majiji makubwa Karibu kutazama Uzuri wa Mwanza na Watu wake
Indonesia
3
2
16
2.7K
Pastor Kanyari🇰🇪
Pastor Kanyari🇰🇪@StritCertified·
Dont come to me for relationships advice, I promote break ups! 🤣🤣🤣
English
0
0
0
82
Pastor Kanyari🇰🇪
Pastor Kanyari🇰🇪@StritCertified·
Haikuwa mategemeo yangu but, it is official people, hapa ni mpka ramadhani iishe! 🥹🥹🥹
Filipino
0
0
1
180
Pastor Kanyari🇰🇪
Pastor Kanyari🇰🇪@StritCertified·
Umepambana umesomesha mtoto shule nzuri umelipa ada, mtoto anamaliza shule mzazi umekaa zako unaskia mtoto anauza ngono milioni tano huko! Sasa ulilipa ile ada ya nini?? 🤣🤣🤣
Filipino
0
0
0
287
Pastor Kanyari🇰🇪 retweetledi
minah🌹
minah🌹@queeen_minah·
Kazi yangu ni ile ile, nisapotini hata kwa RT tafadhali🙏🏽🥰 For Hair & makeup appointments Call/ Whatsapp 📲 0676335537 📍Sinza Mori, Ahadi St #glammedbyqueeenminah
minah🌹 tweet mediaminah🌹 tweet mediaminah🌹 tweet media
Indonesia
4
42
80
3.5K
Pastor Kanyari🇰🇪
Pastor Kanyari🇰🇪@StritCertified·
Came to think of it, Dstv inaitangaza Dstv kwenye Dstv to people who already have Dstv to get Dstv… whaaaat?
English
0
0
0
229
Pastor Kanyari🇰🇪
Pastor Kanyari🇰🇪@StritCertified·
Be with the one who says, “Baby lets fix this” achana na hilo pepo linalosema “mbona ulifanya vile mimi sikusema” they belong to the streets 🫠🫠 life is a gift
English
0
0
0
215
Travis
Travis@TravisKitengo_·
Moja ya Wasenge wanaoishi maisha yangu ya Ndoto ni huyu msee
Travis tweet media
Indonesia
42
26
456
45K
Mwigulu Nchemba, PhD
Mwigulu Nchemba, PhD@mwigulunchemba1·
Tunauanza mwaka mpya kwa imani na matumaini, tukijua Mungu anafanya jambo jipya kwa kila mmoja wetu (Isaya 43:19). Heri ya Mwaka Mpya wenye baraka.
Mwigulu Nchemba, PhD tweet media
Indonesia
586
47
569
80.2K
Pastor Kanyari🇰🇪
Pastor Kanyari🇰🇪@StritCertified·
If you have had it in 2026 you a whore 🤣🤣🤣
English
0
0
0
213
Pastor Kanyari🇰🇪
Pastor Kanyari🇰🇪@StritCertified·
Watoto wa mwaka wa kwanza UDSM bado hawajajipata wakivuka pale utawala huelewi wamevaa waende wapi! Huyu kavaa kama anaenda kanisani ibada ya pili, huyu kavaa kama anaenda kuperfom yule kavaa kama model anaenda kuonyesha mavazi yani huelewi
Indonesia
0
0
0
218
Simba Sports Club
Simba Sports Club@SimbaSCTanzania·
"Tuko hapa kuwatangazia Wanasimba wote Tanzania na duniani kwamba tumetoa punguzo la bei ya jezi kutoka Tsh. 45,000 hadi Tsh. 12,000. Ofa hii ya sikukuu ni kwa jezi zote, za ligi, za kimataifa na za watoto. Jezi za watoto zimetoka na sasa zinapatikana madukani."- Semaji Ahmed Ally. #NguvuMoja
Simba Sports Club tweet media
228
44
904
96.4K
Pastor Kanyari🇰🇪
Pastor Kanyari🇰🇪@StritCertified·
Nimegundua kuwa nahitaji Vpn Kiburi hakinifikishi popote!
Indonesia
0
0
0
253
Pastor Kanyari🇰🇪
Pastor Kanyari🇰🇪@StritCertified·
People with low self esteem can be draining! Sijui ninazeeka but yo’ kwanini mnakuwa offended na kila kitu?
English
0
0
2
588
Pastor Kanyari🇰🇪
Pastor Kanyari🇰🇪@StritCertified·
I think my mum really needs to learn to mind her own business, ni hapo nje saa hii amekaa na wamama wenzie wa kikoba nasikia anawaambia “Haki Tonny ni mgonja ni anaharisha tokea jana hata nguo havai anakaa room mda wote maana at any time anaenda chooni” Maaaam! Why? Why!?
Filipino
1
1
2
1.7K