Tanzania Media Women

11.3K posts

Tanzania Media Women banner
Tanzania Media Women

Tanzania Media Women

@TAMWA_

A peaceful Tanzanian society which respects human rights from a gender perspective. #ZuiaUkatili #WanawakeWanaweza

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Mart 2013
648 Takip Edilen14.2K Takipçiler
Tanzania Media Women
Tanzania Media Women@TAMWA_·
Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania- TAMWA leo kinaungana na watanzania wote katika kuadhimisha Siku ya Malezi kitaifa. TAMWA inaendelea kuhamasisha jamii kutambua umuhimu wa malezi na makuzi salama ya watoto wa kike na wa kiume.
Tanzania Media Women tweet media
Indonesia
0
0
1
37
Tanzania Media Women
Tanzania Media Women@TAMWA_·
Wawakilishi kutoka Thomson Foundation wameitembelea ofisi ya TAMWA na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa TAMWA, Dk Rose Reuben. Majadiliano hayo yalijikita katika mikakati ya maendeleo, fursa za mashirikiano yanayolenga kuimarisha vyombo vya habari na maendeleo ya jamii.
Tanzania Media Women tweet mediaTanzania Media Women tweet mediaTanzania Media Women tweet media
Indonesia
0
1
4
188
Tanzania Media Women
Tanzania Media Women@TAMWA_·
Tunaamini mdahalo huu wa leo utaleta mawazo chanya, ubunifu, na kutoa suluhu za pamoja katika kutokomeza ukatili wa kijinsia bila kumuacha yeyote nyuma,” Dr. Rose Reuben Mkurugenzi wa TAMWA. #SautiZetu #ZuiaUkatili #GIZ
Tanzania Media Women tweet mediaTanzania Media Women tweet mediaTanzania Media Women tweet mediaTanzania Media Women tweet media
Filipino
0
5
8
364
Tanzania Media Women
Tanzania Media Women@TAMWA_·
TAMWA inajivunia kuwa mjumbe wa Kamati kuu ya maadhimisho na kilele cha Sherehe za Uhuru wa Vyombo vya Habari, 2026 yenye kauli mbiu: Kujenga Mustakabali wa Amani- Kukuza Uhuru wa Vyombo Vya Habari kwa ajili ya haki za binadamu, maendeleo na Usalama.
Tanzania Media Women tweet mediaTanzania Media Women tweet mediaTanzania Media Women tweet media
Indonesia
0
2
4
245
Tanzania Media Women
Tanzania Media Women@TAMWA_·
Leo, tarehe 30 Aprili 2026 TAMWA kwa kushirikiana na mradi wa Sauti Zetu unaosimamiwa na GIZ, kimefanya ziara katika Kituo cha Jumuishi cha Mwananyamala. Lengo la ziara hiyo lilikuwa kujifunza na kufahamu kwa kina namna kituo hicho kinavyoshughulikia na kusimamia kesi za ukatili
Tanzania Media Women tweet mediaTanzania Media Women tweet mediaTanzania Media Women tweet mediaTanzania Media Women tweet media
Filipino
0
0
1
161
Tanzania Media Women
Tanzania Media Women@TAMWA_·
"Wanahabari tuanze kubadilika kwa kuandika habari za kina zenye uchambuzi, ili kututofautisha na wasio na taaluma ya uandishi wa habari na kujijengea imani kwenye jamii" Dkt Rose Reuben -Mkurugenzi TAMWA
Tanzania Media Women tweet mediaTanzania Media Women tweet mediaTanzania Media Women tweet media
Indonesia
0
3
10
343
Tanzania Media Women
Tanzania Media Women@TAMWA_·
TAMWA leo imeshiriki ufunguzi wa Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani,yanayofanyika kitaifa, mkoani Arusha. Maadhimisho ya WPF kwa mwaka huu yanaangazia nafasi ya vyombo vya habari katika kuchechemua uhuru wa Habari kwa Haki za Binadamu,Maendeleo na Usalama.
Tanzania Media Women tweet mediaTanzania Media Women tweet mediaTanzania Media Women tweet mediaTanzania Media Women tweet media
Indonesia
0
1
7
119
Tanzania Media Women
Tanzania Media Women@TAMWA_·
“Katika uwekezaji, tunashauri kutoanza kwa kuwekeza fedha zote mara moja hivyo ni vyema kuanza kidogo kidogo, kutokana na mabadiliko ya bei katika soko la hisa,” David Laurent, Afisa Uhusiano na Wateja kutoka Orbit Securities.
Tanzania Media Women tweet mediaTanzania Media Women tweet mediaTanzania Media Women tweet mediaTanzania Media Women tweet media
Filipino
0
1
3
63
Tanzania Media Women
Tanzania Media Women@TAMWA_·
“Kuna faida kubwa kuwekeza katika taasisi ya fedha ya UTT AMIS, ikiwemo usalama wa fedha zako tunazingatia umuhimu wenu kama wazazi ndio maan tuna mfuko maalum wa watoto unaowasaidia wazazi kuwawekezea kwa ajili ya elimu yao,” Gosbat Rutasikala, Afisa Masoko kutoka UTT AMIS.
Tanzania Media Women tweet mediaTanzania Media Women tweet mediaTanzania Media Women tweet mediaTanzania Media Women tweet media
Indonesia
0
0
0
315
Tanzania Media Women
Tanzania Media Women@TAMWA_·
TAMWA yapigiwa saluti kwa uwajibikaji: Yawasilisha mapema michango ya wafanyakaz NSSF. Akitoa mada kwa wanachama wa TAMWA Afisa wa NSSF, Gloria Agwanda amesema TAMWA imekuwa na nidhamu ya hali ya juu kujali ustawi wa wafanyakazi wake. Na Judica Rosai ~ Mwanachama wa TAMWA.
Tanzania Media Women tweet mediaTanzania Media Women tweet mediaTanzania Media Women tweet mediaTanzania Media Women tweet media
Filipino
0
1
4
113
Tanzania Media Women
Tanzania Media Women@TAMWA_·
“Mfuko wa fidia kwa wafanyakazi (WCF) unaangalia ni kwa namna gani utafanya kazi na kulipa fidia kwa wafanyakazi wanaopata changamoto ya ugonjwa wa afya ya akili wakiwa kazini pamoja na kwenye shughuli za kikazi nje ya ofisi “Kombo Hassan Afisa Madai ~ WCF
Tanzania Media Women tweet mediaTanzania Media Women tweet mediaTanzania Media Women tweet mediaTanzania Media Women tweet media
Indonesia
0
0
1
69
Tanzania Media Women
Tanzania Media Women@TAMWA_·
Leo, tarehe 17 Aprili 2026, Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA) kimefanya Mkutano Mkuu wa chama, ikiwa ni sehemu ya utaratibu wake wa kila mwaka. Mkutano huo umejikita katika kujifunza kutoka kwa wadau pamoja na kutathmini na kurejelea shughuli zake za utekelezaji.
Tanzania Media Women tweet mediaTanzania Media Women tweet mediaTanzania Media Women tweet mediaTanzania Media Women tweet media
Indonesia
0
1
11
355