Tanzania Center For Democracy (TCD)
13.6K posts

Tanzania Center For Democracy (TCD)
@TCDemokrasia
Enhancing & deepening the culture of Multiparty Democracy in Tanzania through dialogue, Political Education & Mutual Consultation. #DemocracyInTanzania
Dar es Salaam, Tanzania Katılım Kasım 2015
192 Takip Edilen22.2K Takipçiler

Leo tarehe 17, Aprili 2026, Kiongozi wa Chama Cha @ACTwazalendo, Mhe. @SemuDorothy, amekabidhiwa uenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) kwa kipindi cha mwaka mmoja, akichukua nafasi hiyo kutoka Chadema baada ya chama hicho kumaliza muda wake.
instagram.com/p/DXOn2jODRZH/…




Indonesia

Thread 'Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Dorothy Semu akabidhiwa uenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD)' jamiiforums.com/threads/kiongo…

Indonesia
Tanzania Center For Democracy (TCD) retweetledi

ACT-Wazalendo leader Ms Dorothy Semu has been handed the chairpersonship of the Tanzania Centre for Democracy (TCD) for a one-year term, taking over from Chadema after the party completed its tenure.
instagram.com/p/DXOh65gCGOU/…


English

Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Mheshimiwa Salum Mwalimu, amesema chama hicho kimejiunga na Kituo Cha Demokrasia (TCD) baada ya uchaguzi wa mwaka 2025 na kimejipanga kushirikiana kikamilifu katika kukuza demokrasia nchini.
instagram.com/reel/DV3_7R8Dd…
Indonesia
Tanzania Center For Democracy (TCD) retweetledi

VIDEO:
Viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa pamoja na wadau wa demokrasia nchini wamekutana katika iftari maalumu iliyoandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) leo Machi 13, 2026 katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam kwa lengo la kuimarisha mshikamano na majadiliano ya kisiasa nchini.
Iftari hiyo imewakutanisha viongozi wa vyama vya siasa vinavyounda TCD pamoja na wadau wengine wa demokrasia, ambapo imeelezwa kuwa ni sehemu ya kuimarisha mahusiano, kujadiliana na kutafuta njia bora za kulinda na kuendeleza demokrasia ya Tanzania.
Akizungumza katika hafla hiyo, Kaimu Msajili wa Vyama vya Siasa, Mohammed Ally Ahmed, ambaye alikuwa mgeni rasmi, alisema historia ya vyama vya siasa nchini imejengwa katika utamaduni wa kujikosoa na kukosoana ili kuboresha uongozi na mustakabali wa taifa.
Kwa upande wake Dorothy Semu, kiongozi wa ACT Wazalendo na Makamu Mwenyekiti wa TCD, alisema iftari hiyo maalumu imeandaliwa kuwakutanisha wadau wa demokrasia pamoja na vyama vya siasa ili kuendelea kuilinda na kuitetea demokrasia ya taifa kupitia ushirikiano na majadiliano.
Naye Salum Mwalimu, kiongozi wa chama cha CHAUMMA, alisema tofauti za kisiasa zinazoonekana majukwaani hazimaanishi kuwepo kwa chuki baina ya wanasiasa kwani siasa si uadui, bali ni sehemu ya mijadala ya kisiasa, huku akisisitiza kuwa baada ya majukwaa ya kisiasa maisha ya kawaida yanaendelea.
Aidha, Miraj Mtibwiriko, Makamu Mwenyekiti wa CUF Tanzania Bara, alisema uwepo wa vyama vingi vya siasa nchini ni ishara ya uhuru wa mawazo, fikra na falsafa baada ya Tanzania kukubali mfumo wa vyama vingi vya siasa.
Kwa upande wake Hamad Masoud Hamad, Katibu Mkuu wa CUF, alisema Kituo cha Demokrasia Tanzania kinaendelea kuunganisha vyama vya siasa bila ubaguzi wa chama, dini au kabila, huku lengo likiwa ni kuimarisha mshikamano na kulinda demokrasia ya taifa
Indonesia

Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa, Mheshimiwa Mohamed Ahmed akizungumza jijini Dar es Salaam Machi 13, 2026 katika hafla ya futari kwa Waislam na Wakristu iliyoandaliwa na Kituo Cha Demokrasia Tanzania (TCD) kwa wadau wa demokrasia na vyama vya siasa.
instagram.com/p/DV37mS2DYch/…

Indonesia
Tanzania Center For Democracy (TCD) retweetledi

Today, Ambassador Brennan was delighted to approve the extension of Ireland’s support to @TCDemokrasia. With this support, TCD will facilitate political dialogue and reconciliation, and promote participation of women and youth in the upcoming elections.


English

We extend our gratitude to the people of Ireland through the Embassy of Ireland in Tanzania for the strategic *partnership* with TCD in advancing and promoting democracy in Tanzania.
Today we had the signing ceremony of the phase two "Sauti Ya Mwanamke Project".

Irish Embassy Dar@IrlEmbTanzania
Today, Ambassador Brennan was delighted to approve the extension of Ireland’s support to @TCDemokrasia. With this support, TCD will facilitate political dialogue and reconciliation, and promote participation of women and youth in the upcoming elections.
English
Tanzania Center For Democracy (TCD) retweetledi

Former @ACTwazalendo party leader @zittokabwe has officially picked up nomination forms as he eyes a return to Parliament, five years after losing his seat in the contentious 2020 general election.
Zitto collected the forms on Sunday, April 4, 2025, from ACT-Wazalendo’s Kigoma Urban Constituency Secretary, Mr Said Sudi, at the party’s offices in Kigoma. The event drew attendance from regional party leaders and members of the public.
thecitizen.co.tz/tanzania/news/…

English
Tanzania Center For Democracy (TCD) retweetledi

Warioba discloses talks with Chadema, CCM to avert electoral crisis thecitizen.co.tz/tanzania/news/…
English
Tanzania Center For Democracy (TCD) retweetledi

Ambassador Nicola Brennan @IEAmbDar commended the organisation’s determination to advance inclusive political dialogue and broaden participation of women in politics.
@TCDemokrasia is a partner of @IrlEmbTanzania since 2024.
English
Tanzania Center For Democracy (TCD) retweetledi

An important meeting with the leadership of the Tanzania Centre for Democracy @TCDemokrasia Vice Chair Ms. Dorothy Semu and Executive Director Ms. Bernadetha Kafuko, where we discussed the organisation’s priorities and strategies.

English

. @SemuDorothy picks nomination forms to challenge President Samia in 2025 General Election
thecitizen.co.tz/tanzania/news/…

English





















