Tanzania Forest Services Agency
523 posts

Tanzania Forest Services Agency
@TFSAgency
Established on 30th July, 2010 aims at improving the delivery of public services related to sustainable supply of quality forest and bee products and services
Dar es Salaam, Tanzania Katılım Ocak 2017
373 Takip Edilen8.4K Takipçiler

Siku ya Dunia 2025
Katika dunia moja tunayoshirikiana, misitu ni urithi na jukumu letu sote.
Tuchukue hatua kulinda na kuhifadhi misitu yetu—kwa maendeleo endelevu, afya ya sayari, na kizazi cha sasa na vijavyo.
Dunia Moja, Misitu Yetu, Wajibu Wetu.
#EarthDay2025

Indonesia

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa ameanzisha kampeni ya kitaifa ya upandaji miti kwa kupanda mti wa Mkangazi Njombe leo Machi 21,2025. Wito kwa Watanzania wote: tuchangie kulinda misitu na kujenga Tanzania ya kijani! #SikuYaMisituDuniani #UpandajiMiti




Indonesia
Tanzania Forest Services Agency retweetledi

Katibu Mkuu @MNRT_Tanzania Dkt. Hassan Abbasi akiwa ameambatana na Kamishna Mkuu wa Uhifadhi @TFSAgency (TFS) Prof. @SilayoDos wametembelea na kukagua maonesho maalumu ya ambayo yanaonyesha mnyororo wa thamani wa Sekta ya Misitu ktk viwanja vya Saba Saba Mjini Njombe. Mgeni rasmi katika kilele cha siku ya Misitu Duniani anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu, Mhe. @KassimMajaliwa_

Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 Indonesia

Tanzania inatekeleza kauli mbiu ya Siku ya Misitu Duniani kwa vitendo! Kupitia teknolojia, upandaji miti, utalii ikolojia & ushirikiano wa jamii, tunaongeza thamani ya misitu kwa kizazi hiki & kijacho.
#SikuYaMisituDuniani #MisituKwaUstawi 🌍
Indonesia

KUELEKEA SIKU YA MISITU DUNIANI 2025 - Leo katika Baragumu - Channel 10, Selewin Regie, Mhifadhi Misitu wa TFS Temeke, ameangazia umuhimu wa kuongeza thamani ya mazao ya misitu kwa uendelevu wa rasilimali kwa kizazi hiki na kijacho.
Fuatilia hapa: youtu.be/ZCT_BKMlsj8

YouTube
Indonesia









