
TPDC 2025 || Wiki ya Usafiri ardhini
.
Waziri wa Uchukuzi Mhe. Prof Makame Mbarawa ametembelea Banda la TPDC na kupata maelezo namna ambavyo TPDC ina mchango mkubwa katika sekta ya usafiri kwa kuwezesha usambazaji wa nishati ya gesi asilia ambayo ni nishati nafuuu na salama kwa mazigira katika vyombo vya usafiri.
.
#TunawezeshaMaisha🛢️




Indonesia
























