TPHPA

465 posts

TPHPA banner
TPHPA

TPHPA

@TPHPA_Official

Akaunti Rasmi ya Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA)

Arusha Ngaramtoni Katılım Mayıs 2021
40 Takip Edilen675 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
TPHPA
TPHPA@TPHPA_Official·
Oct. 10, 2025: TPHPA imeanza kutumia teknolojia ya DNA Sequencer kufanya uchambuzi wa magonjwa ya mazao shambani. Prof. Ndunguru amekabidhi majibu ya sampuli walizochukua za changamoto za magonjwa kwa wakulima wa Kilolo, Iringa, akiahidi pia kutoa elimu zaidi
TPHPA tweet mediaTPHPA tweet mediaTPHPA tweet mediaTPHPA tweet media
Indonesia
1
1
1
62
TPHPA
TPHPA@TPHPA_Official·
Jinsi ya Kujisajili na kuomba kibali au leseni kwa upande wa TPHPA katika mfumo wa e-kilimo.
Indonesia
0
0
0
25
TPHPA
TPHPA@TPHPA_Official·
TPHPA inawatakia wadau wote Ramadhani Kareem; mwezi wa rehema, msamaha, na mafanikio mema.
TPHPA tweet media
Indonesia
0
0
0
25
TPHPA
TPHPA@TPHPA_Official·
kuboresha takwimu na kuhakikisha waathirika wanapata huduma za afya bila hofu ya hatua za kisheria.
Indonesia
0
0
1
8
TPHPA
TPHPA@TPHPA_Official·
TPHPA tweet mediaTPHPA tweet mediaTPHPA tweet media
ZXX
1
0
0
14
TPHPA
TPHPA@TPHPA_Official·
TPHPA tweet media
ZXX
0
0
0
11
TPHPA
TPHPA@TPHPA_Official·
KUONDOLEWA KWA VIUATILIFU HATARISHI KATIKA S O K O LA TANZANIA
TPHPA tweet mediaTPHPA tweet mediaTPHPA tweet media
Filipino
0
0
3
94
TPHPA
TPHPA@TPHPA_Official·
Wataalamu wa TPHPA wamekutana Dodoma Oktoba 27, 2025 kujadili matokeo ya utafiti wa Mradi wa “Pesticide Poisoning and Suicide” unaochunguza matumizi ya viuatilifu vinavyotumika kujiua. Lengo ni kubaini athari, kuimarisha udhibiti na kuongeza elimu kwa jamii kuhusu matumizi salama
TPHPA tweet mediaTPHPA tweet mediaTPHPA tweet mediaTPHPA tweet media
Indonesia
0
0
0
48
TPHPA
TPHPA@TPHPA_Official·
TPHPA inamtakia heri ya siku ya kuzaliwa Mkurugenzi Mkuu wetu, Prof. Joseph Ndunguru Uongozi wako wa maono umeendelea kuimarisha ubora na weledi katika kulinda afya ya mimea nchini. Tunakutakia maisha marefu na mafanikio tele
TPHPA tweet media
Indonesia
0
0
0
28
TPHPA
TPHPA@TPHPA_Official·
rasimu ya muongozo huo imekamilika na hatua inayofuata ni kuikabidhi kwa TPHPA ili kupitia taratibu nyingine za kitaasisi, ikiwa ni pamoja na mapitio ya kitaalamu na maandalizi ya utekelezaji rasmi.
Indonesia
0
0
0
16
TPHPA
TPHPA@TPHPA_Official·
Dodoma, Oktoba 23, 2025 – Mchakato wa kuandaa muongozo wa usimamizi wa vifungashio vya viuatilifu vilivyotumika, ulioandaliwa na TPHPA, umekamilika baada ya upokeaji wa maoni ya wataalamu kutoka taasisi mbalimbali za kiserikali na zisizo za kiserikali.
TPHPA tweet mediaTPHPA tweet mediaTPHPA tweet mediaTPHPA tweet media
Indonesia
1
0
1
33
TPHPA
TPHPA@TPHPA_Official·
Dodoma, Okt 20, 2025 – TPHPA imewakutanisha wataalamu zaidi ya 25 kutoka taasisi mbalimbali za kiserikali na zisizo za kiserikali kujadili uandaaji wa muongozo wa usimamizi wa vifungashio vya viuatilifu vilivyotumika ili kulinda afya ya binadamu na mazingira.
TPHPA tweet mediaTPHPA tweet mediaTPHPA tweet mediaTPHPA tweet media
Indonesia
0
0
3
56
TPHPA
TPHPA@TPHPA_Official·
Picha za matukio: Kikao cha 70 cha Baraza la Mawaziri wa DLCO-EA kikiendelea Addis Ababa, Ethiopia (16–17 Okt 2025). Kikao kinaongozwa na Prof. Joseph Ndunguru (TPHPA) akimwakilisha Waziri wa Kilimo, Mh. Hussein Bashe. Bw. Nyasebwa Chimagu (TOSCI) naye yupo.
TPHPA tweet mediaTPHPA tweet mediaTPHPA tweet mediaTPHPA tweet media
Indonesia
0
0
1
61
TPHPA
TPHPA@TPHPA_Official·
Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa, amepongeza TPHPA kwa juhudi kubwa katika kuhakikisha usalama wa chakula nchini leo Oktoba 16, 2025, alipotembelea banda la Mamlaka hiyo wakati akihitimisha Maadhimisho ya Siku ya Chakula Duniani 2025, jijini Tanga.
TPHPA tweet mediaTPHPA tweet mediaTPHPA tweet mediaTPHPA tweet media
Filipino
0
0
0
31
TPHPA
TPHPA@TPHPA_Official·
Mamlaka inaendelea kutoa elimu kwa wananchi katika maadhimisho ya Siku ya Chakula Duniani yanayofanyika Usagara, Tanga kuanzia tarehe 10 hadi 16 Oktoba 2025. Elimu inahusu matumizi sahihi ya viuatilifu, usalama wa chakula, na uhifadhi bora wa mazao kwa afya ya walaji.
TPHPA tweet mediaTPHPA tweet mediaTPHPA tweet mediaTPHPA tweet media
Indonesia
0
0
2
29
TPHPA
TPHPA@TPHPA_Official·
Mei 22,2025 TPHPA yakabiliana na mlipuko wa kweleakwelea Mvomero na Kilosa, Morogoro. Operesheni za pamoja na DLCO-EA zasadia kuokoa mashamba ya mpunga na kulinda usalama wa chakula.
TPHPA tweet mediaTPHPA tweet mediaTPHPA tweet mediaTPHPA tweet media
Indonesia
0
0
2
136
TPHPA
TPHPA@TPHPA_Official·
Mei 23,2025 Wataalamu wa Maabara na Mimea wa TPHPA wamechukua sampuli za maji na gugu maji Ziwa Victoria - Mwanza kwa utafiti wa kina kuhusu athari zake kwa ikolojia, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kulitokomeza kabisa gugu hilo hatarishi.
TPHPA tweet mediaTPHPA tweet mediaTPHPA tweet mediaTPHPA tweet media
Indonesia
0
0
3
160
TPHPA
TPHPA@TPHPA_Official·
Mafunzo ya 62 ya matumizi sahihi na salama ya viuatilifu yameanza leo 19 Mei 2025, TPHPA Ngaramtoni, Arusha. Yanalenga kuwajengea ujuzi wakulima na wafanyabiashara wa viuatilifu nchini.
TPHPA tweet mediaTPHPA tweet mediaTPHPA tweet mediaTPHPA tweet media
Indonesia
0
2
8
238
TPHPA
TPHPA@TPHPA_Official·
Mei 14, 2025 Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Mhe. Joseph Mkude, ametembelea ofisi za TPHPA Ngaramtoni, Arusha na kujionea shughuli za kisayansi, upimaji wa viuatilifu na elimu kwa wakulima. Amewapongeza TPHPA kwa mchango wao katika usalama wa chakula na maendeleo ya kilimo nchini.
TPHPA tweet mediaTPHPA tweet mediaTPHPA tweet mediaTPHPA tweet media
Indonesia
0
0
3
117
TPHPA
TPHPA@TPHPA_Official·
Maadhimisho ya Siku ya Afya ya Mimea Duniani yamefanyika leo Mei 12, 2025 katika Viwanja vya Makumbusho ya Azimio la Arusha, Kaulimbiu ya mwaka huu ni Umuhimu wa Afya ya Mimea katika Afya Moja TPHPA imeonesha mafanikio mbalimbali katika usalama wa chakula na masoko ya kimataifa
TPHPA tweet mediaTPHPA tweet mediaTPHPA tweet mediaTPHPA tweet media
Indonesia
0
1
3
399