CCM TABORA ONLINE TV
3.6K posts

CCM TABORA ONLINE TV
@TaboraCcm
CHAMA IMARA,SERIKALI MADHUBUTI#KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI NDG.SAMIA SULUHU HASSANI
Katılım Mayıs 2021
4.8K Takip Edilen5K Takipçiler

Leo jijini Dodoma nimezindua minara 758 ya mawasiliano pamoja na maunganisho ya Mkongo wa Taifa katika wilaya 85, na kukabidhi Mkongo wa Mawasiliano serikalini. Minara hiyo ambayo ujenzi wake niliuzindua mwaka 2023 imefikisha huduma za simu na intaneti, kwa mara ya kwanza, kwa wananchi milioni 8.5 kwenye vijiji 1,400, hatua ambayo imeimarisha huduma na kufungua fursa za ajira na kiuchumi.
Azma yetu ya kuimarisha sekta ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) inatokana na ukweli kuwa katika dunia ya leo mawasiliano si anasa, bali daraja la fursa. Pia, ni utekeleza wa Dira ya 2050 na Ilani ya CCM ya mwaka 2025 ambazo zinalenga kujenga uchumi wa kidijitali katika kukuza fursa za biashara na ajira, kuboresha huduma na kukuza maendeleo ya nchi yetu.
Ili kufikia malengo yetu;-
1. Tutaboresha zaidi uwekezaji katika sekta ya TEHAMA.
2. Tutatoa mikopo kwa kampuni changa za vijana.
3. Tutajenga chuo cha umahiri cha kidijitali Dodoma.
Vilevile, nimeelekeza Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ihakikishe huduma za mkongo zinashuka hadi vitongojini ili wanananchi wote, hasa vijana, wanufaike, miundombinu ya mawasiliano ilindwe na huduma za mawasiliano zizingatie maadili ya Kitanzania.




Indonesia

TABORA
NDUGU:KULWA SHUSHI Diwani Mteule wa Kata ya ITONJANDA amechukua fomu ya kuomba ridhaa kuteuliwa na @ccm_tanzania kugombea Nafasi ya MEYA wa Tabora Manispaa
21/11/2025
KILA LA KHERI.

Indonesia

TABORA
NDUGU MUSA KAHOLWE Diwani Mteule Kata ya KITETE amechukua na kurejesha fomu ya kuomba ridhaa ya @ccm_tanzania kuomba kuteuliwa kugombea Nafasi MEYA wa Tabora Manispaa
21/11/2025
KILA LA KHERI.

Indonesia

TABORA
Ndugu GHULAMHUSSEIN DEWJI Diwani Mteule wa Kata ya KANYENYE amechukua fomu na kurejesha ya kuomba ridhaa ya @ccm_tanzania kugombea Nafasi ya Meya wa Tabora Manispaa.
20/11/2025
KILA LA KHERI.

Indonesia

TABORA
Ndugu:KESSY ABDULRAHMAN Diwani Mteule waKata YA GONGONI amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya @ccm_tanzania Cha Mapinduzi kuteuliwa kugombea Nafasi ya NAIBU MEYA wa Tabora Manispaa
20/11/2025
KILA LA KHERI.

Indonesia

TABORA
Ndugu SALMA MWENDAPOLE JUMA Diwani Mteule wa Kata ya TUMBI amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya @ccm_tanzania cha Mapinduzi kuteuliwa kugombea Nafasi ya NAIBU MEYA wa Tabora Manispaa
20/11/2025
KILA LA KHERI

Indonesia

TABORA
Ndugu: KHADIJA BUNDUKI Diwani Mteule wa Vitimaalum Tabora Manispaa amechukua fomu ya kuomba ridhaa kuteuliwa na @ccm_tanzania cha Mapinduzi kugombea Nafasi ya NAIBU MEYA wa Tabora Manispaa
20/11/2025.
KILA LA KHERI

Indonesia












