Tagie Daisy

4K posts

Tagie Daisy banner
Tagie Daisy

Tagie Daisy

@TagieDaisy

Career Diplomat | Head of Communication, Ministry of Agriculture

Katılım Ağustos 2023
37 Takip Edilen842 Takipçiler
Tagie Daisy
Tagie Daisy@TagieDaisy·
wananchi na kuchangia kutimiza azma ya Mhe. Rais Dkt. Samia ya kuifanya Tanzania kuwa mzalishaji mkubwa wa chakula cha kujitosheleza na ziada yake kuilisha Dunia kibiashara.
Indonesia
0
0
0
5
Tagie Daisy
Tagie Daisy@TagieDaisy·
Maeneo hayo ni Ruvu Station na Rupunga yaliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha; na Vikumvuru eneo lililopo wilayani Kisarawe. Mhe. Kunenge ameeleza kuwa kuanzishwa kwa mashamba hayo kutachochea ukuaji wa uchumi wa
Filipino
1
0
0
7
Tagie Daisy
Tagie Daisy@TagieDaisy·
wakulima katika maeneo mbalimbali ya nchi, huku tathmini kama hizi zikiendelea kufanyika mara kwa mara ili kufuatilia utekelezaji wake, kubaini changamoto zilizopo na kutoa mapendekezo yatakayosaidia kuboresha zaidi mpango huo kwa manufaa ya Sekta ya Kilimo nchini.
Indonesia
0
0
0
5
Tagie Daisy
Tagie Daisy@TagieDaisy·
uzalishaji na kuboresha maisha yao kutoka kuvuna gunia 8 za mahindi msimu wa 2020/2021 hadi kufikia gunia 30 msimu wa 2023/2024. Kwa mujibu wa taarifa ya tathmini iliyofanywa na Wizara ya Kilimo, utekelezaji wa mpango wa ruzuku ya pembejeo umeendelea kuwafikia
Indonesia
1
0
0
6
Tagie Daisy
Tagie Daisy@TagieDaisy·
TATHMINI YA RUZUKU YA PEMBEJEO YAONESHA KUONGEZEKA KWA UZALISHAJI SINGIDA NA DODOMA Tathmini ya utekelezaji wa Mpango wa Ruzuku ya Pembejeo za Kilimo imefanyika katika mikoa ya Singida na Dodoma na kuonesha ongezeko la uzalishaji wa mazao mbalimbali na
Tagie Daisy tweet mediaTagie Daisy tweet mediaTagie Daisy tweet mediaTagie Daisy tweet media
Indonesia
1
0
2
20