TANGA FRESH LIMITED

1.1K posts

TANGA FRESH LIMITED banner
TANGA FRESH LIMITED

TANGA FRESH LIMITED

@TangaFresh

Leading dairy processor in Tanzania Bringing you the best and healthy milk products.

Tanga, Tanzania Katılım Temmuz 2015
50 Takip Edilen5.6K Takipçiler
TANGA FRESH LIMITED
TANGA FRESH LIMITED@TangaFresh·
Tanga Fresh Limited inawatakia watanzania wote kheri ya Sikukuu ya Pasaka . Siku hii usisahau kufurahia maziwa bora kutoka #Tangafresh.
TANGA FRESH LIMITED tweet media
Indonesia
1
0
4
158
TANGA FRESH LIMITED
TANGA FRESH LIMITED@TangaFresh·
JE, unajua kuwa unatakiwa unywe kiasi cha lita 200 za maziwa kwa mwaka?
Indonesia
3
1
7
299
TANGA FRESH LIMITED
TANGA FRESH LIMITED@TangaFresh·
“Tusiache kunywa maziwa, tunywe maziwa salama ambayo ni yale yaliyosindikwa kwa ubora,”Kutoka Tanga Fresh Limited.
TANGA FRESH LIMITED tweet media
Filipino
1
1
5
208
Zulu
Zulu@ZuluKgb·
@TangaFresh Siku hizi maziwa yenu yameadimika sana madukani
Indonesia
1
0
0
10
TANGA FRESH LIMITED
TANGA FRESH LIMITED@TangaFresh·
Katika kusherekea wiki ya wanawake duniani Tanga Fresh Limited inaungana na wewe pamoja na watanzania wote kuhamasisha na kutambua mafanikio ya wanawake ktk nyanja mbali mbali za maisha
TANGA FRESH LIMITED tweet media
Indonesia
0
1
1
138
TANGA FRESH LIMITED
TANGA FRESH LIMITED@TangaFresh·
May this holy month bring you peace, prosperity, and endless blessings. #Ramadan Kareem
TANGA FRESH LIMITED tweet media
English
0
0
2
80
TANGA FRESH LIMITED
TANGA FRESH LIMITED@TangaFresh·
Anza wiki na maziwa yenye ladha halisi na utamu wa kipekee kutoka #TangaFresh wahi kwa mangi ujikamatie yako sasa.
TANGA FRESH LIMITED tweet media
Filipino
0
0
3
457