Sabitlenmiş Tweet
TANZANIA PHARMACEUTICAL TECHNICIANS ASSOCIATION
427 posts

TANZANIA PHARMACEUTICAL TECHNICIANS ASSOCIATION
@TaphataTz
Kauli Mbiu 2024:Wateknolojia Dawa, Nguzo Muhimu Katika Huduma za Dawa Nchini. _Umahiri na Teknolojia_ S.L.P 33455 Dar es salaam
Dar es Salaam, Tanzania Katılım Ağustos 2023
73 Takip Edilen265 Takipçiler

Tuna kila sababu ya kuwashukuru waasisi wetu wa Muungano huu wa Tanganyika na Zanzibar hakika miaka 62 kwetu bado tukidumu kwenye Muungano wao ni jambo la kujivunia sana tunawaombea Mwenyezi Mungu awape kauli thabit huko waliko
#taphata_Umahirinateknolojia
#TukutaneArushaAgm2026

Filipino

Tunawatakia Eid Mubaraka,tusherehekee kwa Amani na Upendo na kuendeleza mshikamano wetu kama alivyotuasa Mtume wetu Mohamad
#eidmubarak
#taphata_Umahirinateknolojia instagram.com/p/DWInrUCCAhA/…

Indonesia

Je uko tayari kuungana na wataalamu wenzako, kukua kitaaluma na uwakilishwaji wa maoni yako kikamilifu? Jiunge na TAPHATA leo na ufungue milango ya fursa mpya!
#UmahirinaTeknolojia
#tukutanearushaagm2026
instagram.com/p/DUfswPKjdDK/…

Filipino

Nifahari kwa TAPHATA kuungana nanyi @tapsatanzania kila mnapohitaji uwepo wetu tutashiriki
#taphata_Umahirinateknolojia
#TukutaneArushaAgm2026
instagram.com/p/DUFhR1UjWSi/…

Indonesia

RAIS WA TAPHATA AZINDUA MAFUNZO ELEKEZI NA SEMINA YA KITAALUMA KWA WANAFUNZI WA FAMASI UDOM
TAPSA tawi la Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kiliandaa hafla ya kipekee ya ukaribisho na mafunzo elekezi kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza wa kada ya Famasi instagram.com/p/DTXjPc_Deft/…

Filipino

Niheshima kwetu kuungana nanyi TAPHATA tutakuwepo.
@tapsatanzania
@tapsaudom
instagram.com/p/DTP6tYJjadZ/…

Indonesia

CALL FOR APPLICATIONS TAPHATA LEADERSHIP POSITIONS instagram.com/p/DS5CrL6jaCs/…
#taphata_competenceandtechnology

English

RAIS WA TAPHATA AHIMIZA UMOJA,MSHIKAMANO WA KITAALUMA NA UMUHIMU WA KUJENGA UMAHIRI WA KITAALUMA KWA WANAFUNZI WA UFAMASIA.
#taphata_Umahirinateknolojia
#TukutaneArushaAgm2026
instagram.com/p/DSk2GAqjXvl/…

Indonesia

Ni sherehe zinazojenga alama ya heshima na kuwajengea imani kwa jamii kuelekea katika Utumishi mwema katika kada ya Ufamasia.
Sherehe hizo zinategemea kufanyika kuanzia Saa 4 Asubuhi mpaka saa 6 Mchana katika Ukumbi wa LT 3 chuoni hapo.
#taphata_Umahirinateknolojia

Indonesia

Rais wa Chama Cha Wateknolojia Dawa Tanzania (TAPHATA) Mteknolojia Dawa, Bw. Thabit S Milandu kesho anatarajia kuwa Mgeni Rasmi katika Sherehe za #WhiteCoatCeremony zilizoandaliwa na Chama Cha Wanafunzi wa Ufamasia Tanzania (TAPSA)

Indonesia


Heri ya sikukuu ya Uhuru wa Tanganyika
#taphata_Umahirinateknolojia
#TukutaneArushaAgm2026
instagram.com/p/DSCkR2OjfPM/…

Indonesia







