ibiza

3.2K posts

ibiza

ibiza

@Tobycow

up all night,

Kenya Katılım Mayıs 2010
839 Takip Edilen217 Takipçiler
ibiza
ibiza@Tobycow·
@HecheJohn Kaka heche hakuna namna tunaweza kuwashtaki hawa kwenye international courts kwa kutuchaj overprice, kwa sababu viongozi wanafurahia bei kuwa juu ,hili tulisimamie sisi wananchi wenyewe
Indonesia
1
0
4
445
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Agenda ya kufunika wizi mkubwa kwenye sketa ya mafuta.. Watanzania msikubali. Tunataka kujua kwanini Vitol ametuuzia mafuta kwa usd 260 sawa sh 689,000. Wakati huo huo anawauzia Uganda mafuta hayo hayo kwa USD 83 sawa na sh 212,000 Msumbiji usd 90 sawa na 238,500. Hawa watu wanaoitwa NAMARO na TPDC wamehusikaje kwenye huu ufisadi wa kufilisi Nchi. Huu ni uhujumu uchumi mkubwa kuwahi kutokea katika Nchi hii. Kuna zaidi ya 1.2 trilioni imeibiwa katika mafuta. Katibu mkuu wa Nishati bwana Mataragio alisema tuna mafuta ya kutumia miezi mitatu. Watanzania tusikubali huu wizi.
Indonesia
38
283
1K
30.5K
ibiza
ibiza@Tobycow·
@HecheJohn Kweli tunapigwa asee,na ndo maana watu wakitaka kuandamana tunatishiwa mitutu ya bunduki
Filipino
1
0
19
817
ibiza
ibiza@Tobycow·
@bohny_chengula Fatilia karibu kila mkoa wanaweka mall zao,wanauza kila kitu unachokijua,hzo bei zao zilivopoa , wafanyabiashara wa ndani wanapumulia mashine,watafunga baishara na serikal itakosa kodi zao
Indonesia
2
0
0
205
ibiza
ibiza@Tobycow·
@bohny_chengula Wachina wajanja sana wanabana viza zao huku flow yao kwetu inaongezeka ili watudominate sokoni, na kutengeneza profit from the last consumer straight, uku wanatuulia chain of supply, serikal yetu kwa sababu sio wafanyabiashara wamelala hawaelewi ata hasara zake ni zipi
Indonesia
15
15
71
4.8K
Boniface Chengula
Boniface Chengula@bohny_chengula·
Nimeona video hii kwa niffer huko TikTok akielezea nini wafanyabiashara wafanye pale ambapo watajiri au wafanyabiashara wakubwa wanapo post bei za jumla katika page zao za mitandaoni. Kuna point mbili nataka kuzielezea. Kinachosababisha wafanyabiashara wakubwa wapost bei za jumla ntandaoni ni kukosa ethics za biashara tu, sababu bei kubwa sikuzote haiwezi kukuletea wateja wengi japo sometimes it does. Pili, uwepo wa wachina umekuja kufanya biashara kua ngumu sana, sababu kilakitu ambacho Mtanzania alikua anakifata China leo hii mchina anakileta kwa bei ndogo. Zunguka kwenye malls za Home city na malls zingine mpya ambazo mchina anuza, unakuta mafuta Mtanzania alikua anaagiza China na kuuza kwa 10k lakini ukienda kwa mall ya mchina anuza 3k, apo mbongo mwenzako si utamuona mwizi? Lakini kingine ni kwamba wauzaji wa jumla wanatakiwa wamlinde mteja wa jumla sababu yeye anakuja kwako kununua mzigo mkubwa mara kwa mara, hivo kama utapost bei za jumla mtandaoni inaonesha wewe kanuni za biashara huzijui. Hii ni kwa biashara zote sio cosmetic au furniture Au electronics pekee, kila kitu. Wafanyabiashara wengi wa leo wabinafsi, kutokujua ethics za biashara, lakini kwa wateja wanao waona watanzania wenzao wanauza vitu bei kubwa basi pia wanakosea sababu, biashara zina mambo mengi, mwingine anapewa mali kauli huko anakoagiza mzigo, mwingine alipata mzigo bei ndogo na akasafirisha bei ndogo, ko mkija sokoni bei hamuwezi wote mkafanana, lakini hili la wachina Serikali yetu ingeliangalia sana, maana miaka miwili mbele hali haitakua nzuri sana maana hali za wafanyabiashara wengi zitakua ngumu.
Filipino
63
45
288
97.6K
MAESTRO 🎭
MAESTRO 🎭@maestrochance_·
Wanangu no look pass nawatembezea hapa
MAESTRO 🎭 tweet media
Indonesia
21
21
217
15.5K
ibiza
ibiza@Tobycow·
@barakawamb Mtoto wa kiume kuwa mmbea ni dalili ya kipa kutoka golini,endelea kukatika una kitu utafika mbali
Indonesia
0
0
1
49
BarakaWambura
BarakaWambura@barakawamb·
MWIZI NI MWIZI TU, HECHE SIO MALAIKA CHADEMA kuna fukuto la ufisadi linaloendelea dhidi ya John Heche,katika siasa, hakuna kiongozi anayepaswa kupewa kinga dhidi ya tuhuma kwasababu ya umaarufu wake,matumizi mabaya ya fedha yaliyoibuliwa dhidi yake yanapaswa kuchukuliwa hatua tena kwa uzito. Aidha suala la kumpenda kiongozi wenu hakumaanishi mpuuze maswali yanayomhusu, vilevile, kuwa kiongozi maarufu hakumfanyi kubeba ngao hiyo kama kinga dhidi ya tuhuma za wizi zinazomhusu, hivi karibuni kumeibuka watu wanaojaribu kumtetea kuhusu tuhuma zake za ufisadi, ikiwemo kukwapua fedha za michango ya tonetone, hili halipaswi kuupuuzwa,kwa kisingizio kwamba kuna kundi limetumwa ili limchafue Heche, hiyo ni propaganda tu ya namna ya kulindana, lakini ukweli utabaki pale pale HECHE MWIZI. Tuhuma za ukwapuaji wa fedha za michango ndani ya CHADEMA si jambo geni, michango kadhaa inayochangiwa kwenye mikutano ya hadhara na kupitia mitandao ya simu huwa inapotea bila maelezo yoyote ya matumizi. John Heche si malaika, ni lazima jambo hili lichunguzwe tena na TAKUKURU na si kupitia viongozi wenyewe kwa wenyewe ambao rekodi zinaonesha kila linapotokea tukio la kupiga hela ndani ya CHADEMA, viongozi huwa wanalindana.
BarakaWambura tweet media
Indonesia
30
4
7
1.7K
Big Jord.
Big Jord.@StatsbyJordan·
Thank you TT, I’m most grateful.
Big Jord. tweet media
English
52
11
154
34.2K
Carhartt
Carhartt@carharttix·
Unahisi bila nini ? mama mkwe hawezi kabisa kualewa eniwei dua zenu next station ukweni 😁
Carhartt tweet mediaCarhartt tweet mediaCarhartt tweet mediaCarhartt tweet media
Filipino
7
7
14
1.2K
ibiza
ibiza@Tobycow·
@TheChanzo Tuanze upande wao au upande ule mwingine? Maana upande wao kuna polepole Upande ule mwingine kuna mdude,soka,mzee ali kibao
Filipino
0
0
2
102
The Chanzo
The Chanzo@TheChanzo·
Samia: Tuko Vizuri Kwenye Haki za Binadamu Akizungumza na Mawakili wa Serikali leo, Julai 13, 2026, katika mkutano wao mkuu wa mwaka, Rais Samia Suluhu ameeleza kuwa Tanzania ni bora kwenye kufuata haki za binadamu, huku akifafanua baadhi ya malalamiko ni hujuma zaidi. "Kwa upande wetu sisi Tanzania, kwa muda mrefu tunaangalia haki za binadamu. Sasa haya yanayosemwa na mengine yatakayoendelea kusemwa, sisi tunajua jinsi tulivyo bora, lakini hata ulimwengu unajua," ameeleza Rais Samia. Rais Samia ameeleza kuwa baadhi ya mataifa yanaangalia njia ya kurudisha nyuma mataifa yanayoendelea na hoja haki za binadamu, ni moja ya jambo linaloibuliwa kwa mantiki hiyo. "Jinsi nchi zetu hizi zinazoendelea, tunavyokwenda mbele, wengine wanaangalia njia na mbinu za kutuvuta nyuma ili tusiende kwa kasi ile ambayo tunakusudia," anafafanua Rais Samia. "Tunashuhudia mataifa yakihujumiana. tunashuhudia vijana kulaghaiwa na kumezeshwa sumu dhidi ya mataifa yao na kushawishiwa kuhujumu chumi zao zilizojengwa kwa nguvu kubwa. Vilevile kuna wimbi la kuwaaminisha vijana kwamba serikali zao hasa za Afrika hazifuati au zinakiuka haki za binadamu," aliendelea kufafanua. Hotuba ya Rais Samia inakuja katika kipindi ambacho kumekuwa na shinikizo kutoka kwa wadau mbalimbali dunia juu ya rekodi ya haki za binadamu ya Tanzania, huku matukio ya ukamataji, utekaji, kupotezwa kwa watu pamoja na mauaji ya Oktoba 29 yakitajwa. Akifafanua zaidi Rais Samia ameeleza haki za Binadamu zimewekwa katika Katiba na Sheria za Tanzania, na wananchi wakiwa na malalamiko wanaweza kwenda Mahakamani na kupata haki zao. "Hata ulimwengu unajua sisi tuko wazuri [namna] gani au kiasi gani katika kuangalia haki za binadamu. Ila wanasema mpe mbwa jina baya ili ufanyaje, umuue," aliendelea kueleza zaidi. "Sisi Tanzania tuko vizuri kwenye haki za binadamu na uzuri ni kwamba hakuna aliye juu ya sheria zetu zilizowekwa. Hizo haki za binadamu zilizowekwa kwa sheria na sheria nyingine zozote, hakuna aliye juu ya sheria zetu. Anayevunja sheria atashughulikiwa," alisisitiza.
Indonesia
48
7
26
5.8K
IBRAHIM ROFIK SAMSON
IBRAHIM ROFIK SAMSON@akolawoleire67·
Midnight check-in: why are you still awake? 😅
English
7
2
15
3.5K
ibiza
ibiza@Tobycow·
@MariaSTsehai Hakuna mtu kwenye hii dunia anaeza wekeza mahali ambapo hakuna usalama ,na rushwa is everywhere ,utitiri wa kodi,uyo mtu hayupo
Filipino
0
3
8
1.3K
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Mzee Dangote 😁👊🏽 akili kubwa! Machawa wa mana chali! Walitufamyia spinning humu - leo wamepokea majibu ni pigo juu ya pigo! We first need to fix this nation kabla ya kukaribisha wawekezaji serious! Kwa sasa nchi inaendeshwa kama kiosk.cha mama Abdul huko Kizimkazi! Acha wawekezaji wakae mbali tuwekane sawa! #TutaelewanaTu
Maria Sarungi Tsehai tweet mediaMaria Sarungi Tsehai tweet media
Indonesia
18
94
586
42.9K
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Matendo ya Mitume 20:24 “Lakini siyahesabu maisha yangu kuwa kitu cha thamani kwangu, kama kwamba niyamalize mwendo wangu na huduma ile niliyoipokea kwa Bwana Yesu, kuishuhudia Injili ya neema ya Mungu.”
Indonesia
4
25
85
1.9K