Tony

3.3K posts

Tony banner
Tony

Tony

@Toni3gram

ALFU LELA ULELA Planner | Researcher | Business & Data Analytics | Software Tester | Techie💹 | Child Advocate #ILLEGALITY IS FOR WEAK

Alfu lela ulela Katılım Kasım 2011
690 Takip Edilen708 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Tony
Tony@Toni3gram·
You're a man. Show up every day to fix your life. Do it alone. Do it broke. Do it tired. Do it scared. Just do it.
English
0
3
7
1K
Kara
Kara@UTDKara·
Imagine Bruno Fernandes giving an interview saying he loves the city of Liverpool and would like to join Liverpool one day. Then Cunha saying his favourite restaurant is inside Manchester City’s stadium. Then Harry Maguire saying he’d love to play for Chelsea and that London is blue and beautiful. And finally Šeško saying Lionel Messi’s goal against Manchester United in a Champions League final made him fall in love with Barcelona and that he’d love to leave one day. That’s how embarrassing it would be. Manchester United is so big that players wouldn’t dare say things like that imagine the chaos. Except Rashford and Garnacho Sky Sports would be running it non stop, Fabrizio Romano would post it 20 times a day, and the media would never let it rest. Especially mark and his colleagues. Meanwhile, Enzo Fernández and Reece James are captains at Chelsea.
Kara tweet mediaKara tweet mediaKara tweet media
English
99
118
2.5K
282.1K
Tony
Tony@Toni3gram·
@Its_elknows With this introduction nafikiri tujaribu kufungua paypal TZ
Tony tweet media
Indonesia
2
0
5
1.2K
𝐄𝐋𝐊𝐍𝐎𝐖𝐒
Naona mpesa wame ungana na PayPal na unaweza kutuma na kupokea pesa kutoka PayPal kwenda mpesa bila Xoom Kwa namna hio ina maana PayPal kwa sasa imepewa Kibali Cha kufanya kazi bongo?
Filipino
12
10
282
15.3K
Tony retweetledi
RaHeeM
RaHeeM@Cowwbama·
Ni vile tu serikali haitupendi sisi, ila leo ilibidi Taifa stars ifungwe vijana wao tutoke huku mabondeni
6
9
84
2.6K
Tony
Tony@Toni3gram·
Wpambanaji kwema?
Tony tweet media
Polski
0
0
0
18
Tony
Tony@Toni3gram·
@NjiwaFLow Nimesoma comment kwenye hiyo video ya TikTok umeshare kubusu Documentary ya Erica Mukisa. Aisee🙌
Filipino
0
0
0
111
James Munisi
James Munisi@NjiwaFLow·
💨 Leo ndio nimejua kumbe chanzo cha mto Nile sio maji ya Ziwa Victoria!
James Munisi tweet media
Filipino
36
16
330
49.2K
𝐌𝐙𝐈𝐌𝐔🦍
𝐌𝐙𝐈𝐌𝐔🦍@taifahuru98·
📌Wapwa kwani huu mzizi unasaidia nini mbona inauzika sana na wamasai👇
𝐌𝐙𝐈𝐌𝐔🦍 tweet media
Indonesia
34
27
176
17.3K
Tony
Tony@Toni3gram·
Huyo Clara Luvanga Al nasr wanawake kashashindikana, Leo kapiga hat trick, na anamagoli 18 kwenye match 11. 🙌
Filipino
0
0
2
27
PASTA JOSHUA
PASTA JOSHUA@pastajoshuatz·
Haya makodi ya kisenge sana kmmk usd 124 unapokea 82🙁
PASTA JOSHUA tweet media
Filipino
24
13
98
14.9K
Tony
Tony@Toni3gram·
@LegacySiu I don't know but am sure that's not Fabregas
English
0
0
0
8
Legacy (Fan)
Legacy (Fan)@LegacySiu·
Guess the player Very Hard
Legacy (Fan) tweet media
English
1.8K
223
4.7K
730.8K
Tony
Tony@Toni3gram·
Kule Facebook Kuna mwalimu anaitwa Shija Shibeshi, mwamba anamwaga moto vibaya mno, mimi sio mwalimu ila ninajua yanayo endelea CWT na CHAKUHAWATA😂😂
Filipino
0
0
2
35
Tony
Tony@Toni3gram·
@pepsi PCocacolaepsi
Indonesia
0
0
0
9
Pepsi
Pepsi@pepsi·
What starts with a P and ends with epsi and we all love it?
English
6.1K
390
16.2K
4.7M
Yobii
Yobii@Yob1i·
Ukiwa na proxy weka location USA alafu apply Aligner. Watu wanakulia fiti.
Yobii tweet mediaYobii tweet mediaYobii tweet media
Indonesia
39
149
721
49.8K
cxo
cxo@cxo_virginboy·
@Toni3gram that was facebook
English
1
0
0
6
Tony
Tony@Toni3gram·
Take me back to the times when we used to post a single post on boys and we get 2000+ followers, and of course we followed back.😭
English
1
0
0
69
💨mangi mkuu
💨mangi mkuu@kavishePb·
Hii tume nikibaatika kukutana nayo nitawaeleza jinsi familia tulivyo ishi na maiti ya mpwa wangu sebulen kwa siku 4 bila hata jirani kujua kwa kuhofia kuuwawa familia nzima na baadae tukaweza kwenda Moshi kuzika tar Nov 5
Jambo TV@Jambotv_

Jumuiya ya Madola imeipokea na kukubali dhamira ya Serikali ya Tanzania juu ya kupokea na kuwezesha ziara pamoja na kazi za Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa jumuiya hiyo Dkt. Lazarus Chakwera ambaye pamoja na msafara wake utachunguza uminywaji wa kidemokrasia na kutofuatwa kwa utawala wa kisheria kufuatia matukio ya kabla na baada ya uchaguzi mkuu wa 2025. Hayo yamesemwa baada ya kikao cha 72 cha Kamati Maalum ya Jumuiya ya Madola inayoshughulikia masuala ya demokrasia, utawala bora, na haki za binadamu miongoni mwa nchi wanachama(CMAG) ambapo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi Maalum Prof. Palamagamba Kabudi alikutana na kamati hiyo na kufanya mazungumzo. Taarifa ya CMAG iliyotolewa baada ya kikao chake cha Machi 7, 2026 imesema “CMAG pia ilikaribisha dhamira ya Tanzania ya kumpokea na kuwezesha ziara pamoja na kazi za Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu mwezi Machi 2026.” Disemba 2025 katika mkutano wake wa 71 wa CMAG ulioongozwa na Dkt. Ian Borg Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje na Utalii wa Malta uliamua kuiweka Tanzania katika ajenda maalum ya kikao cha machi yakizingatiwa masharti manne yaliyotolewa katika kikao kilichoijadili Tanzania Disemba 2025. Tanzania ilitakiwa kutoa nafasi iliyokamilika bila kikwazo kwa Msafara Maalum wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola kuweza kukutana na wadau wote katika nafasi za mwanzo. Pia kuondolewa kwa vikwazo kwenye uhuru wa kukusanyika na kujieleza, makundi maalum na vyombo vya habari. Pamoja na hayo masharti mengine ni Kufanyika kwa jukwaa la mashauriano kati ya vyama vya siasa ili kukubaliana mfumo wa pamoja wa hatua za kuendelea mbele kuelekea uchaguzi ujao. Uchukuaji wa hatua za kisheria na kiutawala zilizo wazi ili kuwawajibisha wahusika wa vitendo vya vurugu na athari zake, pamoja na kutoa fidia kwa waathirika pale inapofaa. Ujumbe huo utakaoongozwa na Dkt. Lazarus Chakwera Rais Mstaafu wa Malawi unatarajiwa kufika nchini mwezi huu wa tatu huku miongoni mwa hadidu za rejea itakazotumia ikiwa ni taarifa ya Tume Huru ya Uchunguzi wa matukio yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi ambayo imeundwa na Rais Samia Suluhu Hassan.

Indonesia
31
113
720
39.6K
Tony retweetledi
SATIVA17 X ( TWEETS)
SATIVA17 X ( TWEETS)@Sativa2555·
Heri ya siku ya Wanawake wote Dunia Happy women’s day Usiseme chochote hapa. Repost 650
SATIVA17 X ( TWEETS) tweet media
Filipino
12
568
1.7K
16.6K
Tony
Tony@Toni3gram·
@FPLMattW Which app is this mate,.
English
0
0
0
18
FPL Matt
FPL Matt@FPLMattW·
61 points all out! 🙃 How about you? 🤷🏼‍♂️
English
163
1
175
17.9K
Tony retweetledi
Real Nigger
Real Nigger@MrDepalitto9·
Real Nigger tweet media
ZXX
8
10
77
7.2K